bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi Fundi Ujenzi Anavyoweza Kujitangaza Kwenye Internet Bila Gharama Kubwa

    Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi. 1. Tumia Mitandao...
  2. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

    TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana... Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Simba yapunguziwa adhabu mechi Moja bila watazamaji

    Caf Wameona Hurumaa na sasa wamepunguza Simba watamisi mechi Moja kucheza bila washabgiliaji na sio 2 kama awali All dbest
  4. JamiiForums Tanzania Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Habari wanajukwaa, Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili: Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja. Kufanya kazi kwa mwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Kiasili na kisheria, uchaguzi ni gharama. Ni muhimu sana wagombea uongozi wa CHADEMA kutumia fedha ipasavyo bila rushwa wala hofu ili kushinda uchaguz

    Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa hivi kupita mkesha/sikukuu bila ngumi imekuwa kawaida sana kitu ambacho miaka hiyo ilikuwa ni Nadra mno

    Sijui ni kwamba watu wameokoka sana hata sielewi kabisa.Miaka ya nyuma mkienda kwenye mkesha ama sikukuu ilikuwa ni lazima ushuhudie ngumi za wanaume zikipigwa katikati ya senta . Haikuwa sio ajabu kuona wala kusikia kuwa akina J n p jana walizipiga kwenye mkesha.Ni miaka sasa imepita bila...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukutana na mwanamke anaeteseka na sonona kwa sababu amekeketwa bila hiari yake?

    Tuanze na wanawake wa Mikoa kama Manyara, Singida, Mara, Kilimanjaro, Arusha na Dodoma. Makabila Wambulu, Wamangha'ti, wagogo, wanyaturu, wakurya, wajaluo wajita, wanyiramba, wapare, wachagga, wamaasai, Wambugwe, Wadatoga, wasonjo etc. Karibu kwa wenye visa kadhaa kuhusu kadhia ya sonona za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UCHAGUZI CHADEMA: BAVICHA waelewe bila Maridhiano hata huo Uchaguzi labda usingefanyika, punguzeni Dharau kwa Mbowe

    Nimekwazika sana baada ya kufuatilia Mdahalo wa Wagombea wa BAVICHA kuona wanashambulia Maridhiano kwamba hawakubaliani nayo na mambo mengine ya kijinga waliyoongea kuonyesha upeo mdogo sana wa kuona mambo kwa upana. Kwa wanaoelewa hali ya kisiasa ilipofikia hata Vikao vya ndani vya Chama...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo kufanya mipango ya miaka 25 bila mawazo ya Diaspora ni kutoangalia mbali

    Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo. Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine. Hawa diaspora...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata uhuru wa katiba na demokrasia bila kuwa radical. Upole umetushinda

    Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni kituko gani ulikutana nacho kwenye kampuni?

    👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas 👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu 👉Uzi tiyari
  12. JamiiForums Tanzania Bila kumpigia magoti na kumtaka radhi huyu mwanamama, CHADEMA haitaweza kuwa sawa tena.

    Januari 5, 2011 haitakaa isahaulike kwa wapenda demokrasia wote duniani kwa kilichotokea Arusha. Maandamano ya CHADEMA yalizimwa kwa nguvu kubwa na jeshi la polisi hadi kutokea maafa ya watu kuumizwa na baadhi kupoteza maisha. Nakumbuka hiyo siku mimi nilikuwa natoka mizunguko yangu kufika posta...
  13. JamiiForums Tanzania Ni Rahisi kuwaza MWISHO WA DUNIA ni Lini kuliko kuwaza Chadema bila Tundu Lissu nini hatima yake.

    with Due respect, Mbowe kubali kukaa pembeni ni kweli wewe ni mpambanaji hutakatai, muda wako umetosha,
  14. 0

    JamiiForums Tanzania Kuachishwa kazi bila kufuatwa taratibu zozote za kisheria

    Habari , Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni x kwamuda wa miaka 2 ambayo nimetimiza tarehe 31 /12/2024 Kwani nilianza kazi tarehe 31/12/2022. Tarehe hiyo yakutimiza miaka miwili ilipofika nikiwa najiandaa kuingia kazini lisaa limoja na dk kadhaa kabla ya kuripoti kazini nilipata ujumbe kwanjia ya...
  15. JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

    Habari wakuu Wa JF, niende kwenye mada.... Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums.. Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko sina hakika sana, pitapita, hangaika na harakati za vijana kuhusu chupi kwenye umri wa miaka 17...
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Kabendera kina mkono wa viongozi ndani ya mfumo! Maiti inapigwa mateke bila kutetewa na waliopo hai

    Wapo viongozi ndani ya ccm wanaoamini kuwa kuchafua image ya jpm kupitia kitabu cha kabendera inaweza kuwapa sifa nzuri katika uongozi wao! Hadi sasa hakuna tamko lolote juu ya kitabu hicho kinachosambaa kwa kasi chenye maneno ya kuudhi ya kuchafua viongozi. Nachojiuliza utekaji katika serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Stand up comedians hamuwezi kuchekesha bila kutania dini/imani za watu?

    Najaribu kuangalia Sanaa ya uchekeshaji jinsi inavyopata umaarufu, ni kitu kizuri sana ila sasa binafsi nakwazika namna ambavyo dini ama imani fulani zinavyotumika katika kuchekesha na mbaya zaidi ni kwamba dini inayotumika ni moja sijui kwa nini hawatumii ile dini nyingine kwanza ni kinyume...
  18. JamiiForums Tanzania Nisije kufa bila kuiona Uefa rasmi nimeongeza timu ya kushabikia ambayo ni Liverpool Sasa nitashabikia Arsenal na Liverpool

    Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kava nzuri hunyonya mstuko, heri kutumia simu bila kava kuliko kava gumu linalobana sana, simu inapodondoka mshtuko unanyonywa na simu badala ya cover

    Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha. Kava nzuri...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza na Kufanya Online Business Bila Mtaji wa Pesa (Uzoefu wangu)

    Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza biashara ya mtandaoni ukiwa huna mtaji wowote wa pesa. Hapa ni mambo ya msingi unayohitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…