bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Rais Samia ni Jemedari Aliyejitoa na kujitolea Utumishi wake Kwa Watanzania Bila Kujibakisha.

    Ndugu zangu Watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa watu. Huyu Mama yetu Mpendwa amejitoa na kujitolea Maisha yake...
  2. Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

    Wakuu, Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda, Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia Sijaoa ila hali hii...
  3. Zitto Kabwe: Miaka 15 niliyokuwa mbunge Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati, Mwaka huu imepitishwa bila mikwaruzano

    Katika muda wa miaka 15 niliyokuwa mbunge miongoni mwa Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati tangu wakati inaitwa Nishati na Madini. Mwaka huu naona bajeti imepitishwa bila mikwaruzano yeyote. Nilipata kusema huko nyuma kuwa Waziri Dotto Biteko ni 'Simba mwendapole'...
  4. Technophilic Leo nimeumbuka! Nime compromise personal security bila kujua

    Ndugu wapenda technologia…. Hii yote inahusu simu yangu ya iphone Leo nimepata pigo kubwa la security Bleach KWA KUKUSUDIA NA PASIPO KUKUSUDIA Hivi juzi kati nimenunua simu nyingine Iphone 11 kutoka ka mtu naefahamiana nae na mm nililua natumia iphone X max Sasa changamoto ikawa kwene...
  5. Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

    Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa...
  6. Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

    Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!! Can you believe that fellow Africans? MACRON: 🗣️ “If we leave African...
  7. Nimekandwa saili tatu mfululizo bila kwenda oral hata moja kwa kweli ni huzuni sifanyi tena usaili wowote

    WAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU😂😂😂🤣😂.Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5...
  8. Yeyote Anayetaja Amani Bila Kutaja HAKI, Ni Mnafiki, Tumzomee.

    Kuitafuta haki kwa anayeonewa na kunyimwa haki yake, ni tendo halali na takatifu, na ni wajibu wa msingi. Siku hizi wadhulumaji wa haki za wananchi , ili waendelee kudhulumu haki za wananchi, wanajificha nyuma ya neno amani, lakini hawathubutu kutaja HAKI. Amani ni zao la HAKI, huwezi kuitaja...
  9. R

    Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  10. Viporo kama vyote, Kama mkitoboa bila kudondosha alama basi walau nitawaheshimu na kuwaona mpo serious

    27/04 - Bondeni 02/05 - Mashujaa 05/05 - JKT 08/05 - Pamba 11/05 - KMC 14/05 - Singida BS 16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo 😀) 17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea 😀) Na bado mnaitaka Derby?
  11. Kuelekea 2025 uchaguzi, Sintopoteza mda kupanga foleni kupiga kura bila kwenye mazingira haya ya uiz wa kura unaofabywa na tume na ccm

    Habari ndo hiyo. Kwenye uchaguz serikali za mitaa nilienda nipogekura nikaahirisha baada ya kuona mgombea mlengwa ameenguliwa eti hajui kujaza form. Strangely huyo ni mgombea aliyekua mwenyekiti wakati wa rais kikwete
  12. Tff mnapuuzia bila kufanya uchunguzi kocha matano wa fountain gate amewafungulia njia yanga wanapanga matokeo....

    Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo kazungumza hapa kesho anakwenda kuhojiwa bbc bado kocha atarudia kauli ile ile bila kupepesa kuhusu...
  13. John Mrema, sawa Tume Iko sahihi, kinachokuwasha nini? CHADEMA haingii uchaguzin bila Mabadiliko, hatuna Mpango huo !!.

    Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME. Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??. Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
  14. J

    Endapo Quran ya Kiarabu Ingetafsiriwa kwa haki na bila Chuki, basi wakiristo na Waislamu wote wangeadhimisha Ijumaa Kuu (Good Friday)

    Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha anza Ijumaa Kuu ambapo alikufa saa 9 mchana. Katika Luka 22:19-21 yesu akawambia hivi "Fanyeni hivi...
  15. H

    Wenye Hekima Wanaongea Kuhusu Haki, Machawa Wanaongea Kuhusu Amani Bila Haki.

    Siku zote, wenye akili, wenye hekima na wenye dhamira njema ya kutatua tatizo lolote, wanapogundua kuna tatizo, hutafuta chanzo cha tatizo, kwani ukikidhibiti chanzo cha tatizo, tayari unakuwa umetatua matokeo yake. Wasio na akili wala maarifa, wao hutazama matokeo. Watabakia kuhangaika na...
  16. PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  17. S

    Kweli kanisa Katoliki wanapenda kiki:Eti wadau waliokamatwa waachwe bila masharti, hawa hawajui zama zao zimeshaisha

    We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
  18. China Imevumbua Betri Inayodumu Miaka 50 Bila Kuchaji; Upo Tayari Kutumia Simu Yenye Betri ya Nyuklia ?

    Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya zinazoitwa betri za nyuklia. Ingawa jina lake linaweza kuwatisha wengi, teknolojia hii inalenga kuleta...
  19. Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu bila backup yoyote

    Habari Wana Jf🚀 Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto! Hello wana jf! 🙌 Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku nikicheza "survival mode" kama mchezaji wa kweli! 😎 Bado siko kwenye “hero” level, lakini niko njiani, na...
  20. Bila kumuondoa madarakani Benjamin Netanyahu ataiangamiza dunia

    Kama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…