Biharamulo is a town in northwestern Tanzania. It is the district headquarter of Biharamulo District. Biharamulo used to be a German administrative center in colonial times. Biharamulo Game Reserve is located north of the town.
FIDIA KWA WALIOPISHA MRADI WA UMEME WA KUTOKA GEITA KWENDA NYAKANAZI.
Kulikuwa na mgogoro mkubwa wa wananchi wa kudai fidia kwa wananchi waliopisha mradi mkubwa wa umeme kutoka gaita hadi kituo kikubwa cha kupozea umeme cha nyakanazi na hasira ya wanachi ilikuwa juu ya serkali yao hasa taasisi...
MRADI WA KUCHIMBA VISIMA KATIKA BAADHI YA MAENEO-BIHARAMULO.
Wakati wakazi wa maeneo tofauti tofauti wilayani biharamulo wakisubilia kwa hamu kubwa mradi wa maji wa ziwa victoria bado mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa anasisitiza na kutilia mkazo uchimbaji wa visima katika baadhi ya...
JUMLA YA SHILINGI BILIONI 98 ZIMELETWA WILAYA YA BIHARAMULO KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO KWA KIPINDI CHA MIAKA 04 YA UONGOZI DKT SAMIA SULUHU HASSAN.
Na S.L.T
Waziri wa Sheria na katiba Dkt Damas Ndumbaro amesema kuwa kwa Kipindi Cha miaka 04 ya uongozi wa Raisi Samia Wilaya ya...
MBUNGE WA BIHARAMULO ATAKA UHARAKA WA UJENZI WA MAEGESHO YA MAGARI KATIKA CENTRE ZA BIHARAMULO, LUSAHUNGA, NYAKAHURA NA BIHARAMULO MJINI (NYAMAHANGA) ILI KUKUZA PATO LA JIMBO.
Leo 6.5.2025 bungeni Dodoma mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa ameitaka serikali kutoa majibu ya kwanini kuna...
SERIKALI KUJENGA GHALA LA KUHIFADHI TUMBAKU -KALENGE BIHARAMULO.
Bajeti ya wizara ya kilimo inayoendelea katika mjadala bungeni Dodoma inajibu swali na shauku ya muda mrefu ya kujenga ghala la kuhifadhi tumbaku ghafi wilayani biharamulo katika kijiji cha kalenge.
Mbunge wa biharamulo Eng Ezra...
VIDEO FUPI : leo tarehe 21/5/2025 Mbunge wa biharamulo amehakikishiwa kujengwa kwa soko la mazao ya chakula katika kata nya LUSAHUNGA wilayani kwetu biharamulo.
Kupitia mchango wako bungeni katika bajeti ya wizara ya kilimo mh mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amesema bajeti hiyo...
KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO 31,5,2025 SERKALI KUPITIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO IMEMUHAKIKISHIA MBUNGE WA BIHARAMULO ENG EZRA JOHN CHIWELESA KUWA :
1.Ujenzi wa Bwawa la mwiruzi lenye ujazo wa lita bilioni 13 ,litakalo jengwa katika ushoroba wa mto mwiruzi katika kata ya nyanza na rusahunga...
UJENZI WA BARABARA ZA LAMI KATA YA BIHARAMULO MJINI.
Kuna kazi ya kasi bado inaendelea kutekelezwa jimboni biharamulo kata ya biharamulo mjini kuakikisha barabara zote za mjini zinajengwa kwa kiwango cha lami tangu mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa awe mbunge wetu .
Barabara hii ni mfano...
UJENZI WA MRADI MKUBWA WA SHULE MPYA YA MSINGI KABINDI B ILIYOPO KATA YA KABINDI - BIHARAMULO.
Shule hii ni mpya ,haikuwepo kabla hapa kuna juhudi za mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chiwelesa, serkali ya awamu ya sita ya Mh rais Samia suluhu Hasan na wananchi wa kata ya kbindi .
Ujenzi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
Kufatia kuwepo kwa kero ya muda mrefu ya maji katika wilaya ya Biharamulo moani Kagera, serikali imetenga Zaidi ya shilingi Bilioni 70 kwaajili ya kuanza ujenzi wa maji kutok ziwa Victoria.
Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa wakati alipokuwa akiongea...
BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo...
Ni ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa, baada ya kufika hospitalini
Ni basi la kampuni Kabco ambayo hufanya safari zake kati ya kigoma na bukoba
Inadaiwa sababu mwendo kasi na dereva kushindwa kulimudu...
Baadhi ya maduka ya bidhaa za chakula Biharamulo ni machafu sana kiasi kwamba yamekuwa ni makazi ya panya.
Wauzaji kwa makusudi pasipo kujali usalama wa walaji wanauza bidhaa zilizoliwa na panya na wanakuwa wakali pindi mteja anapolalamika.
Tunaomba mamlaka husika kuhakikisha usafi wa maduka...
Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia.
Vigezo!
1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti
2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote
3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa...
Taarifa zinasema kuwa Mke wa Askofu Vitalis Yusuf, wa kanisa la Anglikan Dayosisi ya Biharamulo mkoani Kagera, maziko yake yatafanyika leo Jumamosi nyumbani kwao wilayani Chato mkoani Geita.
Maziko hayo yanafuatia, kifo cha mke huyo Monica Zablon mwenye umri wa miaka 45, kilichotokea usiku wa...
Jitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali
Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi, Handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama...
Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi wamerejea serikalini na hivyo familia kubaki na jukumu la kusimamia miradi hii.
Je, familia ya Mama Janeth...
Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato.
Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.