biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtazamo wa biblia ya scofield kuhusu Israel ya sasa ukilinganishwa na biblia ya asili

    Biblia ya Scofield ni tafsiri ya King James Version (KJV) iliyoambatana na maelezo ya kina kutoka kwa Cyrus Ingerson Scofield, mchungaji wa Kimarekani aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika karne ya 20. Biblia hii ilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1909 na ikawa ya msingi kwa Wakristo wengi wa...
  2. Aina mbili za Wakristo (wasoma Biblia)

    Katika kueleza makundi haya mawili ya waamini wa imani ijulikanayo kama Wakristo (maana yake wafuasi wa Yesu) kumekua bado na mzozo mkubwa hadi leo hii kuhusu mambo Muhimu sana kuhusu imani au dini hii. 1. Sheria (Torati) 2. Neema (Kuokolewa kwa imani) Binafsi nimefatilia sheria sana sheria...
  3. M

    Biblia imeandika wazi kuhusu wajane na wagane kwelikweli. Si kama hawa wa siku hizi wahuni tu

    Pomoja na biblia kutowa mwongozo kuhusu wajane wa kweli na wagane wa kweli.Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la watoto na watu wazima ombaomba jambo ambalo linatafakarisha na kudhalilisha. Kuna watu wanaoombaomba wanaviungo vyote,au wanaupungufu wa akili kidogo lakini unaona kunashida ktk...
  4. Hekima za Biblia katika Uongozi

    "A ruler with no understanding will oppress his people, but one who hates corruption will have a long life" (Proverbs 28:16) Kwa Kiswahili: MTAWALA ASIYE NA AKILI HUTESA WATU WAKE, LAKINI ACHUKIAYE RUSHWA HUONGEZA SIKU ZAKE ZA KUISHI "A just King gives stability to his nation, but one who...
  5. Kwanini Herod Antipas aliitwa Mbweha na kwanini watu wa Mataifa wanaitwa Mbwa?

    Majina ya wanyama katika Biblia ni lugha ya picha iliyotumiwa kama kielelezo cha tabia, nafasi, au hali ya kiroho. Ni muhimu kuyasoma kwa muktadha sahihi wa kitamaduni na wa kimaandiko. Hii inasaidia kuelewa vizuri mafundisho ya Biblia na jinsi Mungu anavyowasiliana na watu kwa lugha...
  6. Ukisoma Quran vizuri, unagundua kuwa ilidukua mambo mengi toka kwenye Biblia na hivyo Biblia ni mzazi wa Quran

    Kusema ukweli, bila Biblia, Quran isingekuwapo, na ni bahati mbaya sana kuwa watu wengi hawalioni wala kulijua au kulisema hili. Ukisoma vizuri vitabu vyote kwa weledi na umakini bila kuvaa hijabu ya imani na uhafidhina, utajua kuwa Quran ilidukua Biblia. Mfano ni kuumbwa kwa Adam na Eva...
  7. Yezebeli na kifo cha aibu

    GTs, Naona mambo yanaenda kuwa mabaya. Yezebeli alitumia vyombo vyake vyote kuhakikisha anaangamiza waliotumwa na Mungu kumletea ujumbe, ila mwisho wa siku yeye alivyofariki mwili wake ulikuwa chakula cha mbwa na jamaa zake wote waliliwa kama mizoga. 1 Wafalme 21:23-24. Ukiwa na madaraka ni...
  8. Huu mstari wa Biblia Umeniacha mdomo wazi

    Je, Hii Nchi ya Tiro Bado Ipo? Kama Haipo, Je Huu ukahaba Tiro alishaufanya? ======== Isaya 23:15-18 [15]Basi, itakuwa katika siku ile, Tiro utasahauliwa miaka sabini, kadiri ya siku za mfalme mmoja; hata mwisho wa miaka sabini, Tiro utakuwa kama vile ulivyo wimbo wa kahaba. And it shall...
  9. A

    Kwa mujibu wa Biblia uzao wa Waanaki ndio waliojenga mapiramidi?

    Wadau poleni na majukumu. Nimekuwa nikisoma makala mbalimbali zinazoonesha maswali kwamba, ni nani hasa mjenzi wa majengo ya Piramidi ambayo yapo kwenye nchi ya Misri. Lakini pia baadhi ya nchi nyingine duniani. Nimesoma mahali hata Ethiopia, Uturuki na China (nilisoma mahali). Kila mtu...
  10. A

    Mambo ambayo sayansi inaithibitisha Biblia

    Wadau nimepata haya ndani ya Biblia nikasema kumbe kwenye Biblia kuna mambo ambayo hata Sayansi inakiri kuwa, ndivyo yalivyo. Nikasema tushirikishane. 1. JUA, MWEZI KUWA ANGANI. Biblia. Mwanzo 1: 16-17. Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale...
  11. Tofauti na jamii zingine za ndege, bata hajaongelewa hata kwa bahati mbaya kwenye biblia

    Huenda bata zamani hawakuwepo wameibuka siku hizi Kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna mstari unaomtaja iwe kwa mazuri au mabaya
  12. Jinsi Mungu alivyombariki mtu mweusi. Namna Biblia inavyomuongelea mtu mweusi

    Uzi huu natamani hata usomwe na mtu mmoja tu ntafurahi, Ilimradi mtu huyo mmoja spare ufahamu juu ya ukweli juu ya Baraka alizokirimiwa mtu MWEUSI na namna mtu mweus alivyo ongelewa kwa uzuri ktk biblia . Kuanzia sa nne naanza kupost taratibu, Sasa uuonapo Uzi huu comment kitu chochote ili...
  13. Unajionamchafu?, Hata simulizi za biblia zinawataja Madent na Mabad boyz!,

    Kuna hii stori huwa watu wanapenda kuibonga kila siku, eti “Hiki kizazi kimeharibika mbaya!” Wanatuzushia sisi wa kizazi cha amapiano,kana kwamba tumezaliwa na chuki ya ndoa, mapenzi ya ajabu, na ushamba wa kihuni. Lakini we acha! Ukiingia kwa maandiko, utakimbia bila viatu. Hapo zamani watu...
  14. Watu weusi kwenye Biblia

    Biblia inawataja watu weusi, ingawa si kwa lugha hiyo ya kisasa. Unapochunguza maandiko, utakutana na watu na jamii ambazo kijiografia na kihistoria zinaelekeza kwenye watu wenye asili ya Afrika. Hawa ni baadhi yao: * Wamisri: Misri, iliyoko Afrika Kaskazini Mashariki, inatajwa mara nyingi sana...
  15. He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

    Shalom, Salam alaikum. Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu). Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito). Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa...
  16. Je Mtume Muhammad (S.A.W) ametajwa katika Biblia kwa namna yoyote ile?

    Kama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?
  17. U

    Enyi wakiristo mnazo sheria za ndoa, talaka na mirathi kwenye dini na Biblia yenu kama ilivyo kwenye dini ya haki ya Uislamu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tutazidi kupeana ilimu Ili tukae sawa Hakuna shaka kwenye Uislamu mambo husika yametajwa kwenye sheria na Kanuni zake na yapo wazi kabisa chanzo kikiwa ni kurani Ndugu zetu wakiristo hebu tuwekeeni sheria zenu na mtaje wapi mnazinuu Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
  18. H

    Je, kuna Biblia katika Korea Kaskazini?

    Nchini Korea Kaskazini (Na. 1 kwenye Orodha ya Waliotazamiwa Ulimwenguni 2024) ambako Wakristo wanachukuliwa kuwa “tabaka la uadui,” kuwa na Biblia ni kinyume cha sheria . Kuwa na Biblia ndani yao kunaweza kuwa “ushahidi” unaohitajika ili kumkamata na kumfunga mtu (na familia yake) kwa kumfuata...
  19. H

    Hizi ni fikira chanya za manabii/mitume wa Kiafrika wasiokubalika nyumbani kwao AFRIKA,tuziweke hapa:-

    BOB MARLEY:- "How can you be sitting there Telling me that you care That you care? When every time I look around, The people suffer in the suffering In every way, in everywhere Say, na-na-na-na-na (na-na, na-na!) We're the survivors Yes, the Black survivors" WAKE UP AFRIKA!
  20. Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…