Byblos (Arabic: جبيل Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.
DARASA LINGINE LINAANZA FEBRUARY 2026
Raphael Mtui 0762731869
UTASOMA KOZI HIZI HAPA:
1)KUITAMBUA BIBLIA (INTRODUCTION TO THE BIBLE)
Hii ndiyo kozi ya kwanza, ambapo tutaona vipengele vifuatavyo:
a) Biblia ni nini hasa. (Definition and origin of the word Bible)
b)Biblia ilipatikanaje. (How...
Nasoma Comment!
Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
Swali kwenu watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk!
Utafiti unaonyesha pamoja na watumishi mungu wengi wa maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk kusoma vyuo vya biblia bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!
Sasa je tatizo...
Mwanaume dhaifu ameketi akiwa amefungwa kwa minyororo ndani ya seli ya gereza yenye unyevunyevu na baridi. Amewahi kuponyoka kifo hapo awali, lakini sasa anatambua kwamba kuuawa kwake kunakaribia.
“Ninakwisha kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, na wakati wa kuondoka kwangu umefika,” anasema...
Wakristo tofauti na Waislamu wanaodai bila kufikiri kuwa Kurani haina makosa, hatubishi kuwepo kwa makosa katika Biblia.
Je hilo linamaanisha kuwa Mungu wa Biblia alishindwa kuilinda Biblia isihujumiwe? La hasha!HEKIMA YA MUNGU WA BIBLIA imezidi kifani kulinganisha na hekima ya Viumbe vyake...
Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi
Katika biblia mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wote, ni Methusela, mwana wa Henoko aliyetwaliwa na Mungu.
Biblia inasema Methusela aliishi miaka 969, na hakuna mwingine aliyerekodiwa kuishi miaka mingi kuliko yeye.
Mwanzo 5:25 “Methusela akaishi miaka mia...
Nehemia 4:14
Nikatazama, nikaondoka, nikawaambia wakuu, na mashehe, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, na wana wenu, na binti zenu, na wake zenu, na nyumba zenu.
Mungu wangu Nitamsoma kwenye Biblia tu ,nitasaidia Masikini, nitatoa sadaka zangu huko .
Kupelekwa Sadaka na Dhaka Kanisan ziliwe na Viongozi wa Dini ambao Taifa linapitia maumivu, Mauaji ,ukosefu wa Haki ,wao wako Kimya, Nilkujikosea mwenyewe.
MUSA aliua Mmisiri ili aokoe Wana Israel.
Joshua...
"Yaani mnawaua kwa risasi WATANZANIA wengine wengi wakiwa wamejituliza ndani na familia zao, kwenye sebule zao wanaangalia TAMTHILIA na kadhalika! Halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika Biblia Takatifu na Quran Tukufu!KWELI?" - Joseph Mbilinyi (Sugu) Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa
Katika historia ya kibinadamu, kiongozi wa kweli anapaswa kuwa mfano wa huruma, haki, na upendo kwa watu wake. Hata hivyo, wakati mwingine tunashuhudia viongozi wanaotumia mabavu na nguvu ili kujimilikisha madaraka, na hii mara nyingi husababisha madhara makubwa kwa taifa, familia, na hata...
Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia?
Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia?
Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa.
Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
Tangazo muhimu.
Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako
Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii.
Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025.
Sikiliza kwa makini...
Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na kukubaliana nawe 100%. Hiyo video imenidhihirishia kuwa wewe pasina shaka ni muumini mzuri wa...
Wakuu,
Hakika huu ni ushuhuda wa ukuu wa neno la Mungu lisiloweza kuteketezwa na chochote kamwe.
Moto mkubwa umezuka katika nyumba moja iliyopo Kitongoji cha Kiurei, Kata ya Kiranyi, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha na kuteketeza mali zote zilizokuwemo, ikiwemo samani na vifaa vya umeme...
Kwani hao manabii mnaowasoma kwenye biblia na quruan na waliotunga vitabu vya dini walikuwa wasomi kiasi gani hadi bunge liwe la wasomi?
quruan na biblia ziliandikwa na wasomi hadi bunge liwe la wasomi tu?
Yesu na mohamad walikuwa wasomi mbona mnawaabudu na kuwatukuza hadi leo na umbumbumbu...
1: Mavazi.
Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha.
2: Chakula.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi.
3: Ngono au Tendo la ndoa.
Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
Kuna watu wanaodai kwamba Biblia ni hadithi zilizotungwa tu ili kuwahadaa watu weusi!!
Hata hivyo mara kwa mara sayansi ya akiolojia imekuwa ikifuta hoja hizo dhaifu kwa ushahidi ulio dhahiri. Hivi majuzi, wanaakiolojia wamegundua sarafu za kale mjini Yerusalemu, zenye alama na picha za kifalme...
Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro.
Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni.
Victoria...