biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe kwenye biblia kuna mtu alimwaga nje na hamsemi

    Mwanzo 38:9 Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
  2. JamiiForums Tanzania Tazama biblia ilivyookoa maisha ya huyu mwanajeshi wa IDF

    Biblia inaokoa maisha ila kile kitabu kingine kinahamasisha kuondoa maisha
  3. JamiiForums Tanzania Dikteta Sadaam Hussein alipojifanya anapingana na maandiko ya biblia na kilichomkuta

    𝐍𝐀𝐁𝐈𝐈 𝐈𝐒𝐀𝐘𝐀 𝐀𝐋𝐈𝐓𝐎𝐀 𝐔𝐍𝐀𝐁𝐈𝐈 𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐁𝐀𝐁𝐄𝐋𝐈 𝐇𝐀𝐈𝐓𝐀𝐉𝐄𝐍𝐆𝐖𝐀 𝐓𝐄𝐍𝐀. Alitoa unabii huu takribani mwaka 700 KK hadi 689 KK, yaani zaidi ya miaka 150 kabla Babeli haijaanguka. Akasema “Babeli... itakuwa kama Sodoma na Gomora... haitakaliwa kamwe kizazi baada ya kizazi.” (Isaya 13:19-20) 𝐌𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞: si...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lutandula: Biblia ingeandikwa leo, ingeandika Marais wengi wamefanya kazi nzuri, lakini Samia umefanya kazi vizuri zaidi

    Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini Paschal Lutandula akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya madini amesema kuwa kuwa ' Kama Biblia ingeandikwa leo, inawezekana ingeandika hivi, Marais wengi wamefanya kazi nzuri, lakini wewe daktari Samia umefanya kazi vizuri zaidi' Ameongeza kuwa huenda ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoka kwa Mchambuzi: Neil Armstrong aligoma Kuapa kwa Biblia kwakua Moon Landing ni tukio la uwongo

    Katika video hii, mchambuzi anajaribu kutumia tukio la Neil Armstrong kukataa kushika Biblia na kuapa kama ushahidi wenye mashiko kwamba kutua mwezini (Moon Landing) lilikuwa uwongo. Mchambuzi alipoona jina la Neil Armstrong akajua moja kwa moja huyu jamaa ni mkristo. Armstrong hakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Watoto wadogo (under 18) kusoma Biblia bila uangalizi wa Mwalimu wa dini?

    Salaam Wakuu, Watu wazima miaka 60 biblia bado hawaielewi, vipi watoto wadogo? Je, Biblia inaweza kuwwjenga watoto au kuwabomoa? Watoto wadogo wasome mambo Ufunuo, Walawi, Waamuzi, Ruth Samweli, Wimbo ulio bora nk. Kwa upande wangu naona si sahihi watoto kuachiwa Biblia wajisomee bila...
  7. JamiiForums Tanzania Hayawi, hayawi, yamekuwa! Teknolojia imethibitisha tena ukweli wa Biblia!

    Biblia ilitabiri zamani sana kuhusu siku tunazoishi leo. Katika Danieli 12:4 imeandikwa: “Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho. Wengi wataenda mbio huku na huko, na maarifa yataongezeka.” Unabii huo tumeona ukitimia waziwazi kwa macho yetu...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati nasoma Biblia mwanzo sura ya 3 - Kwahiyo Hawa mke wa Adam alimuona nyoka na hakukimbia? Wakapiga na stori? Bro ogopa wanawake

    Wakati nasoma Biblia mwanzo sura ya 3 Kwahiyo Hawa mke wa Adam alimuona nyoka na hakukimbia? Wakapiga na stori?? Bro ogopa wanawake.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni Bahati Mbaya Wengi Hawajui Utimizo wa Unabii wa Biblia Kuhusu Matukio ya Dunia, Mfano hii Vita-Iran

    Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Israel inatambulika kwenye Biblia na Quran, Palestina hatajwi popote

    Uchambuzi wa maandiko matakatifu ya Biblia na Quran unaonyesha kuwa neno Israel lina mizizi ya kina na ya wazi katika vitabu vyote viwili, huku neno Palestina likikosekana kama jina la nchi au taifa ndani ya maandiko hayo ya asili. Katika Biblia, neno Israel linatokea zaidi ya mara 2,500. Jina...
  11. JamiiForums Tanzania Ukisoma Biblia kwa umakini pasina kulishwa matangopoli na wachungaji utaona kwamba kuoa mwanamke zaidi ya Mmoja ni halali kabisa

    Huu ndio ukweli usio na shaka yoyote Ile. Wachungaji pamoja na ma father wetu wanajua fila tukioa wanawake wawili au hata watatu wane hivi watakakoswa sadaka na Zaka na michango kedekede wanayoiunda makanisani. Maana wanajua hela zetu zitakuwa zinatumika kwa matumizi mengi hivyo kulizibiti...
  12. JamiiForums Tanzania Biblia mpya feki zilizo chakachukuliwa kwa kubadilishwa baadhi ya mistari

    HATARI: SIRI ZILIZOFICHWA ZINAZOENDELEA KUBADILI BIBLIA :- LAZIMA USOME IKIWA WEWE NI MWFUASI WA KWELI WA KRISTO Ni ushuhuda wa ajabu na wa kugusa sana. Tafadhali chukua muda wako na uusome hadi mwisho MABADILIKO YA MISTARI YA BIBLIA ( MISTARI YA BIBLIA ILIYOCHAKAKULIWA ) Na Amina Hassan ▪️...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nje ya Biblia, Wataalam Wasomi wa Wakati wa Yesu Walivyomwelezea Yesu Kristu:

    Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo. Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea maelezo yanayotoka...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

    Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi. Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo...
  15. JamiiForums Tanzania Nilivyomuona Yesu nachanganyikiwa, nashindwa kuelezea, lakini leo ngoja niseme liwalo na liwe

    Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani. Yesu hakuwa mzungu. Kihistoria na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Kiswahili Quran na Biblia zinaitwaje?

    Jina la Quran na Biblia tumetohoa toka lugha zake za asili. Ni kawaida kwa mambo haya ya lugha. Jee Kwa kiswahili hivyo vitabu vinatafsiriwaje. Neno Biblia na Quran kwa kiswahili ni nini?
  17. JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho natulia, sitaki mchepuka nitaisoma biblia kwa moyo wangu wote

    Eee Mwenyezi Mungunisaidie No pombe No ngozi
  18. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato je mnakubali vipi Biblia iliyoidhinish na Papa e Damasus I askofu Mkuu wa Kanisa katoliki la Rumi 382?

    Naomba Moderator iache uzi huu uwe huru tafadhali. Je kuikubali na kuitumia Biblia hiyo siyo kukubali alama ya Mnyama kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana? Karibuni tujifunze
  19. J

    JamiiForums Tanzania Watu 40 walioandika Biblia

    Watu 40 walioandika Biblia Biblia, kitabu kikamilifu na kitakatifu, kimeandikwa na waandishi zaidi ya 40, kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu. Ndani ya biblia kuna taarifa zinazohusu maisha ya watu zilizobeba sauti ya Mungu nyuma yake. Pia, kuna taarifa za mataifa mbalimbali, pia zenye kubeba sauti...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kozi hizi za Biblia utazipata hapo hapo ulipo kwenye simu yako bila kuathiri ratiba zako kwa ada rafiki, miezi sita tu

    DARASA LINGINE LINAANZA FEBRUARY 2026 Raphael Mtui 0762731869 UTASOMA KOZI HIZI HAPA: 1)KUITAMBUA BIBLIA (INTRODUCTION TO THE BIBLE) Hii ndiyo kozi ya kwanza, ambapo tutaona vipengele vifuatavyo: a) Biblia ni nini hasa. (Definition and origin of the word Bible) b)Biblia ilipatikanaje. (How...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…