Byblos (Arabic: جبيل Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.
Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa...
Uchambuzi wa maandiko matakatifu ya Biblia na Quran unaonyesha kuwa neno Israel lina mizizi ya kina na ya wazi katika vitabu vyote viwili, huku neno Palestina likikosekana kama jina la nchi au taifa ndani ya maandiko hayo ya asili.
Katika Biblia, neno Israel linatokea zaidi ya mara 2,500. Jina...
Huu ndio ukweli usio na shaka yoyote Ile.
Wachungaji pamoja na ma father wetu wanajua fila tukioa wanawake wawili au hata watatu wane hivi watakakoswa sadaka na Zaka na michango kedekede wanayoiunda makanisani.
Maana wanajua hela zetu zitakuwa zinatumika kwa matumizi mengi hivyo kulizibiti...
HATARI: SIRI ZILIZOFICHWA ZINAZOENDELEA KUBADILI BIBLIA :-
LAZIMA USOME IKIWA WEWE NI MWFUASI WA KWELI WA KRISTO
Ni ushuhuda wa ajabu na wa kugusa sana. Tafadhali chukua muda wako na uusome hadi mwisho
MABADILIKO YA MISTARI YA BIBLIA
( MISTARI YA BIBLIA ILIYOCHAKAKULIWA )
Na Amina Hassan
▪️...
Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo.
Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea
maelezo yanayotoka...
Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.
Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo...
Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani.
Yesu hakuwa mzungu.
Kihistoria na...
Jina la Quran na Biblia tumetohoa toka lugha zake za asili. Ni kawaida kwa mambo haya ya lugha.
Jee Kwa kiswahili hivyo vitabu vinatafsiriwaje. Neno Biblia na Quran kwa kiswahili ni nini?
Naomba Moderator iache uzi huu uwe huru tafadhali. Je kuikubali na kuitumia Biblia hiyo siyo kukubali alama ya Mnyama kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana? Karibuni tujifunze
Watu 40 walioandika Biblia
Biblia, kitabu kikamilifu na kitakatifu, kimeandikwa na waandishi zaidi ya 40, kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu.
Ndani ya biblia kuna taarifa zinazohusu maisha ya watu zilizobeba sauti ya Mungu nyuma yake. Pia, kuna taarifa za mataifa mbalimbali, pia zenye kubeba sauti...
DARASA LINGINE LINAANZA FEBRUARY 2026
Raphael Mtui 0762731869
UTASOMA KOZI HIZI HAPA:
1)KUITAMBUA BIBLIA (INTRODUCTION TO THE BIBLE)
Hii ndiyo kozi ya kwanza, ambapo tutaona vipengele vifuatavyo:
a) Biblia ni nini hasa. (Definition and origin of the word Bible)
b)Biblia ilipatikanaje. (How...
Nasoma Comment!
Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
Swali kwenu watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk!
Utafiti unaonyesha pamoja na watumishi mungu wengi wa maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk kusoma vyuo vya biblia bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!
Sasa je tatizo...
Mwanaume dhaifu ameketi akiwa amefungwa kwa minyororo ndani ya seli ya gereza yenye unyevunyevu na baridi. Amewahi kuponyoka kifo hapo awali, lakini sasa anatambua kwamba kuuawa kwake kunakaribia.
“Ninakwisha kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, na wakati wa kuondoka kwangu umefika,” anasema...
Wakristo tofauti na Waislamu wanaodai bila kufikiri kuwa Kurani haina makosa, hatubishi kuwepo kwa makosa katika Biblia.
Je hilo linamaanisha kuwa Mungu wa Biblia alishindwa kuilinda Biblia isihujumiwe? La hasha!HEKIMA YA MUNGU WA BIBLIA imezidi kifani kulinganisha na hekima ya Viumbe vyake...
Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi
Katika biblia mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wote, ni Methusela, mwana wa Henoko aliyetwaliwa na Mungu.
Biblia inasema Methusela aliishi miaka 969, na hakuna mwingine aliyerekodiwa kuishi miaka mingi kuliko yeye.
Mwanzo 5:25 “Methusela akaishi miaka mia...
Nehemia 4:14
Nikatazama, nikaondoka, nikawaambia wakuu, na mashehe, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, na wana wenu, na binti zenu, na wake zenu, na nyumba zenu.
Mungu wangu Nitamsoma kwenye Biblia tu ,nitasaidia Masikini, nitatoa sadaka zangu huko .
Kupelekwa Sadaka na Dhaka Kanisan ziliwe na Viongozi wa Dini ambao Taifa linapitia maumivu, Mauaji ,ukosefu wa Haki ,wao wako Kimya, Nilkujikosea mwenyewe.
MUSA aliua Mmisiri ili aokoe Wana Israel.
Joshua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.