bibi

Bibi is a given name, nickname and surname.

View More On Wikipedia.org
  1. Bibi wa miaka 86, aapa kutojihusisha tena na mapenzi baada ya kumtosa kijana wa Misri mwenye umri wa miaka 37

    Bibi wa miaka 86, ameapa kutojihusisha tena na mapenzi baada ya kumtosa kijana wa misri mwenye umri wa miaka 37. Iris Jones na Mohammed Ibrahim walikutana katika mtandao wa kijamii mwaka 2019, na baadae ya kufunga ndoa Cairo kila mmoja aliishi nchini kwakwe kwa muda wa miaka miwili. Kabla ya...
  2. Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  3. Tutaelimisha mpaka babu na bibi zetu kuhusu hili la NO REFORMS NO ELECTION

    Wakuu mpo wazima hapa. Binafsi nimeamua kuwapa elimu ya NO REFORMS NO ELECTION babu na bibi yangu pia wazazi na wajomba na mashangazi. Kwa wingi wa vijana wa kitanganyika na zanzibar tunao uwezo wa kuifikisha NO REFORMS NO ELECTION kila kona ya nchi yetu. Tuna weza na tutawafikia wote...
  4. Haya yanayosadikika kuhusu Kaburi la Siri la kijiji cha Lubasazi la Bibi Ajuza ni ya kweli?

    Mwaka 1982, kijiji cha Lubasazi kilichopo Kata ya Kolero, Wilaya ya Morogoro Vijijini, kilipata msiba mzito. Mzee wa heshima kijijini hapo alifariki. Halikuwa jambo la kawaida watu walianza kusema yule Mzee hakufariki kifo cha kawaida, kuna mkono wa watu. Baada ya mazishi maisha yaliendelea...
  5. Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

    Kama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake. P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana wasanii na bastola pale studio kwake nilidhani angezeekana ukorofi,ila amekuwa mpole anaugulia...
  6. Lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudishwa kwa mateka- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL) Waziri Mkuu...
  7. T

    Nimefiwa na Bibi Na Leo Tumempumzisha salama

    Habari za wakati huu ndugu zangu week jana iliyopita nilipata pigo baada ya kuondokewa na Bibi Yangu Na Leo Jumamosi Tar 26 Tumempumzisha Bibi Salama Katika makazi ya Milele Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele Umwangazie Amina🙏😔
  8. Z

    Huyu Matha Karua anajihusisha kwenye kesi za Tanzania kama nani haswa?!

    Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?! Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania? Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
  9. H

    Mwaafrika unasujudia makaburi ya Yesu na Muhamadi na kuacha makaburi ya bibi na babu zako ulio na vinasaba nao

    Habarini, Hili nalo linafikirisha sana MWAFRIKA,unaenda kusujudia kabuli la yesu na muhamadi na kuacha kusujudia makaburi ya WAZAZI/WAASISI ambao ni BIBI na BABU zako yanayokuzunguka na ulio na vinasaba nao ,unaakili wewe kweli? Yaani hata kitasafusha kwa kuyapalilia tu umeshindwa ila...
  10. Bibi na babu yako bado wako hai? ni kipi unakipenda na kukikumbuka kuhusu wao?

  11. Hivi ni kabila la kirangi pekee linaloongoza kwa mabinti kumpeleka watoto kulelewa na Bibi zao vijijini baada ya kukorofoshana na waliowapa mimba?

    Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
  12. Moto waiteketeza nyumba ya bibi Maria Kaudidi Rombo, Mbunge Mkenda aisaidia familia

    Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila makazi huku Bibi huyo na wajukuu wake wanne wakinusurika. Tukio hilo limetokea Usiku wakuamkia Jumatatu...
  13. Watoto wa Kazi Kazini: Ona Stories na Historia ya Bibi Titi

    VIJANA WA KAZI KAZINI: ONA STORIES NA HISTORIA YA BIBI TITI MOHAMED Nimealikwa kwenye studio nyingi ndani na nje ya Tanzania kuzungumza na wakati mwingine kwa mahijiano maalum. Kwa kiasi changu naweze kusema nazijua studio na watu wake. Lakini na narudia lakini, studio hii niliyotia mguu leo...
  14. Bibi mnaongea usiku kucha

    Hapa kuna jambo kidogo. Mi nipo nakaa kwa kijanamke kimetoka Uganda. Nilikitwanga kweli kweli mwaka mzima. Kinakaa kwangu buree Nikafukuza kiende kilikotoka. Ilikua baada ya ya kuniletea mabalaa kwangu Sasa badae katika maisha huyu hapa Tukakutana. Ikabidi katika maongezi kasema njoo hapa...
  15. Acheni kuwatelekeza watoto wenu kwa bibi zao

    MHADHARA (87) 👁️Ewe mwanaume; Kama huna lengo la kuzaa usimpe mimba mwanamke, kama utampa mimba mtunze/tunzaneni. Ikiwa utampa mimba mwanamke na kumtelekeza utamfanya ateseke, pia utamtenganisha na fursa nyingi za maisha kwasababu ya muda mwingi atakuwa kwenye malenzi ya mtoto bila baba...
  16. Prof. Kibaijuka akiri historia ya Bibi Titi na Kambona kufichwa

    Akihojiwa na kituo cha Wasafi Media Mkongwe Profesa Tibaijuka amekiri wazi kuwa historia ya Tanganyika ameficha mchango wa Bibi Titi na Oscar Kambona. Amesema kulikuwa na kutokuelewa na Mwalimu. Amesema kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida lakini sio sababu ya kuwaweka pembeni katika historia...
  17. Trivia: Asili ya msemo "Shamba la Bibi."

    Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta maana yake. Inasemwa kuwa msemo huu ulianza kutumika wakati wa utawala wa Ujerumani. Wajerumani...
  18. Mimi Bibi Yenu Mpambanaji nimedhulumiwa kwa kutokujua sheria

    Kuna mtu mmoja yuko kwenye taasisi fulani nyeti ya serikali. NI MTU mzito sana, Akaniambia Bibi, kazini kwangu kuna fursa ya kupiga, ambayo itakunufaisha na wewe. Nikamwambia ni fursa gani hiyo? Akanipa mpango mzima. Akasema tuanzishe kampuni, yeye na jamaa zake, Ila kwasababu ya conflict of...
  19. Wasafi FM: Historia ya Bibi Titi...Inaendelea

    https://youtu.be/cc4rPXasbDM?si=xe6F8oUNMEwxRjjc
  20. Bibi Titi Mohamed na Schneider Plantan 1955

    https://youtu.be/VFbn-fjnZE4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…