Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT.
Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
biasharamtandaoni
chatgpt
kamili
kazi mtandaoni
kuhusu
kujifunza
kupata pesa online
maisha
maisha na kazi
mtandaoni
mwongozo
teknolojia
teknolojia ya ai
Ili Uwe Mtaalamu Wa Kufanya Biashara Mtandaoni Unatakiwa Ufanye Hivi Vitu Viwili Hapa Chini...
•Wekeza Zaidi Kwa Watu(Fanya Matangazo Ya Kulipia)
•Wekeza Kichwani(Jifunze Maarifa Mapya)
Kama unitaji kukuza biashara mtandaoni nitafute nipo Dar es salaam, Mbezi Nina ujuzi wa IT (information Technology) na digital marketing, graphics design pamoja na kusimamia akaunti zako za mitandao ya kijamii (social media manager). Gharama yake ni 400,000 tsh kwa mwezi,
mawasiliano...
Kuna mambo mengine kama hata wao wenyewe wamekosa mtazamo.
Leo hii mfano mtandao kama twitter ambao X uwezi kuingia bila VPN na kuna wafanyabiashara pamoja na mengine ambayo CCM ikiona imeshabanwa kuhoji wanafunga alafu mnataka watu wajisajili nini?
WANAOFANYA BIASHARA MTANDAONI BILA KUJISAJILI TRA WAPEWA MWEZI MMOJA KUJISAJILI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa mitandaoni ambao hawajajisajili na TRA kujisajili mara moja ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Ameyasema...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
Kuongezeka kwa Biashara Mtandaoni: Fursa kwa Wajasiriamali Vijana
Katika dunia ya sasa, mitandao ya kijamii si mahali pa kupoteza muda tu—ni sehemu ya kujenga maisha bora. Vijana wengi wanaanza biashara zao mtandaoni kwa kutumia simu tu na akili ya ubunifu.
Huhitaji duka, huhitaji mtaji...
Habari za Leo?
Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC).
Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
Unajua, siku hizi ukiwasikiliza vijana wengi, wanaonekana kuchukia zile kazi za ofisini za saa 9 mpaka 5. Utasikia wanasema, “Ah, ajira za ofisini ni utumwa tu” au “Kwa nini niteseke na mshahara wa mwezi wakati kuna biashara na fursa za mtandaoni?” Sasa swali linakuja, ni kweli ajira za ofisini...
Assume unatangaza kazi zako kutokea mikoani kwenye social media hupati wateja kwenye mkoa wako, hatimaye wengi hutoka Dar.
Je, unawezaje kuwafanya wakuamini hasa wale wanaohisi kutapeliwa kila siku na huenda washatapeliwa
Je, uhamie Dar wakati bado unajijenga au ufanye kipi? Vipi huko. Baadae...
Kuanza biashara na mtaji wa TSH 200,000/= katika mji kama Dar es Salaam inawezekana kwa kuchagua biashara ndogo ndogo ambazo hazihitaji mtaji mkubwa. Hapa kuna mawazo ya biashara ambazo unaweza kuanzisha:
1. Biashara ya Vyakula vya Mtaani
Samosa na Vitumbua: Unaweza kuanza kuuza vitafunwa kama...
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa.
Nimekuja na uzi huu ili kupata elimu kidogo kwenye hizi biashara za mtandaoni kama niza ukweli au la.
Ninataka kufanya check ya kuagiza simu aina ya Google pixel 4a kwa delivery za mikoani kutoka kampuni yoyote lakini sina uzoefu na pia siji amini...
Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja
Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa muda mrefu chap nikaitoa mfukoni nikafungua message nikakutana na namba mpya code +27 nilijua tu hii...
Habari za siku wadau wa JF,
Moja kwa moja kwenye mada,
Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa, bidhaa nauhitaji nayo lakini namna na taratibu za kuiagiza ndio naona kipengele ukizingatia ni mara ya kwanza kwenye hizi mambo za...
Mwigulu nadhani ungeangalia hilo kwa mapana zaidi maana wewe upo kwenye kodi mpya mpya kila siku za kudumaza maendeleo nimeshangaa wengine wapo busy kwenye kuitangaza Tanzania kwenye biashara ya utalii na wewe unakuja na kodi kwenye matangazo sidhani kama pana kampuni za utalii zitapata wateja...
Unaamua kufanya biashara mtandaoni halafu huweki bei, lengo lako ni nini?
Inakera sana unakuta ukurasa umejaa watu wanauliza bei halafu hazijibiwi au wakijibu ni jibu la 'njoo DM' au 'piga namba hiyo hapo' ama 'kwa maelezo zaidi njoo WhatsApp'.
Kwani mkiweka bei kila mtu akaona mnapungukiwa...
Kuna vitu vya ajabu hili nalo ni la ajabu, kuna wafanyabiashara wanafanya biashara kwa kuzitangaza mitandaoni ila wanazima simu, au unakuta wengine hawapokei simu au hawajibu meseji au kusoma jumbe za mitandaoni na kuzijibu ikiwemo maswali hii ni ajabu kabisa.
Hivi hawa wanakuwa hawajui wajibu...
Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa?
Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii.
Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.