Watu wengi sana wana anzisha Biashara Mtandaoni, Wapo wanaofata Kanuni zake, na ndio maana wanafanikiwa na wengine Hawafati na wala hawazijui.
Kanuni Hizi ni kabla ya kuanzisha Biashara Mtandaoni, unatakiwa uzifahamu ili kufanikiwa katika Biashara yako.
1. Wazo La Biashara.
Hapa Unatakiwa Uwe...
Hii idea imenikaa kwa muda sasa na baada ya kufuatilia uzi wa Ni machine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara? nimeipa tafakuri zaidi.
Lakini sio hilo tu fikiria hata masuala ya vita yanayoendelea sasa hivi, kama Russia ingekuwa sio self sufficient country isingewezekana...
Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....)
Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna...
Habari wadau JF,
Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini...
Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?
Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na TanTrade wametoa Mafunzo ya Mifumo ya Biashara mtandaoni kwa Wafanya Biashara pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kibiashara Visiwani Zanzibar.
Mifumo iliyofundishwa ni Mfumo wa Duka mtandao (Shirika la Posta), Mfumo wa Information Portal...
Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni vitu gani vya kufanya ili kuweza kuongeza kipato chako.
Kwa kuanza basi ni vyema nikwambie kabisa kuwa...
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTANGAZA BIASHARA MTANDAONI
Jifunze na uitambue hadhira yako unayoilenga
Ikiwa huijui hadhira yako ni ipi, huwezi kuipa kile inachotaka, na kisha nayo haitakupa kile unachotaka.
Wafahamu kwa umri wao, wanaishi wapi, wanazungumza lugha gani na wapo katika hatua gani...
Kuanzia mwezi huu biashara za mtandaoni zitatozwa ushuru wa aslimia 1.5 kutokana na shughuli hizo za kidijitali.
Kwenye taarifa mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini-KRA imesema kuwa sheria ya mwaka 2020 ilianzisha aina mpya ya ushuru wa kidijitali-DST ambao ulianza kutozwa tarehe Mosi mwaka...
Mambo 10 ya kuzingatia unapoandaa chapisho la tangazo la kibiashara mtandaoni
Mitandao ya kijamii imebadilika kutoka kuwa majukwaa ambayo watu hukutana kufahamiana na kujadili masuala mbalimbali ya kijamii, hadi kuwa majukwaa ya kibiashara ambayo unaweza kukutana na wateja wako, kuwafahamisha...
Upi mtandao sahihi zaidi wa kijamii unaoweza kuutumia kutangaza biashara yako mtandaoni?
Tangu kuvumbuliwa kwa mtandao wa intaneti miaka 60 iliyopita, mapinduzi ya teknolojia yamerahisisha mawasiliano kwa kiasi kikubwa. Moja ya mabadiliko hayo ni uwezo wa kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi...
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.