biashara

  1. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Habarini wakuu Katika Harakati za hapa na pale nimepata milion 3 nifanye biashara gani?ili niweze kupata Kwa siku faida ata 30k.
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji Router ya biashara

    Wakuu. Samahani, naomba mwenye uzoefu zaidi anaweza kunisaidia ni Router ya kampuni gani naweza kupata kwaajili ya biashara ya WiFi kwenye ofisi yangu ambayo mteja atakua analipia either kwa muundo wa kununua vocha or njia yoyote ambayo itaniwezesha ku control mapato hata nikiwa mbali na eneo...
  3. JamiiForums Tanzania Tangazo la Huduma za Ushauri wa Biashara

    TANGAZO LA HUDUMA ZA USHAURI WA BIASHARA Amicable Group Holdings Limited inatoa huduma za kitaalamu za Ushauri wa Biashara (Business Consultancy) kwa watu binafsi, vikundi, kampuni, taasisi na wafanyabiashara wanaohitaji kuanzisha, kukuza au kuboresha biashara zao. Tunatoa huduma za: ✔️...
  4. JamiiForums Tanzania Mnasema tufanye biashara, kazi tunazofanya afanye nani?

    Kuna mtindo umezuka sasa hivi, kila kona unapogeukia, kila mtu unayekutana naye anakwambia anza biashara ufanikiwe. Mbaya zaidi ni kuwa maneno haya yanaambatana na kejeli haswa kwa watu ambao wameajiriwa kuwa ni duni na kwamba hawawezi kupata mafanikio. Hii movement pamoja na kuwa na mazuri...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kilimo cha mijini ndicho suluhisho la chakula na biashara ya baadaye?

    Katika dunia ya sasa ambapo miji inaongezeka kwa kasi na gharama za maisha zinapanda kila siku, watu wengi wameanza kugundua nguvu ya “Kilimo cha Mijini” kama njia ya kujitosheleza kwa chakula na hata kujiongezea kipato. Lakini swali kubwa ni: 👉 Inawezekana kweli kulima ukiwa mjini? 👉 Ni mazao...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Museveni; Africa iliachwa nyuma kimaendeleo na Asia kwa sababu ya kutaifisha biashara za sekta binafsi.

    Huyu mzee ana madini hatari. Msikilize https://www.facebook.com/share/v/18Z3GKN5RQ/
  7. U

    JamiiForums Tanzania Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Taarifa Hizi Wakati wa kuomba leseni ya biashara

    Habari mjasiriamali kama wewe umesajiki biashara au Kampuni Brela unahitaji Taarifa Hizi kuomba leseni halmashauri/tausi. 1. TIN Unahitaji TIN number ambayo utaitumia kufungulia akaunti tausi 2. Mkataba wa upangishaji, unaweza kuwa wa ofisi au wa nyumbani kwako. 3. Certificate of...
  9. JamiiForums Tanzania Dawa ya Kuvuta Wateja kwenye Biashara Mpya

    Habari wakuu. Nimekuja leo nikiwa na maswali mawili kuhusu biashara yangu mpya ya restaurant/mkahawa. Swali la kwanza linahusu biashara yenyewe. Nimefungua restaurant wiki mbili zilizopita baada ya kuwahi kufanya biashara kama hii miaka kadhaa nyuma lakini sikufanikiwa sana. Safari hii...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu

    Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba huko TikTok amebomoa bei za vioo vya simu, wafanyabiashara wamemkasirikia, wateja wanamfurahia, kosa lake ni lipi?

    Kuna mwamba huko Tiktok anatoa vioo vya simu kwa bei chee, Simu kama samsung A05 ni 16k tu , Ila kuna ukicheki comments wafanyabiashara wamekasirika, anawaharibia biashara, sasa kosa lake lipi.
  12. JamiiForums Tanzania Biashara za kuuza maji

    Wakuu kwema.? Anayefahamu biashara hii ya kuuza maji naomba anaifahamishe machache haya: Gharama za ununuzi wa machine (mfumo mzima) wa kuchuja maji. Gharama za ufungaji wa machine hizo -Upatikanaji wa machine hizo.- Gharama za uendeshaji. Faida ikoje. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na sehemu ya kulala usiku shukuru sana, usiku ni mrefu sana kama umekosa pa kulala

    Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka. Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake. Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala. Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Ushirikiano wa Biashara kwa Mdada Mwenye Duka au Biashara Halali

    Natafuta mdada au mkaka mwenye duka au biashara inayofanya kazi kwa angalau miezi 6 na biashara hiyo iwe na lesen halali. Nina nyumba ambayo niko tayari kuitumia kama dhamana kwa ajili ya kuongeza mtaji wa biashara au kufungua biashara ya pamoja ya nafaka. Pia nina heka tano za kilimo ambapo...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka nianze biashara ya Air BnB mwanza ?? Nitatoboa?

    Kwa msio elewa BnB Ni biashara ya kuazimisha nyumba kama hotel ambayo iko na kila kitu ila classic
  16. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania na Zambia Waazimia Kuondoa Vikwazo vya Biashara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia zimeazimia kuendelea kuchukua hatua katika kuondoa vikwazo vya biashara ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, huduma na watu, hatua inayolenga kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi, biashara na uwekezaji kati ya mataifa hayo mawili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa vijana wa leo (Gen Z) kuwekeza zaidi katika teknolojia na starehe kuliko kuwekeza katika kilimo na biashara?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti), na ajira za mtandaoni, badala ya sekta za uzalishaji kama kilimo na biashara ambazo zilikuwa uti wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Tanzania na Zambia kukutana Tunduma, Mei 7, 2026 kuboresha ushirikiano wa uchumi, biashara na uwekezaji

    Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika kufuatia kuhitimishwa kwa kikao cha Kamati ya Pamoja ngazi ya Makatibu Wakuu kilichofanyika leo, Mei 6, 2026, katika Kituo cha Huduma cha Pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…