biashara

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

    Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa. Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au...
  2. JamiiForums Tanzania Bashe: Serikali imeamua korosho yote itabanguliwa Mtwara 2025/26. Asema kuuza korosho ghafi ni biashara ya kizamani

    Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu. Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema. Pia Bashe amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Mlioko Ndola Zambia tafadhali mwambieni 'Mr. Objective' kuwa leo tunataka 'Double Strikers' ili tumaliza 'Biashara' mapema

    Mwambieni GENTAMYCINE nataka namba Tisa acheze Jean Baleke na namba Kumi acheze Mshambuliaji wangu ninayemkubali Simba SC yote Moses Phiri. Na ole wake katika Dimba la Chini ( Namba Sita ) asimpange Kiungo wangu Mkabaji Bora na Fundi wa muda wote Fabrice Luamba GENTAMYCINE Ngoma. Golini...
  4. JamiiForums Tanzania Biashara ipi ya vyakula na nafaka mfano ndizi za kupika, inaweza stawi kwa mtaji wa laki 7?

    Habari wa ndugu, Napenda ulizia ni biashara ipi inaweza stawi na kukua kwa mtaji wa kiasi cha shillingi laki 7, biashara yenyewe au ujasiliamali wenyewe uwe ni mkoa wa kilimanjaro. Maana nilikuwa na wazo la kununua ndizi mbichi nizipeleke Dodoma kwa mtaji wa laki 7. Karibuni.
  5. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ndani ya Dar es Salaam panafaa kwa biashara ya vifaa vya simu?

    Habarini ndugu, Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati. Naomba msaada wenu
  6. JamiiForums Tanzania Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

    NI kweli BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI Statistics zaonyesha hivi
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya uuzaji na ununuzi wa madini kwa mfanyabiashara mdogo

    Habari wana JF, Naitwa Mayombo nimekuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye experience na biashara hii ya uuzaji na ununuzi wa madini hapa nchini 1. Hatua gani za kufuata kisheria? 2. Inahitaji pesa kiasi gani kama mtaji? 3. Changamoto zikoje na faida? Tafadhari naomba msaada ili...
  8. JamiiForums Tanzania Kopesha milioni 3.6 urejeshewe milioni 6 ndani ya miezi 10

    Habarj wakuu Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika. Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa. Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business. Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara nzuri(side husle) kwa mfanyakazi inayohitaji usimamizi mdogo

    Wadau naomba ushauri nifanye biashara gani ambayo haihitaji usimamizi kuanzia saa 2 asubuhi napoingia kazini mpaka saa 11 jioni
  10. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa mikoani ni fursa pia

    Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Biashara ya Clearing and Forwarding Agent

    Habari za wakti huu; Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu Biashara ya Clearing and Forwaring Agency.Kabla ya kuingia kwenye mjadala niweke wazi kwamba mm sifanyi shughuli za C&F.Hivyo basi maoni na mtazamo wangu upo zaidi kibiashara na kiujumla na ninaamni kwamba wengine watajifunza na wale...
  12. JamiiForums Tanzania Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

    Salaam! Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu. Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mkopo wa kuongeza kwenye biashara yangu

    Mimi nimefanikiwa kujenga nyumba ya kupangisha eneo la chuo cha mipango Dodoma, ina vyumba kumi na tayari watu wanaishii. Nina shida ya mkopo mil 20 kwa ajili ya kuchimba kisima na kujenga uzio nimeenda bank wanataka cash flow ambayo mimi sina. Msaada tafadhari.
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya gadgets mtandaoni

    Wakuu naomba mwenye uzoefu na ujuzi wa biashara ya kuuza gadgets mtandaoni anisaidie mawazo. Kuhusu Mtaji wa kuanzia, chimbo la kupata mzigo, namna ya kupata wateja, jinsi ya kupanga bei na marketing yake. Pia nilitamani nijue gadgets zinazouzika sana ni zipi. Karibuni kwa ushauri.
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji location nzuri yenye mzunguko kwa biashara ya stationary

    Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku. Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri? Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa. Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amekuja ofisini akidai ametumwa kuchukua rekodi za watu na biashara zao

    Kuna mtu limekuja office leo linadai limetumwa sijui na mkurugenzi uko serikalini kuchukua record za watu na biashara zao to do God knows what? Jamani hawa watu sijui TRA, Serikali wananichefua kwa kila kitu. As if wanataka kufanya vitu vya muhimu.
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware kwa 13M

    Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake, Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo, Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu, Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

    JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara Saa za Kiume

    PACK 1 Business Watches Bei Ya China Bila Usafiri 14000 kwa saa moja Makadirio Usafiri kwa meli 500-1000 kila moja (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pisi 20 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila saa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

    Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi? Aina nzuri za bodaboda ni zipi? Mkataba unakuwaje? Kimsingi sijawahifanya biashara hii, ninataka tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…