biashara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa Biashara ya cake accessories

    Habari wadau!, Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa overview ya biashara hii pamoja na makadilio ya mtaji.
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma usipoiibia serikali ili ujenge mjengo mkali, ununue gari kali na kufungua biashara wananchi wanakudharau

    Hao ndio Watanzania, ukiwa mtumishi wa umma wanatarajia wakuone umepark ndinga kali kali uani mwako, uwe na mjengo wa haja , vimichango vya misiba na sherehe unatoa parefu hapo ewaaah watasema una akili bila kujua malipo yako halali ni Shilingi ngapi. Hao hao baadaye wanasema nchi imejaa...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
  4. JamiiForums Tanzania Napendekeza ufanyike usajili kwa vijana wote wanahamia majijini kutafuta maisha

    Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi. Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini . Ufanyike usajili kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Kuhusu biashara ya chakula kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara

    Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar. Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara. Wenyeji wa Mtwara mlio na uzoefu na minada ya korosho naombeni ABC za minada hiyo tafadhali. Ninacho taka...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

    Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere, Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini ukimchekea chekea mwanamke kwenye biashara, anawaza kukufirisi tu?

    Aisee! Hadi nimechoka mwili, akili na roho Kuna mdada mzuri tu yuko na mama yake opposite na duka langu la maudambu udambwi ni mama nt'ilie. Huyu binti alinivutia sana tokea siku ya kwanza wanafungua kijimgahawa pale. Nilikuwa mteja wa kawaida ambaye sikutaka hisia zangu ziwe wazi kwa muda ule...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Wajasiriamali Wapewe Elimu ya Kurasimisha Biashara

    NAIBU WAZIRI KIGAHE: WAJASIRIAMALI WAPEWE ELIMU YA KURASIMISHA BIASHARA Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amezitaka mamlaka za Serikali zinazosimamia sekta ya biashara nchini kutoa huduma bora na kuwalea wajasiriamali ili waweze kufanya uzalishaji wenye tija na kuongeza...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

    Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake. Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  12. JamiiForums Tanzania Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

    Me Huwa napenda kutafiti njia za utafutaji hata ziwe ndogo vipi, ili kujua watu wanapataje pesa na hizo biashara ambazo watu wanaziona ni duni Nikasema haaa kumbe aisee watu wanapiga pesa ambazo hata watu wenye ajira za kuchomekea mashati na kuvaa viatu mchuchumio hawapati Nitaorodhesha baadhi...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara za Kinondoni na sinza

    Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1 Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana Mimi uwa najiuliza Hawa uwa wanafanya biashara gani pale na wanawezaje kulipa Kodi!!?
  14. JamiiForums Tanzania Upoteaji wa Watu, Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania

    Wakuu Salaam Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa vyama vya siasa nk. Lakini tunawasahau hawa wataalam wetu wa afya. Pia kuna watu wanazikwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Wajue Aina ya wateja unaowataka kabla hujafungua biashara yako, itakusaidia

    Kwenye biashara tuna waza mambo mengi sana hasa Mitaji,maeneo,wafanyakazi,bidhaa,nk Lakini watu wengi sana huwa tunasahau jambo 1 kujua aina gani ya wateja unawahitaji katika biashara yako. Ukiwa kama mfanyabiashara kuna FACTS lazima ukubaliane nazo utake au usitake ukubali au usikubali. 1...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hii hali kwenye biashara siyo ya kawaida

    Mnamo mwezi wa nane mwishoni nilifungua biashara ya kuuza kuku Wa kukaanga pamoja na viungo vyake. Wakati nimeanza mauzo yalikuwa hafifu ikawa hata elfu 5 haifiki ya mauzo, ndo nikaja na Uzi wa kuomba ushauri Wakajitokeza waungwana wakanipa msaada wa mawazo Miongoni mwao ni dada angu kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya stationery ya mtaji mdogo iliyoongezewa thamani

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu. Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama bahasha, rimu, kalamu, etc Naweza vipi kuongeza thamani kwenye stationery kwa gharama ndogo lakini niwe...
  18. JamiiForums Tanzania Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya Tofali: Mafanikio na Changamoto zake.

    Wakuu amani iwe nanyi! Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima. Karibuni sana Wakubwa.
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, biashara yangu haiendelei

    Habari wanajamvi, nimekuja mbele yenu mm ni kijana wa miaka 25, lengo la kuamdika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya biashara yangu. Mimi ni fundi kuchomea lakini pia nimejiongeza kwa kujifunza ufundi sofa. Lakini biashara yangu haitembei kabisa labda wenye uzoefu na mambo haya wanipe ushauri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…