biashara

  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya vifaa vya pikipiki na na urembo wa Pikipiki 2025

    UZI MAALUM WA KUSHARE MAWAZO YA BIASHARA YA VIFAA VYA PIKIPIKI NA UREMBO. Nipo mbeya, nna myezi minne toka nianze biashara ya VIFAA VYA PIKIPIKI nimekutana na challenges nyingi kias kua nakaribia kukata tamaa Ila kabla sijakata tamaa nimeona nirukie biashara ya UREMBO wa PIKIPIKI. ntaendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji

    Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Dr. Badr Abdelatty, wameshiriki...
  3. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Usajili wa Biashara ya Ushauri Tanzania

    Utangulizi Urasimishaji wa biashara nchini Tanzania ni hatua muhimu kwa wajasiriamali wanaotaka kukuza shughuli zao na kuhakikisha wanaendesha biashara zao kwa mujibu wa sheria. Kwa mtaalamu wa ushauri ambaye anapata wateja wengi na mapato yanayoongezeka, kurasimisha biashara sio tu kunampa...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania walalamikiwa Zambia kwa kufungua biashara nyingi kuliko wazawa

    Hii sio habari njema sana. Watanzania wenzetu walioko Zambia hasa maeneo ya kaskazini wameanza kulalamikiwa kwa kufungua kwa wingi biashara mbalimbali hasa maduka. Wazawa wanaitupia lawama idara ya uhamiaji Zambia kwa kuruhusu uwepo wa wageni wengi hasa kutoka Tanzania wanaochukua nafasi za...
  5. JamiiForums Tanzania Uvuvi na Biashara ya Sangara chini ya 50cm

    Hili jambo nimekuwa nikijiuliza na sijawahi kupata ufumbuzi.. Naombeni msaada wadau. Ni kosa kisheria kuvua, kusafirisha na kuuza sangara (Nile Perch) wa ziwa Victoria wenye urefu chini ya sentimita 50. Hii nimeitoa kwenye kanuni za uvuvi 2009. KINACHONITATIZA NI HIKI HAPA: Wavuvi wanatakiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nimejaribu mara kibao kuanzisha biashara mpya lakini mara nyingi nimekuta na na changamoto

    Nimejaribu mara kibao kuanzisha biashara mpya lakini mara nyingi nimekuta na na changamoto kadhaa, Nimefungua kampuni ikafa. Nataka nikusaidie ukianza safari yako ya kuwa na biashara au inaandaa kampuni yako hivi ni vitu muhimu kuvifanya mapema ili usirudie makosa kama ya kwangu. Changamoto...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mafuta ya kula yaliyotumika

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii biashara nimekutana na tovuti ya kampuni ya kichina wanasafirisha haya mafuta hivyo nataka kufahamu wanaposource haya mafuta. je, inawezekana wanakusanya kwa hawa wauza chips, samaki n.k?msaada nitoe tongotongo. Katika kuperuzi nimeona mafuta haya hutumika...
  8. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na biashara za mtandaoni Intelligence (IFX) ni wezi kama wezi wengine tu

    "As-salamu alaykum," kwa ndugu zangu Waislamu. “Bwana Yesu Kristo Asifiwe,” kwa ndugu zangu Wakristo Bila kupoteza muda, nimekuja kwenu hili kuwajuza juu ya wimbi la biashara za online ambazo kila kukicha zinazidi kuibuka kama uyoga. Vitu vingi vinaama kutoka kwenye ulimwengu wa kawaida na...
  9. JamiiForums Tanzania Kero za Biashara za ma bar makubwa yalivyo kuwa matapeli ila TRA mpo wapi?

    Nimekumbuka niliingia bar kubwa kinywaji nilichouziwa bei ilikuwa zaidi ya thamani ya ukweli ila nilipotaka kulipia kwa vile mimi na VAT na TIN kama mfanya biashara ilikuwa ni kukwepana tu.
  10. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano upi kati ya wakulya na biashara ya nyama ( Butcher)?

    Wakuu mtakuwa mashahidi kuanzia huko Daslam hadi huku mikoani kwenye biashara ya nyama au mabucha mengi wenye nayo ni wakurya. Leo nimeamua kuhitimisha research yangu katika mji mdogo wa Kakola ikiwa ndo senta kubwa ukanda huu wa kahama kaskazini kwani imezungukwa na migodi mingi midogo midogo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania VITABU VYA BIASHARA

    Wakubwa wenye vitabu vya Biashara na maisha tukutane hapa ili kupata ujuzi wa kuendesha biashara kama unakitabu chako Upload watu wakipate Naomba kusilisha.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara/uwekezaji Katika Utengenezaji wa Pombe Kali

    Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema. Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: FURSA YA KUSHIRIKIANA KATIKA BIASHARA YA KIWI NYEUSI

    Unatafuta fursa ya kuwekeza katika biashara yenye bidhaa inayotembea? Tunatafuta mshirika wa biashara kwa ajili ya bidhaa yetu ya kiwi nyeusi kwa viatu! ✅ Masoko yetu kwa sasa ni wanafunzi – wateja wa uhakika! ✅ Sehemu ya uzalishaji ipo tayari. ✅ Package zipo tayari kwa usambazaji. Tunahitaji...
  14. JamiiForums Tanzania Fursa kwa wafanyabiashara za karanga

    Kwa watumiaji na wafanyabiashara wa karanga Tunawakaribisha Segese, Kahama, kwa Adam Piniel Posho Mill. Tunapokea karanga kutoka kwa wakulima na kuuza kwa bei za jumla zikiwa safi na kavu. Fursa kwa vijana na wafanyabiashara Tunayo mashine ya kisasa ya kukoboa karanga kulingana na mahitaji ya...
  15. JamiiForums Tanzania Agiza kitu chochote kupitia kwetu, utalipia baada ya kupokea mzigo

    Unaweza kuagiza bidhaa zako bila kutangulia hata mia,utalipia bidhaa zako baada ya kuziona kwa macho yako. 1.Tumelenga Makundi ya watu wafuatao: Wajasiriamali. Watu Binafs. Wafanya Biashara Wakati. Wafanya Biashara Wakubwa. Wakandalasi Wafanyakazi Kada Zote. 2.Wapi Unaweza Kuagiza Bidhaa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, unatafuta ushauri wa biashara? Moms consulting iko tayari kukuhudumia

    Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara yenye pesa nyingi na faida kubwa kama kuuza majeneza na marashi yake.

    Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana. Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni. Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi. Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutafuta wateja, kwa freelancers, wafanyabiashara, agency owners, watoa huduma na biashara yoyote inayotegemea watu kuuza

    Jinsi ya kutafuta wateja, kwa freelancers, wafanyabiashara, agency owners, watoa huduma na biashara yoyote inayotegemea watu kuuza. Nitaeleze Jinsi ya 👉Kuwafikia / kukusanya watu wengi 👉Kubadirisha watu kuwa wateja 👉Kuwafanya wateja walete wenzao Tuanze na jinsi ya kuwafikia na kukusanya watu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya rehamu(welding electrode)

    Habari wakuu. Naomba kujua hizi rehamu /welding electrode (sticks za kuchomelea) zinazotoka China ambazo Ni E6013 2.5mm ,maarufu Kama gauge12 naweza zipata wapi kwa Bei ya jumla ambayo wanauziwa watu wa hardware. Nahtaji kufanya supply sehemu Ila sjajua exactly Bei wanayouziwa wao Ila Bei zao...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo 15 ya kufanya ili usipigwe bei kwenye biashara

    Habari Wana JF! Mambo vipi ndugu zangu wa Jamiiforums? Leo nimeamua kuwaletea somo la biashara ambalo naamini wengi wetu tumewahi kulia machozi kwa kulipia bidhaa au huduma kwa bei isiyo halali. Kama kuna siku nilipigwa hadi nikatamani nisirudi nyumbani, basi ni ile siku niliyoenda Kariakoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…