biashara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kila nkifanya ubunifu mshindani wangu anaiga ,wote tuko na aina moja ya biashara vinywaji na vyakula

    Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
  2. JamiiForums Tanzania Sehemu ya biashara nimekodi.kila ikifika tarehe za kulipa natumiwa sms mimi ni mwenye nyumba wako tafadhali tuma, wanajuaje hawa wezi?

    Nauliza tu kwa Nia njemaa WAPENDWA Mm na sehemu kawe tatu za BIASHARA nimekodisha KILA ukifika wakati WA KULIPA kodi nkatumiwa msg za MATAPELI NDUGU....jitahidi basi tulipane Kodi yetu na natumiwa kwenye line mbili tofauti Haitoshii Na VYUMBA napangisha airport Yaani wapangaji wannenkati...
  3. JamiiForums Tanzania Kitendo cha kugeuza elimu kuwa biashara, ni mateso kwa wazazi/walezi na wanafunzi.

    Asikwambie mtu watu wanataka A's na hela tu mengine mtajua wenyewe wazazi 1. watoto wanakalishwa madarasani kama wafungwa 2. wanakaririshwa midude hadi wanachanganyikiwa 3. watoto hawako huru, hawajifunzi vitu vya ziada nje ya masomo 4. wazazi wanteseka na ada ada ada hadi wanachanganyikiwa 5...
  4. JamiiForums Tanzania Mikakati ya Uuzaji (Marketing Strategies) kwa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) Tanzania.

    Utangulizi Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo, kuna haja ya kuwa na mikakati bora ya uuzaji inayozingatia mazingira ya kibiashara ya Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba anayefahamu biashara ya Mbao anipe mchanganuo jinsi ya uendeshaji

    HABARI WANA JAMII FORUM Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao 1,upatikanaji 2,usafirishaji 3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara 4, mtaji wa chini kiasi gani 5,namna ya kutafuta soko
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tawala za Afrika na biashara ya nishati

    TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa umeme. Kenya itatumika kama posta. Itapokea kifurushi toka Ethiopia na kukikabidhi Tanzania. Hakuna...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  8. JamiiForums Tanzania Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi kuhamasisha mabinti zao, kuwa kwenye mahusiano biashara

    Kutokana na jua kuwa kali, ardhi kuwa kame, na mazao kukaukia shambani; baadhi ya wazazi wamekuwa chachu ya kuwashawishi mabinti zao waingie kwenye mahusiano biashara. Yaani mdada anaingia kwenye mahusiano ili apate kitu, hasa hela; ili aweze kuwahudumia wazazi wake. Mabinti wamegeuzwa kuwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Njoo Tufanye Biashara ya Uwekezaji Kwenye Cocoa, Iliki na Korosho

    **"Karibu kwenye fursa ya kipekee ya uwekezaji! Uwekezaji katika cocoa, korosho, iliki, na mbaazi ni njia bora ya kujenga mali yako. Pata faida ya hadi 15% kwa mwezi kwa kuwekeza katika sekta hii inayokua haraka. Tunachofanya ni kununua nafaka kama korosho, iliki, kokoa, na mbaazi, kisha kuuza...
  11. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

    China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!) China imposes retaliatory tariffs on...
  12. JamiiForums Tanzania Nini chanzo Biashara ya mabasi kufeli?

    Miaka yote nimejikita katika malori..lakini kwa sasa napata upepo ndoto na maono juu ya biashara ya mabasi....lakini si mabasi ya kifahari....hapana ....la hasha.....ni mabasi kwa ajili ya huduma kwa raia....hasa kwenye njia mbazo ni za vumbi ndani ndani nje ya miji..... kwa daladala pamoja na...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenye kuweza kutengeneza Blog kama hii aje tuongee biashara

    Wakuu nataka blog advanced kama hii. Tafadhari kabla hujasema dau ipitie kwanza uione
  14. JamiiForums Tanzania Biashara 2 zinazomletea hasara Bakhresa

    1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo. 2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii. My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya...
  15. JamiiForums Tanzania Banda la biashara - Mbezi beach Dar es Salaam

    BANDA LA BIASHARA UKUBWA 6×6 BEI LAKI 6 TU MAWASILIANO _ 0687614981 LOCATION _ MBEZIBEACH
  16. E

    JamiiForums Tanzania Biashara yenye wateja wa uhakika

    Wakuu amani na iwe nanyi. Nahitaji mtu wa kushirikiana naye katika biashara. Awe na mtaji wa fedha kwa ajili ya kununulia bidhaa mimi ninao wateja na connection ya kuupata mzigo. Mahali pa kuupata mzigo ni popote pale ndani ya Tanzania. Kwanini natafuta partner? Sababu ni kuwa nimeyumba mtaji...
  17. JamiiForums Tanzania Fanya biashara hizi kama una mtaji kiduchu

    Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2? Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi) Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile inayoonekana ya kifahari sana na decorations nzuri Biashara ni mizunguko,faida💵. Hizi biashara Zina...
  18. JamiiForums Tanzania Anza biashara ya printing, scanning na photocopying kwa mtaji mdogo tu.

    Mashine ni mpya kabisa, imetumika kwa miezi miwili tu. Unafaa kwa matumizi ya ofisi, chuo, Stationary na biashara. Bei poa 2,000,000/- karibu tuongee. 0712302556, 0684240927
  19. JamiiForums Tanzania Mawazo ya Biashara Yaliyo wafanikisha watu.

    Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa kupitia wazo la biashara kutoka Jukwaa hili la biashara kutoa ushuhuda wa wazo na namna alivyofanya...
  20. JamiiForums Tanzania Alipay mkombozi wa biashara kwenye malipo

    Wachina wanatupeleka kasi kivitendo sana. Mfumo wa alipay umesaidia sana kulipa wachina kwa haraka bila kutumia njia za kwenda benk kutrans pesa kwa njia nyengine. Usalama ni mkubwa kwenye matumizi kama ikitokea lolote ni rahisi kupata msaada wa pesa zako. Alipay imewezesha mfumo wa kulipa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…