biashara

  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya foreign exchange faida inapatikanaje?

    Naomba kuuliza hatua za kufuata kufungua bureau de change na je kama investor kwenye hio biashara napataje faida au wenye bureau de change wanapataje faida. Natanguliza shukrani.
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya kukodisha viti na maturubai

    Habari Samahani kwa mwenye uzoefu na biashara hii naomba anipe maelezo kuhusu biashara hii 1.Garama ya viti (kuvinunua pamoja na kukodisha) 2.Garama ya turubai (kuvinunua pamoja na kukodisha) 3.Jinsi ya kuendesha na kuitangaza
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuwa na Consistency na Focus Katika Biashara na Maisha ya Kawaida

    Katika ulimwengu wa leo wenye kelele nyingi, vishawishi kila kona, na presha ya kila siku, kuwa na focus (umakini) na consistency (msimamo) imekuwa kama superpower. Watu wengi wananza vitu vizuri, lakini wachache sana wanavimaliza. Wachache zaidi huwa consistent mpaka mafanikio yaje. Ukweli ni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) - Kupata mafunzo Bure ya Usimamizi wa biashara

    Je, unamiliki duka au biashara na ungependa kuisimamia kwa ufanisi zaidi? SmartBusiness inatoa MAFUNZO YA BURE ya usimamizi wa biashara kwa watumiaji wake wote kupitia kundi la WhatsApp! Mafunzo haya yatakusaidia kukuza biashara yako kwa kukupa ujuzi katika maeneo yafuatayo: 📌 Kanuni za...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kenya yajifunza uchimbaji na biashara ya Makaa ya Mawe Tanzania

    Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za uchimbaji wa makaa ya mawe. Ujumbe kutoka Wizara ya Nishati na Petroli ya Kenya, Mamlaka ya...
  6. JamiiForums Tanzania Biashara kichaa ya CCM na System yadoda: Mabilioni yapotea, Wameanza kuropoka ovyo huko

    Kila siku tunasema CCM na system uchwara hawawezi kupambana na wakati! Sasa kila kitu kipo wazi! wanaaibika waziwazi, mipango yao yote inawekwa wazi, wananchi wanayajua yote wafanyayo gizani, mabilioni ya pesa zao walizowekeza kuiua Chadema yanaliwa alafu matokeo sifuri🤣🤣🤣 Baada ya CCM na...
  7. JamiiForums Tanzania Nifanye nini biashara yangu ikue?

    Nimejiuliza sana juu ya kulinda na kukuza mtaji lakin siona mwanga mbele yangu tafadhali naombeni mnisaidie.
  8. JamiiForums Tanzania Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo 1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi 2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ewe Mmiliki wa Shule/Chuo Tumia Njia hizi MPYA Za Kuandaa Hesabu Za Biashara Yako 2024

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta co-founder

    Habari wakuu, Nina platform ya online shopping ambayo tayari ipo hewani — kwenye website, Android na iOS. Tayari imekamilika kimuundo, na sasa natafuta mtu wa kuungana nami kama co-founder ili tusonge mbele pamoja. Nahitaji mtu ambaye ataweza kuchangia kwa kiasi fulani (either kifedha au nguvu...
  11. JamiiForums Tanzania Ukipunguza Matamanio Biashara ni Chaguo Sahihi Kuliko Ajira Kwa karne hii.

    GT Huu uzi uwafikie graduates na hustlers Kuna msemo usemao huwezi kutajirika kwa hela ya mshahara huu ni ukweli kabisa kufanya kazi kwa mtu kunanyima uhuru utakuwa mtumwa milele mishahara ya Tanzania ni midogo sana ukilinganisha na gharama za maisha. Wawekezaji wa Tanzania 80% ni wahindi...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda na Biashara, Jaffo anazungumza Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mei 15, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=wGZzLWb4Xeo Mkutano wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Waandishi wa Habari wa Jijini Dodoma kueleza mafanikio ya Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt Samia Suluhu Hassan.
  13. JamiiForums Tanzania Wizara ya viwanda na biashara yataja mafanikio miaka minne ya serikali ya awamu ya sita

    Wizara ya Viwanda na Biashara imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo uendelezaji wa miradi ya kielezo na kimkakati; upanuzi na ujenzi wa viwanda; uendelezaji wa teknolojia mbalimbali; atamizi na ubunifu; utafutaji wa masoko ya bidhaa za Tanzania ndani na nje ya nchi; ubora...
  14. JamiiForums Tanzania Huenda Azam anaweza kabisa ku dominate ligi yetu ila anahofia kuharibu biashara zake

    Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, ndoa za siku hizi ni biashara au mapenzi? Mbona talaka zimekuwa nyingi kuliko harusi?😩

    Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja. Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku hizi tunashuhudia talaka zikitolewa kwa sababu kama "Hajanitumia salamu asubuhi" au "hana gari tena"...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza mayai bei ya jumla

    Habari wakuu! Nimeanzisha biashara yangu nje na biashara zangu kuu , nauza mayai ya kisasa kwa bei ya Jumla bei zangu ni rahisi sana yaani "ONLY MAYAI SHOP" Trei 1 nauza 8,500 Napatikana Mbezi Luis Simu : 0744 767 175 whatsap pia
  17. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Dell work station, 24 inch monitor, Airtel router na 15TB hard disk

    Habari zenu,nauza vitu hivi vipo kwenye hali nzuri 1. Computer Dell precion t 3210 work station ina sehemu ya kuweka ram 8 slots, hii mashine hatari sana kwenye biashara ya movies shop, stationary na production hizi ndo wanatumia kwenye makampuni kama server maana ni hatari. 2. Kioo cha HP 24...
  18. JamiiForums Tanzania Biashara gani unaweza kuanza ukiwa na milioni 1 au chini ikakulipa kwa kudumu Tanzania

    Biashara Gani Unaweza Kuanza na Milioni 1 au Chini Ikakulipa kwa Kudumu Tanzania? Katika hali ya sasa ambapo ajira zimekuwa adimu na mfumuko wa bei unaendelea kukua, vijana wengi wanatafuta njia mbadala za kujikimu kupitia biashara .Swali linalojitokeza ni hili: Kwa mtu wa kawaida ili...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mchakato: Learn → Get Experience → Build networks → ndipo uwaze mtaji, Watanzania wengi wanafanya kinyume ndio maana wanafeli

    Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji. Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

    1.mbeya najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane 2.Iringa huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha 3.Katavi 4.Njombe 5……
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…