biashara

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Biashara ya Mbuzi imekuwa kama Pembe za Ndovu, baadhi ya mikoa ni ngumu sana kupata

    NRNE Wakuu habari za hapo juu. Inaonekana Tz sasa mazao yanayotokana na mifugo ya Mbuzi ni ngumu sana kupata. Mikoa kama Mbeya, Songea, Lindi, Mtwara, Dar es salaam ni nadra sana Inaonekana wafugaji wameacha kabisa kufuga hawa aanyama. Je kuna changamoto mpya kwenye hii industry? Au...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Biashara fulani inalipa sana pale ukisimuliwa

    Wadau Kila mtu ashawai kusimuliwa biashara fulan na faida inayopatikana ila alipojaribu alikutana na moto wa hatari , Ugumu , kukata ela , kupoteza ramani kabisa. Naomba tuelezee hapa chini biashara gani uliwahi kuifanya ikakutokea pabaya 😅😅 ???
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya Mazao

    Swali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii. SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao ( nafaka ) mikoani na kuleta kuuza Dar. Tafadhali zingatia kuwa nahitaji kujua mtaji wa chini kabisa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Scale Up Your Business-Kuza Biashara yako

    Habari za Wakati Huu; Je wewe ni mfanya Biashara au unatamani kuwa mfanya biashara?Je kama mfanya biashara unapenda kufahamu mbinu tofauti za kukuza Biashara yako na kuongeza wigo wa biashara yako?Je unatamani kufahamu mbinu mbalimbali za kutatua changamoto za Biashara.Basi tunakualika...
  6. JamiiForums Tanzania Maduka 60 ndani ya jengo moja, ni kariakoo Tanzania, bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  7. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao

    Napenda kuomba muongozo kwa wanaofanya biashara ya kusafirisha mazao nje ya nchi ya Tanzania. Yeyote mwenye ku-share knowledge
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ningependa kupata msaada kwa mwenye uzoefu wa kuuza asali nje ya nchi

    Ningependa kupata msaada kwa mwenye uzoefu wa kuuza asali nnje ya nchi. Kama kenya na kwingineko. au ambae tuanweza kushirikiana nae kufanya biashara hiyo mimi ni mtaalamu wa ufugaji nyyuki na kuzalisha asali. Kwa mawasiliano 0764866851
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yajibu hoja ya Mbunge "Kuondoa sharti la kulipa kodi kabla ya kuanza biashara"

    Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa. Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb)alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Shabiby; ukoo wenye 'damu ya biashara ya mabasi', satco express na shabiby line ni 'ndugu wa damu moja'

    Poleni na kazi wadau. Napenda kusema kwa maandishi kuwa, zipo familia hapa Tanzania zimetolewa na karama fulani. Kama ilivyokuwa kwa familia ya Rashidi Ally Matumla kuzaliwa kwa kuwa mabondia. Kama ilivyokuwa kwa familia ya Sunday Manara kuzaliwa kwa kuwa wacheza mpira. Kama ilivyo kwa familia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula Dar es Salaam

    BIASHARA! YA CHAKULA Umekuwa ukipata shida ya kununua..vifaa vya mgahawa kwa bei nafuu! Oky vizuri.uzi huu hapa. Vinauzwa vyombo vya chakula, meza , viti vya plastic . kabati ya chips na bites.na vinafaa vingne kwa mgahawa wako Piga simu +255 716023305 bei tunazungumza vizr.usijari.karbu wote
  13. JamiiForums Tanzania Kwasasa kuanza maisha kwa kufanya Biashara ili ufanikiwe unahitaji Nguvu ya ziada

    Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia... Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana Fanya biashara au shughuli ya kukutoa, sio kupoteza muda kwenye biashara za ovyo

    Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Sahau kufanya biashara na mwanaume anayekwambia 'Subiri nimshirikishe mke wangu'

    Madalali watakuwa wameshanielewa. Ni ngumu sana kufanya biashara na mwanaume anayekwambia usubiri akamshirikishe mke wake ili mkewe atoe "Go ahead" ndipo mfanye biashara. Hiyo si biashara tena, ni mahaba😀 Hakuna ambaye hajui kuwa asilimia kubwa ya wanawake sio risk taker, wengi ni waoga ingawa...
  16. JamiiForums Tanzania Je biashara ya Kondo la uzazi la Mbwa ina ukweli?

    Leo asubuhi nikiwa zangu mtaani nanyoosha miguu nikakutana na swahiba yangu mmoja ambaye aliomba kuzungumza na mimi. Tulitafuta sehemu tukakaa na kuanza kuzungumza. Tulijuliana hali na kuelezeana machache kuhusu maisha, na nilipomuuliza kuhusu harakati zake za maisha alidai kuwa anafanya kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Si kwamba Wakenya hawana aridhi ya kulima mahindi ya kula, hapana ni kwa sababu wana akili sana kwenye kilimo Biashara.

    Sisi tunalima mazao ya urith wetu, Mazao ya kuanza kuapangiwa mara usiuze mara uza, mara usiuze yote, mara Mkuu wa wilaya apiga marfuku kuuza Mahindi nje, mara Mkuu wa mkoa apiga marfuku kuuza mahindi mabichi. Wakenya huwa si kwamba hawana aridhi ya kulima mahindi ya kula wanayo sana ila tu...
  18. JamiiForums Tanzania Auto Market App: Suluhisho la Kidijitali kwa Biashara ya Magari na Vipuri Tanzania

    NRNE Takriban miezi 6 hadi 7 iliyopita, nilikuja hapa jukwaani kuelezea nia yangu ya kuanzisha jambo lenye manufaa katika sekta ya usafirishaji kupitia uzi huu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nisajili Nini Kati ya Kampuni na Jina la Biashara?

    Hili ni swali nililoulizwa na dada anaitwa "Lahey" juzi majira ya Saa 10:45 hivi jioni. Actually hii ni mara ya 17 naulizwa hili swali ndani ya miezi miwili. Na jibu langu hua ni moja tuu kila ninapoulizwa hili swali. "Sajili Kampuni" Hua Nina sababu kadha wa kadha ambazo hua Zinafanya nitoe...
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…