biashara

  1. JamiiForums Tanzania Kodi kwenye kituo cha biashara Ubungo ni pesa ngapi?

    Naona Leo wanazindua kituo cha biashara Afrika Mashariki, Ubungo. Kodi ya frame hapo ni pesa ngapi?
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Suala la kuzima mitandao linatuathiri sana sisi wafanyabiashara

    Wakuu hii haijakaa sawa kabisa. Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao . We are not serious.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani atakayeathirika zaidi kati ya Kenya na Tanzania kutokana na zuio la wafanyabiashara wadogo

    Habari wakuu Nilikuwa Offline kwa muda niliporudi nimekutana na zuio la kibiashara kwa raia wa kigeni machoni, nimewaza sana, unajua ninyi mnaokaa Dodoma hamjui changamoto ya haya maamuzi. Mungu asaidie tu wenzetu wasichukulie serious maana tutaenda kulia.
  4. JamiiForums Tanzania Biashara ya juisi kwa 150,000/=

    Habarini wana jf nina mtaji wa 310,000 tsh lakini nataka nitumie 150,000/= kufany biashara ya juisi za matunda. Naombeni ushauri sina blender wala freezer. Nawasilisha
  5. B

    JamiiForums Tanzania SBL Yazindua Mpango wa Kilimo Biashara Kuongeza Mavuno kwa Wakulima

    Mkurugenzi Wa Masoko ya Kilimo na Usalama Wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Obinna Anyalebechi wakiashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa ‘Shamba ni Mali’ wenye lengo la kuwanufaisha...
  6. L

    JamiiForums Tanzania "Fungua Kampuni Badala ya Jina la Biashara"

    Huu ulikua ni ushauri wangu wa mwisho kumpa AISHA juzi mchana. Kwenye thread hii nitakuonesha faida za kufungua Kampuni badala ya Jina la Biashara kama nilivyomwambia AISHA. 1. Limited liability Kampuni ni legal person na inajitegemea kutoka kwa Mmiliki wake, hivyo kwenye event kama ya kulipa...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Vijana tumejiandaa vipi na fursa zinazotokana na wafanyabiashara wa kigeni waliozuiwa kufanya biashara nchini?

    Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara ndogondogo wa Kenya wacharuka baada ya Tanzania kuzuia wageni kufanya biashara ndogondogo

    Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania. Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
  9. JamiiForums Tanzania hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

    Habari ndugu zangu nlikua naomba kuuliza kwa mtaji wa M1 kama kijana ni biashara gani unaweza kuifanya na ikawa na mzunguko mkubwa wa pesa??
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa huna hela mipango ya biashara ina click vizuri kichwani

    Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria biashara ya uji,matunda,genge...na tena kisasa ma innovations kama yote.. Kosa waniingizie mkwanja Tu...
  11. JamiiForums Tanzania Kukataza biashara 15 zisifanywe na wageni ni kupuyanga na kuwalisha wazawa vibovu

    Tunajua kuwa serikali imezuia wageni kufanya aina 15 za biashara hapa nchini. Nia ni njema ya kuwapa wazawa ajira. Hata hivyo Kuna wakati uwamuzi huu itasababisha wateja (wageni na wazawa) kulishwa huduma mbaya na wazawa wetu. Mfano, simu yangu ilipata hitilafu nikaipeleka kwa mafundi wengi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara zangu Bora kwa sasa hapa bongo NI apartments, pool tables, saloon.

    Bado kuna upungufu mkubwa wa nyumba na lodge aisee wageni nchini wanazid kuingia mambo NI MENGI wachina na watu kutoka Mataifa wanamiminika kwenye miradi.imagine anakuja mchina anakuta Una nyumban hujamaliza kujenga yuko tayari kukupa hela uimalizie finishing wahamie.cake ya TAIFA iliwe kila mtu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kama Unataka Kufunga Biashara Yako au Kupumzika Kufanya Biashara Kwa muda Fulani, Fuata hatua hizi

    Kama ukisajili biashara yako Brela na ukatalka kufunga au kuacha kufanya kwa muda hizi ni hatua za kufuata; 1. Funga jina la biashara Hapa Kuna processes kadhaa -Log in kwenye account yako ya Brela -Chagua new services -Chagua business name cessation Brela watakutaka uandike sababu ya wewe...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
  15. JamiiForums Tanzania Aina za biashara zilizopigwa marufuku kwa wageni wasio raia

    Uuzaji wa bidhaa kwa jumla na rejareja (isipokuwa supermarket, maduka ya bidhaa maalum, na vituo vya jumla vya wazalishaji wa ndani). Uhamishaji wa fedha kwa njia ya simu (mobile money). Matengenezo ya simu na vifaa vya kielektroniki. Biashara ya saluni (isipokuwa kwenye hoteli au kwa shughuli...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya Kwanza)

    KAMA UNA MTAJI NA UNATAFUTA BIASHARA YA KUFANYA? Umeshawahi kufikiri kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji? Hii ni moja kati ya biashara zinazokua kwa kasi sana, kwani maelfu ya vijana wamejiari kwenye boda boda na bajajiIdadi hii inaongezeka siku hadi siku, hivyo kufanya idadi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Million 8 nifanye biashara ya nafaka kwa njia ipi? Njia ninayowaza ni hii

    Wakuu, nipo Kigoma town, changamoto iliyopo hapa ni purchasing power ni ndogo, watu ni wachache kwahiyo mzunguko sio mzuri sana, Mimi ni mtumishi wa umma. Idea nilikua nayo kama 3. 1.phone accecories Huku charge wanauza 8000, protector 5000, n.k bei zipo juu kweli kweli, niliwaza kufanya hii...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini watanzania hawapendelei Malipo kwa njia ya mtandao?

    GT Jambo moja ambalo huwa linanishangaza kwa watanzania ni kupenda kutumia cash katika manunuzi mbalimbali ya vitu. Faida za online transactions ni kama hizi hapa. 1. Kurahisa ukusanyaji waa kodi Kwa njia ya cash ni mtihani mzito maanake mpaka mfanya biashara awe mwamimifu kwa TRA.Lakkni pia...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza ferniture Arusha

    Habari Wana jf naomba kuuliza nataka kufanya io biashara ya kuuza ferniture Arusha Mimi ni fund sofa ,bed sofa na pia niuze magodoro.naomba ushauri Wana Arusha inalipa uko
  20. JamiiForums Tanzania Biashara ya fenicha Arusha

    Habari Wana JF naomba kuuliza nataka kufanya hio biashara ya faniture Arusha. Mimi ni fundi sofa, bed sofa na pia niuzie magodoro. Naomba ushauri Wana Arusha inalipa uko
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…