biashara

  1. JamiiForums Tanzania Hakuna biashara za kutangaza kwenye mabango ya matangazo ya miji?

    Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi. Uwepo wa matangazo ya CCM ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto lukuki zakabili biashara ya mazao ya kilimo hai Afrika Mashariki

    Wafanyabiashara katika soko la Kilombero Arusha. Arusha. Wakati Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiweka msingi wa uhuru wa kusafirisha bidhaa na huduma kati ya nchi wanachama, bado kumekuwa na changamoto zinazokwaza itifaki hiyo kutekelezeka. Lengo la itifaki...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Warsha inayofadhiliwa na China yaboresha uwezo wa biashara wa wajasiriamali wanawake wa Ethiopia

    Hanan Ahmed, mmoja wa wajasiriamali 66 wa Ethiopia waliohudhuria warsha ya Programu ya Uwezeshaji wa Ujasiriamali wa Wanawake Duniani (GFEEP) inayofadhiliwa na China huko Addis Ababa, nchini Ethiopia, alikamilisha programu hiyo akiwa na moyo wa mafanikio na ujuzi mpya alioupata katika masuala ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kituo cha usambazaji kilichojengwa na Wachina nchini Tanzania charahisisha biashara ya kikanda kote Afrika Mashariki

    Kwenye ghorofa ya tatu ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, majora mengi ya vitambaa yaliyopangwa vizuri yamejaza rafu huku wateja kutoka kila pembe ya nchi na nje ya nchi wakiingia ndani. Na kwa Ayoub Katuga...
  5. JamiiForums Tanzania Mkishakuwa mnafanya biashara haramu hamuwezi kupelekana polisi wala mahakamani

    Kwa wale wanaofanya biashara ambazo zipo nje ya sheria ni ngumu sana kumpeleka mwenzake polisi au mahakamani kisa kamzulumu. Kwa uchafu wa CCM wa serikali ya Samia ni ngumu samia na wenzake wote wa ccm kuweza kukemeana au kufikishana polisi au mahakamani. Wanaomzunguka ndio wanaharamu wenzake...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa hili kuhusu biashara ya viatu

    Habari ndugu zangu, Naomba ushauri juu ya jinsi ya kununua viatu vya wanawake vyenye ubora kutoka China kuja Tanzania kwa bei nzuri. Je, kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano ya wauzaji wa kuaminika au mawakala wa mizigo (cargo)? Ushauri wowote utathaminiwa sana. Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
  8. JamiiForums Tanzania Maendeleo Mbagala Rangi 3 yamekuja na Kushamiri kwa biashara ya ukahaba

    Wakuu kheri ya mwaka mpya. Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara. Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Machimbo ya bidhaa za buchani

    Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
  10. JamiiForums Tanzania Shirika la Maji Tanzania

    Habari Tanzania Nawaomba wenye mamlaka na wale wataalamu wa mambo ya Sheria na watunzi wa sera; na wale wote wapendao maendeleo. Ikiwapendeza; Muunde Shirika la Taifa ambalo litajenga Mfumo wa Grid ya Maji ya Taifa na kuiunganisha nchi nzima. Alafu Mamlaka za Maji Vijijini na Mijini ziwe...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri biashara ya uwakala(M-PESA, tiGO Pesa nk)

    Habari zenu wana jamvi, Mimi naishi Dar es salaam lakini nataka kufungua vibanda viwili vya uwakala niwe na yas, Airtel money na mpesa kwasababu wilayani kwetu mwanza mtaani Kuna uhaba sana Lengo langu niwe na vibanda viwili wilaya nzima maeneo tofauti tofauti na mimi nikiwa huku huku Dar...
  12. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, Leseni za Biashara na mengineyo?

    Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo? Jibu ni ๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—›๐—ผ๐—น๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜€ ๐—Ÿ๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—ฑ (๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—ฆ๐—ผ๐—น๐˜‚๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€) โ€” kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu sana upate...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya pikipiki za mkataba ni utapeli

    Aisee hivi alieanzishaga mambo ya pikipiki ya mkataba kwamba unampa boss hesabu baada ya muda flani chombo inakuwa yako ni nani? Biashara karibia zote nikwamba unafanya kazi nakulipa then chanzo cha mapato/biashara naendelea kumiliki mimi. Huu mfumo wa boda za mkataba inamaana namuwekezea dereva...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ushirikiano wa biashara (Partnership Opportunity)

    Habari wadau. Natumaini wote wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja, Natafuta mtu au kampuni iliyo sajiliwa Tanzania kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara katika kuingiza na kusambaza bidhaa za vinywaji kutoka nje ya nchi (international beverage brand) kwenye soko la Tanzania. Kwa sasa niko...
  15. JamiiForums Tanzania Shishi, achana na biashara ya Chakula

    Gen Z si watu wazuri aisee. Hawa watu wamejipanga kukukwamisha tena. Dada achana na hii biashara kabisa. NB: baadhi ya wapishi wako ni Gen Z wasije wakaweka sumu kwenye Chakula wateja tukadhurika
  16. JamiiForums Tanzania Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya hewa ukaa

    Wapambanaji na wafurukutwa habari ya jioni. Naomba kujua kuhusu biashara ya hewa ukaa kwa uzoefu katika maeneo yafuatayo: 1. Maana ya biashara ya hewa ukaa. 2. Vitu vya kufanya ili ukidhi vigezo vya kufanya na kunufaika na biashara hiyo. 3. Wanaohusika na kulipa na kiwango cha malipo. 4...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bucha: Faida na changamoto zake

    Naomba kujua nini changamoto ya biashara ya bucha la nyama,samaki na dagaa kwa dar es salaam.faida inayopatikana na kama kuna chochote cha kujifunza
  19. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza katoni za maji, kuna faida kiasi gani.

    habari zenu jamii forums ningependa kujua faida ya kujua katoni za maji makubwa ya lita 1 na nusu Wanaouza wanaweza kuyaleta kwa gari zao, hakuna gharama za usafiri
  20. JamiiForums Tanzania Nauza Stock Management System ya kusimamia Mauzo na manunuzi katika biashara yako kwa 300, 000 TU

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ