bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia, ruhusu watu wanywe bia 24/7 ukuze uchumi

    Mama, kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa. Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi, wakati wa furaha na wakati wa huzuni. Pombe ni kiburudisho baada ya kazi. Kuna kazi mbalimbali...
  2. Uhujumu wa Bandari yetu

    Kuna hujuma ya kupunguza mapato ya nchi dhidi ya sheria tata za pollice wetu, baada ya hizi ajali za mara kwa mara police wameweka sheria hizi gari za IT kutokubeba mtu zaidi ya dereva tu. Sasa unakuta mtu anakuja kuchukua gari yake, hapohapo afanye shopping, aje na mkewe au mtoto wake, atakua...
  3. Watu wa serengeti bia mnapoteana

    Bia zenu serengeti sasa zinaradha ya sukari sana halafu unapiga hata tatu hakuna stimu unamaliza hela tu.Lakini zamani ukipiga tatu angalau.Lakini serengeti hizohizo mikoa mingine zipo poa.Mkiendelea kuleta kanya boya tutafanya kampeni ya kuwaharibia tena nasisitiza toeni bia zenu zenye ladha ya...
  4. Hakika Yanga SC 'mmetuumbua' leo kwa vitendo tuliyojua jezi zenu nyeusi ndiyo zenye bahati kwenu

    Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo.... 1. Yanga SC inacheza Kiupambanaji hasa Spirit ambayo unaweza Kuitafuta kwa Tochi katika Vilabu Vingine. 2. Kocha...
  5. Rais Paul Biya wa Cameroon anasurika kifo Ufaransa akisherekea miaka 40 ya Urais

    Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu. Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu. Bia anamwaga muda si mrefu. Nikiripoti habari nyepesi ama...
  6. Nikuite bar, nikununulie bia na matusi kunitukana?

    Nimechoshwa na tabia wanadada wenye midomo isiyo na marinda. Kama umelewa usitukane, Kwa sababu hata gemu haliwezi kunoga
  7. Uzalishaji wa Pombe washuka kwa kasi Tanzania

    Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha uzalishaji wa bia nchini umeshuka kutoka lita milioni 386 mwaka 2020, hadi lita milioni 380, ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 1.5. Kwa upande wa pombe aina ya konyagi nayo uzalishaji wake...
  8. Msaada: Natafuta wakala wa bia Mwanga au Same

    Wakuu nimezunguka wilaya ya Mwanga nimekosa wakala wa bia. Mimi nahitaji bia za jumla kreti 300 Au atakaweza kuniunganisha na muhusika atakae weza kunisaidia nitashukuru. Au namba za makao makuu ambapo ataniunganisha na wakala
  9. Biashara siyo rahisi

    Nimeamini ndiyo maana wafanyabiashara huwa ninawaona wachoyo hawatoi kumi yao. Biashara ina tuvimambo fulani fulani huwezi kuvikuta kwenye kuajiriwa. Aisee,biashara si jambo jepesi, yaani kujiajiri kwa kifupi fikiria kuamka saa 9 usiku kufata samaki Feri. Halafu kupeleka uji usiku wa manane...
  10. JKCI: Mwanaume anatakiwa kunywa Bia 2 na mwanamke Bia 1 tu kwa siku

    MWANAUME anatakiwa kunywa uniti mbili za bia sawa na chupa mbili wakati mwanamke anapawa kunywa unit moja ambayo ni sawa na chupa moja ili kuepuka magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Moyo. Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo...
  11. Mtoto wa kati ya 5-7 anakunywa bia na mama ake

    Ni ajabu na kweli. Jana nikiwa bar moja maarufu mjini nilishuhudia mwanamke wa kati ya 30-45 akiwa ameagiza Serengeti lite Moja tu mezani. Tukiwa tunaangalia mechi yang vs Azam ghafla jicho lilitua kwenye meza ya jiran na bila hata aibu mwanamama yule akiwa anamuacha mwanae anachukua Ike chupa...
  12. M

    Wanawake wadangaji hatari sana. Unakunywa bia ya 1500 yeye anaagiza St Anna bila hata aibu

    Yaani hayana hata aibu. Kisa tu umeliita mahala njoo ili upate kilaji alafu nikupige mashine. Linaaagiza wine wakati lina njaa na matatizo lukuki.
  13. M

    Nashauri tunywe bia Guinness smooth stout hautajutia 2 hadi 4

    Sina mengi ila chukua coca moja na beer Guinness smooth mbili, hautajutia kamwe ni raha sana. Wachache watanielewa, sitaongeza nyama tujiongeza kula vizuri kunywa kiasi
  14. Leo ni Siku ya Bia duniani

    Wakuu leo August 5 ni siku ya Bia duniani. Siku hii husherekewa kila mwaka siku kama ya leo Sisi tunaopenda kujiburudisha na kinywaji hiki adhimu ambacho kusema kweli hata Wamisri wa kale enzi za Mapharao waliamini bia ni zawadi toka kwa mungu tusiache kupita zile sehemu zetu za kujiburudisha...
  15. Afande Sele: Bondia Karim Mandonga alikuwa baunsa wa kundi letu, alipenda msosi kuliko bia

    Zamani bondia Karim Mandonga alikuwa 'baunsa' wa Watu Pori, kundi la Afande Sele. Alikuwa anapenda msosi kuliko bia, kila wenzake wakiagiza bia moja naye anaagiza sahani ya chips. Afande Sele anasema Mandonga mtu wa kazi kweli.
  16. Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

    Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata. Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari. Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao. Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana...
  17. Wanywaji wa bia washauriwa kunywa chupa moja kwenda nyingine baada ya saa moja

    Hayo yamependekezwa leo na prof. Mohammed Janab, mkurugenzi wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Namnukuu. Nakumbushia tena kunywa pombe chupa moja hadi nyingine ukienda baa kuanzia saa moja hadi saa mbili kunywa chupa mbili za bia. Ule muda uliobakia tazama mpira, tamthilia. Ukitoka...
  18. M

    Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

    Wengi ni watu wasiojiamini. Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu. Wanaamini sana uchawi na ushirikina. Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini. Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini. Hawafai kabisa
  19. M

    Kama una kreti tupu za soda na bia na unataka kuziuza tuwasiliane

    Wakuu habarini za jioni. Kwa yeyote mwenye kreti tupu za soda na bia kampuni yeyote Ile na anataka kuziuza, naomba tuwasiliane. Hata kama unazo kreti 1000 au zaidi nitazinunua, nipo morogoro mjini.
  20. Nilikuwa nakata bia na majamaa, mmoja akaleta za kitoto nikamchapa

    Wakati mwingine najiona Nina matatizo. Siku Moja ikiwa na jamaa zangu tukila yombe, mlevi mwenza akajifanya hamnazo. Nina tabia ya kutopenda upuuzi niwe nimelewa au kavukavu naweza chapa MTU. Wkati flan nilimuomba jiran kwenye daladala anipishe akakataa, nikamkamata shingo na kumtupia Siri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…