bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

    Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi? Au ni ulimbukeni tu?? Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer. Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    Habari zenu wakuu kama heading inavojieleza hapo juu, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya wifi internet mtaani kwa kupitia router na kuwalipisha wateja kwa masaa Ninaomba kuuliza je kisheria iko sawa, pia kuna changamoto gan katika hii biashara Naomba kuwasilisha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Habari wakuu! Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini? Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Gambo tulikuambia Lema ni mbarikiwa Wa Mungu

    Pole Sana Gambo Karma imekupa haki yako unayostahili
  5. JamiiForums Tanzania Nimekunywa bia ila nimekutana na uchafu

    Wakuu kwema? leo katika harakati zangu za kupoza mwili nimekutana na bia chafu balaa. Hivi naweza vipi kupata msaada wa kisheria maana nimekunywa moja imefika nusu nikaona uchafu. Kutazama nyingine nayo chafu. Naweza vipi kuwasiliana na wahusika?
  6. JamiiForums Tanzania Nchi inatafunwa sana, watu wanakunywa bia na kutukana

    Nchi inatafunwa sana, watu wanakunywa bia zaidi ya M+ wakati kipato chao haki reflect na kile kazi wanayofanya. Vijana wanazidi jeuri mtaani na wanajipongeza daily. NRNE. Tumia busara zako, sishinikizi. Ila kuna ulazima mkubwa wa kuitoa CCM madarakani.
  7. JamiiForums Tanzania Duh! Bia za milioni 9!

    Nisiseme mengi.
  8. JamiiForums Tanzania Bagamoyo International Airport (BIA) itakuza utalii

    Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
  9. JamiiForums Tanzania Mmea huu ndiyo hufanya bia ziwe chungu

    Watu wengi hufikiri uchungu wa bia unatokana na pombe. Uchungu wa bia hutokana na mmea unaoitwa hop. Watengenezaji wa pombe hutumia mimea mbalimbali kuzipa pombe ladha mbalimbali. Mmoja wa mmea huo ni hop ambao huzipa bia uchungu. Mmea huu upo jamii moja na mmea wa bangi lakini hauna kemikali...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Happy birthday bia ya safari lager leo umetimiza miaka 48 ya kuzaliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siku ya furaha,siku ya kukumbukwa HAPPY BIRTHDAY SAFARI LARGER Tarehe 4 Februari 1977 siku kama ya leo bia ya SAFARI LAGER ilizinduliwa na kampuni ya bia Tanzania Breweries katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam. Sherehe za uzinduzi zilifanyika New Africa hotel...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna bia za kike na za kiume?

    Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa? Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
  12. JamiiForums Tanzania kiwanda cha bia TBL kuna tatizo gani?

    bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani? Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana? uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...
  13. JamiiForums Tanzania Hesabu za kiwanda cha bia (Tanzania Brewries Limited) ziko salama kiasi gani? Mbona wanasema ETI kampuni inaelekea kufa?

    Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni?
  14. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

    Mirinda nyeusi inaniita..... kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋 Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Bia ipi nzuri?

    Mi niko Mbeya town nauliza kwa wadau wanaojua bia gani tamu na inalewesha inapatikana wapi na shingapi kwa moja na kwa katoni..?
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mbowe kumnunulia lissu kiti Moto na bia , mara akiwa musoma alinunua samaki na ugali wa mtama anamaanisha nini?

    Mbowe kaanza visingizio mapema. Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi? Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo? Mbowe atangaze Sera au aseme walikula wote hivyo vyakula, asilete ujanja ujanja kisa uchaguzi
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
  18. JamiiForums Tanzania Deo Mwanyika: Wanywaji wa Bia wamepungua, hali yatishia kukua kwa Uchumi wa nchi

    Makusanyo ya mapato ya makampuni ya bia nchini yameshuka kwa karibu asilimia 20, hali inayoonekana kusababishwa na kupungua kwa wanywaji wa bia kufuatia ongezeko la ushuru wa bidhaa lililowekwa na serikali. Ongezeko hili la ushuru limewafanya wanywaji wengi kuhamia kwenye vinywaji mbadala...
  19. JamiiForums Tanzania Nani aliwafundisha wanywaji bia kupima ubovu wa bia kwa kuangalia povu?

    Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya? Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.
  20. N

    JamiiForums Tanzania TBL imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu

    Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…