Habari wakuu!
Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini?
Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto...