benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtendaji wa Kijiji aliyedaiwa kupanga wizi wa kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa adaiwa kuhama chini ya Ulinzi wa Polisi

    Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii! Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura katika kijiji hicho na hadi leo hakuna aliyetangazwa mshindi! Yaani @ccm_tanzania ijiandae kwa...
  2. Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone yarejesha bilioni 34 zilichukuliwa na Salim Mansaray, mfanyakazi wa benki, ambaye alizificha Dubai

    Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone imefanikiwa kurejesha dola milioni 1.5 (TSh. Bilioni 3.960) kutoka kwa mfanyakazi wa benki aliyehusika na vitendo vya rushwa. Francis Ben Kaifala, Mkuu wa Tume hiyo, alithibitisha kuwa fedha hizi, zinazokaribia Shilingi za Sierra Leone bilioni 34...
  3. Wadukuzi wavamia mifumo ya Benki Kuu Uganda na kuiba Mabilioni ya fedha

    Wakuu, Inaonekana huko nchini Uganda masuala ya "hacking" na "cyber security" yamepamba moto mno. Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia mifumo ya Benki Kuu na kuiba fedha, lakini imekanusha madai kuwa kiasi kilichoibwa kilifikia dola...
  4. Mwenyekiti wa zamani wa benki ya China ahukumiwa kifo

    Mwenyekiti wa zamani wa Benki ya China, Liu Liange amehukumiwa kifo kwa kupokea hongo ya dola milioni 16.8 (TZS bilioni 44.4) pamoja na makosa mengine ya ufisadi na utoaji wa mikopo kinyume cha sheria. Mahakama ya China imeamuru mali zote binafsi za Liu zitaifishwe na mapato yake yote...
  5. BoT Inawatambua Wakopeshaji wa Mitandaoni Wanne Pekee!

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku aplikesheni 55 zikikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili ziondolewe mtandaoni. Meneja...
  6. G

    Kuna benki unasubiri saa zima kuweka/ kutoa pesa. Ni benki gani ya kuaminika ambayo nitahudumiwa fasta?

    Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa. Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1. Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
  7. T

    Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo amwagia maua Rais Samia katika Jukwaa la Kimataifa

    Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil. Akisisitiza mvuto wake, ujasiri wake, na maendeleo makubwa aliyoyafanikisha kwa Tanzania, kauli ya...
  8. Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  9. Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs)

    Dar es Salaam, Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
  10. A

    Hizi benki zetu zina maudhi

    Unakuta ndani counter ina madiridha 6, lakini teller mmoja tu! Inaleta usumbufu usio wa lazima hata kidogo. Kama hapa tupo NBC DUCE hapa Moapa stadium ni kero iliyoje. Teller mmoja tu wateja kibao. Wao wapo wanapitapita tu na meneja yupo hana habari. Jirekebisheni
  11. K

    Mpango wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania yasaini Mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania

    Katika hatua ya kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania na washauri wabobezi wa biashara, jana Novemba 5, 2024. Lengo kuu la mradi huu ni kuwajengea Wanawake uwezo katika biashara zao...
  12. Ni kweli kwamba kama hujajiandikisha kuchagua hutopata mkopo benki na kudhamini watu?

    Za asubuhi? Nimeskia sehemu kwamba wanaanzisha Sheria uchwara kama hukujiandikisha kuchagua huwezi kupata mkopo benki, huwezi kumdhamini mtu. Unatambulika sio raia wa nchi hii hali ni mbaya katika daftari la uandikishaji wananzengo waligoma.
  13. Kwanini Benki Kuu iliyo chini ya Serikali ya CCM imeamua kubadili Noti za Tanzania mwakani ambako pia kuna Uchaguzi Mkuu?

    Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
  14. Kila couple au family inatakiwa iwe na akaunti nne za benki

    1. Akaunti ambayo itatumika kulipia bills. Hii akaunti mnakubaliana muwe mnaweka kiasi gani kwa mwezi kila mmoja. 2. Saving akaunti. Hii ni ya pesa zenu za saving ambapo itatakiwa kusainiwa na wote wawili ili pesa zitoke. 3. Akaunti ya mume. Hiyo yako, tumia pesa uwezavyo. Kula maisha. 4...
  15. Benki Kuu yasema “Application 55 za Mikopo ya Mtandaoni hazijasajiliwa”

    Imeelezwa kuwa program tumizi (Application) 55 zinazotumika kutoa mikopo mitandaoni hazitambuliki na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu Mwandamizi wa BoT, Deogratius Mnyamani na kuongeza kuwa baada ya muda wa uhakiki kupita, Application hizo zitafungiwa kutoa huduma...
  16. Wizara ya maji na benki ya maendeleo ujerumani (KfW) kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
  17. Benki kuu kununua madini, kama ni kweli asee hongera sana kufanya hivyo

    Chekini wenyewe
  18. Exim Benki yaamsha Matumaini kwa Wagonjwa wa Afya ya Akili

    Benki ya Exim Tanzania imefanya tamasha linalojulikana kama ‘Exim Bima Festival 2024’ lenye lengo la kuchangia huduma za afya hususani kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Afya ya Akili. Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amezindua Tamasha la Exim Bima Festival ikiwa...
  19. Nini kiliwapata Zimbabwe mwaka 2008?

    In 2008, mfumuko wa bei ulifikia viwango vya juu sana, na kusababisha dola ya Zimbabwe kupoteza thamani yake na serikali kuiacha mnamo 2009. Tangu wakati huo, dola ya Marekani na sarafu nyingine za kigeni zimekuwa zikitumika sana katika uchumi. Juhudi walizofanya wakiamini wataweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…