bendera

  1. JamiiForums Tanzania Bendera ya Tanzania kubandikwa na Mtanzania kwenye shamba lake ni kosa vipi bongo zozo kuitembeza nchi mbalimbali

    Mimi nilifundishwa kuieshimu Bendera ya Tanzania, nilifundishwa ikiwa Ina shushwa au inapandishwa Mimi nisimame MGUU sawa na kubana makalio yangu nisije Jamba ili Hali inapandishwa au kushushwa POPOTE pale. Leo Kuna mtanzania ametandaza bendera za Taifa kwenye shamba lake sijui alizinunua wapi...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria: Je, ni kosa kupandisha bendera ya taifa nyumbani kwako?

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake. Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi. Pascal Mayalla
  3. JamiiForums Tanzania Chadema Yapandisha Bendera Kituo cha Polisi

    Baada ya Chadema Kuchoma Kituo cha Polisi Nyankumbu mkoani Geita, leo CHADEMA wameamua kupandisha bendera yao mbele ya kituo hiko cha polisi katika mlingoti unaopandishwa bendera ya Jeshi la Polisi. Hii ni Ishara kuwa Chadema wamedharau jeshi la Polisi na sasa wamedhamiria kuteka, kulipua na...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA wakishiriki kupandisha bendera za chama chao huko Katoro Geita

    Je, hii ndio Sababu ya Sisty Nyahoza kutaka kuifungia Chadema?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Tuna madeni takriban milioni 100 yanayotokana na uchaguzi yakiwemo ya bendera na T-shirt

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema chama hicho kinna madeni takribani ya Milioni 100 yaliyotokana na kampeni za uchaguzi mkuu 2025. "Kuna mtu mpaka leo anatudaidai...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Tanganyika, Ishara ya Ukombozi

    Hakuna Ukombozi hadi Tanganyika huru. Vijana Tiktok wameanza upya.
  7. JamiiForums Tanzania POTOSHI Mwanaanga Christina Koch apeperusha bendera ya Ghana kwenye misheni ya Artemis 11

  8. JamiiForums Tanzania Nchi Zinazofanania rangi za bendera au Kukaribia kufanana

    ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia โ€” ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡จ Monaco ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด Romania โ€” ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฉ Chad ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Netherlands โ€” ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡บ Luxembourg ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช Ireland โ€” ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Cรดte dโ€™Ivoire ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ Slovakia โ€” ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ Slovenia ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia โ€” ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ New Zealand ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡น Haiti โ€” ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ Liechtenstein (historical) ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia โ€” ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ Slovenia ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Belgium โ€” ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ Guinea โ€” ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Mali ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฏ Fiji โ€” ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ป Tuvalu ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, kupeperusha bendera ya Tanganyika kunaweza kuonekana ni uchochezi?

    Kama kichwa kinavosema, kutumia bendera ya Tanganyika kama utambulisho wa upande mmoja wa Muungano, inaweza kuhesabiwa kama uchochezi? Na bendera za Tanganyika zilitupwa au kuchomwa?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania? Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela? Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
  11. JamiiForums Tanzania Yah; Pongezi kwa kutangaza bendera yetu kama โ€œchapa ya cocaineโ€ duniani

    Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania kukamatwa El Salvador 06.02.2025 ikiwa na shehena ya tani 6.6 ya dawa za kulevya. Mlikuwa mnasubiri upepo upite, au mlikuwa mnapiga hesabu za jinsi cocaine tani 6.6 zilivyoweza kutosha katika meli inayopeperusha utambulisho wetu bila ninyi kufahamu Je...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni

    Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni.
  13. JamiiForums Tanzania Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?

    Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ? Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda wakabidhiwa bendera na CAF

    Afrika Mashariki PAMOJA AFCON 2027 tayari imekabidhiwa kwa viongozi wa Tanzania, Kenya na Uganda tayari kwa Kombe la Mataifa 2027. Upande wa Tanzania umewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akiambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X wabadili bendera ya Iran

    https://x.com/NiohBerg/status/2009742024384147606 Ndugu zangu hakuna namna ya kuimboa Tanganyika, zaidi ya Kupandisha bendera ya Tanganyika, hatutaki Muungano, Walizuia Sherehe za Muungano lakini wameenda kufanya sherehe za Mapinduzi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wairan Wakiunda Bendera ya Iran kabla ya Mullahs, Watanganyika mnakwama wapi?

    https://x.com/ShayanX0/status/2007597953394061390 Ukiwa ndani ya nyumba yako tafuta vitambaa vitatu shona bendera ya Tanganyika.
  17. M

    JamiiForums Tanzania TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

    Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika. Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona. Kitendo hiki...
  18. JamiiForums Tanzania 14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Bendera, utumwa wa mfumo

    Watanzania wengi wanapenda kuamini kwamba vyama vya siasa ndio injini za maendeleo: CCM, CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF, TLP, ADA-orodha ndefu, matumaini machache. Wanapenda kufikiri kwamba mabadiliko yatatoka kwenye sanduku la kura, kana kwamba sanduku limebeba miujiza, sio majina ya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ