bendera

  1. ELI COHEN

    Nchi Zinazofanania rangi za bendera au Kukaribia kufanana

    🇮🇩 Indonesia — 🇲🇨 Monaco 🇷🇴 Romania — 🇹🇩 Chad 🇳🇱 Netherlands — 🇱🇺 Luxembourg 🇮🇪 Ireland — 🇨🇮 Côte d’Ivoire 🇸🇰 Slovakia — 🇸🇮 Slovenia 🇦🇺 Australia — 🇳🇿 New Zealand 🇭🇹 Haiti — 🇱🇮 Liechtenstein (historical) 🇷🇺 Russia — 🇸🇮 Slovenia 🇧🇪 Belgium — 🇩🇪 Germany 🇬🇳 Guinea — 🇲🇱 Mali 🇫🇯 Fiji — 🇹🇻 Tuvalu 🇨🇿...
  2. M

    Je, kupeperusha bendera ya Tanganyika kunaweza kuonekana ni uchochezi?

    Kama kichwa kinavosema, kutumia bendera ya Tanganyika kama utambulisho wa upande mmoja wa Muungano, inaweza kuhesabiwa kama uchochezi? Na bendera za Tanganyika zilitupwa au kuchomwa?
  3. K

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania? Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela? Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
  4. Dalton elijah

    Yah; Pongezi kwa kutangaza bendera yetu kama “chapa ya cocaine” duniani

    Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania kukamatwa El Salvador 06.02.2025 ikiwa na shehena ya tani 6.6 ya dawa za kulevya. Mlikuwa mnasubiri upepo upite, au mlikuwa mnapiga hesabu za jinsi cocaine tani 6.6 zilivyoweza kutosha katika meli inayopeperusha utambulisho wetu bila ninyi kufahamu Je...
  5. Genius Man

    Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni

    Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni.
  6. Genius Man

    Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?

    Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ? Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
  7. Waufukweni

    AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda wakabidhiwa bendera na CAF

    Afrika Mashariki PAMOJA AFCON 2027 tayari imekabidhiwa kwa viongozi wa Tanzania, Kenya na Uganda tayari kwa Kombe la Mataifa 2027. Upande wa Tanzania umewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akiambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia.
  8. M

    Mtandao wa X wabadili bendera ya Iran

    https://x.com/NiohBerg/status/2009742024384147606 Ndugu zangu hakuna namna ya kuimboa Tanganyika, zaidi ya Kupandisha bendera ya Tanganyika, hatutaki Muungano, Walizuia Sherehe za Muungano lakini wameenda kufanya sherehe za Mapinduzi
  9. M

    Wairan Wakiunda Bendera ya Iran kabla ya Mullahs, Watanganyika mnakwama wapi?

    https://x.com/ShayanX0/status/2007597953394061390 Ukiwa ndani ya nyumba yako tafuta vitambaa vitatu shona bendera ya Tanganyika.
  10. M

    TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

    Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika. Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona. Kitendo hiki...
  11. CHAGOSI GERALD

    14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  12. CHAGOSI GERALD

    Uhuru wa Bendera, utumwa wa mfumo

    Watanzania wengi wanapenda kuamini kwamba vyama vya siasa ndio injini za maendeleo: CCM, CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF, TLP, ADA-orodha ndefu, matumaini machache. Wanapenda kufikiri kwamba mabadiliko yatatoka kwenye sanduku la kura, kana kwamba sanduku limebeba miujiza, sio majina ya watu...
  13. J

    Wajumbe/mabalozi wa CCM watupa bendera za chama chao

    Habari za muda huu waungwana! Katika Hali ya kustaajabisha, wakati wa pita pita zangu katika kata yangu nimekuta BENDERA ZA ccm ambazo tumezoea kuziona zikipepea katika nyumba za mabalozi/wajumbe wa ccm zikiwa zimeshushwa, wengine wamefika hatuna ya kuzifanya tambara za kudekia
  14. T

    Hakuna mtu wa kuja kutusaidia Watanzania

    Tanzania Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
  15. Abraham Lincolnn

    Yanahitajika maombolezo ya kitaifa na bendera zishushwe nusu mlingoti

    Baada ya kutazama video kadhaa itoshe kusema mauaji haya yaliyotokea ni makubwa mno! mioyo ya watanzania imejeruhika mno! ni mtu mwenye roho ngumu sana pekee, anayeweza kuona ni hali ya kawaida, wengi wanajaribu kulazimisha kusahau lakini bado mioyo inavuja damu, Vyombo vya habari vinajaribu...
  16. Analogia Malenga

    Bendera ipepee nusu mlingo kuwaenzi waliouawa kwenye maandamano

    Waliouawa ni watu, wanastahili heshima. Kama Taifa tukubali makosa, bendera ipepee nusu mlingoti kuenzi ndugu zetu. Wapo wanaojustfy vifo vya hawa ndugu zetu. Wengine wakisema walikuwa vibaka nk. Niwakumbushe, Morogoro watu walienda kuchukua mafuta na tulihuzunika pamoja bila kujali...
  17. Penguinelli Cactussini

    GE2025 Maombi ya kushika Bendera ya Tanzania ili kuiombea taifa kuelekea MO29

    Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29. Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29? Mao
  18. M

    Ni shughuli pevu kuwakwepa Israel kwenye teknolojia. Tazama jinsi bendera ya Israel ilivyofichwa kwenye CHATGPT

    Hata wewe unaweza kuproove. 1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com 2. Download logo ya chatgpt 3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate ) 4. Logo ya kulia ipindue juu kwenda chini (Flip Vertical) Muonekano mpya 5. unganisha...
  19. The Father of All

    Napendekeza taifa litumie bendera kama taswira yake badala ya rais tena wengine mafisadi na machawa

    Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa. Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil Je wewe unaonaje na kusemaje? Nafikiri kimya kimya.
Back
Top Bottom