benchi la ufundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiufundi nakataa huu Upuuzi unaotaka kufanywa na benchi la Ufundi la Simba SC kwa Kulazimishwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC

    GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa. GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe /...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Simba kabla hamjachelewa mrudisheni Mgunda kwenye benchi la ufundi

    Ni kweli hajui Kifaransa, lugha ambayo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaongea, lakini weledi wake kwenye kusaidia mambo ya kiufundi ni mkubwa sana. Simba isipoteze muda, imrudishe Mgunda kwenye Benchi la Ufundi kabla timu haijaharibikiwa kabisa.
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Salamu za Rais Samia zafikishwa kwenye benchi la Ufundi ya Timu ya Yanga

    Naibu Waziri wa Utamaduni sana na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma usiku wa Mei 16, 2023 nchini Afrika Kusini, amepata nafasi ya kufikisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Yanga kuelekea kwenye mchezo wao wa...
Back
Top Bottom