benchi

Benchi Express is a catamaran ferry operated by the Spanish-Norwegian shipping company Fred. Olsen Express for local transport connecting ports on the island of La Gomera (Canary Islands). It was delivered to Fred. Olsen in September 2017 and has been operating the route between the towns of San Sebastián de La Gomera, Playa Santiago and Valle Gran Rey since then. The ship was purpose-built for this route by Drassanes Dalmau, based in Arenys de Mar (Barcelona).

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Una Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos: Unaanzisha nani, nani benchi na nani unamuuza?

    Una wachezaji watatu wa kiwango cha juu kwenye kiungo cha kati: Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos. Unatakiwa kufanya maamuzi matatu: mmoja aanze kikosi cha kwanza, mmoja akae benchi na mwingine auzwe. Kuanzisha: ......? Benchi: ......? Kuuza: .......? Kevin De Bruyne Luka Modrić...
  2. stakehigh

    Unaweza usiamini ila hawa ni viongozi wakubwa Afrika katika benchi wakiwa Marekani

  3. DELETED ACCOUNT

    Chumba cha kubadilishia nguo ni special kwa wachezaji na benchi la ufundi siyo jukwaa la kisiasa

    Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko. Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
  4. DR HAYA LAND

    Gwajima ni mzuri anapotokea benchi

    Gwajima hafai kuanza kikosi cha kwanza ,anabidi kutokea benchi . Kwahiyo Mimi namuita Super sub. "Eti tuwape minimal reform then tuingie katika uchaguzi tuwapige"
  5. MwananchiOG

    Baada ya Jenshalee a.k.a kiungo wa penalty, Debora a.k.a kiungo wa benchi na Mutale a.k.a SGR, Tutarajie usajili gani mpya?

    Tuliambiwa kuna striker moja refu kuliko holi, akigusa tu, imo! Kisha Bilioni 7 zikamwagwa hapo, wakatua Mutale SGR, Debora Fernandes,Jenshalee ahwaa, Kiungo wa airport, Awesu awesu nk. Tukaambiwa sasa ukame wa vikombe baaasi! Mambo yameenda ndivyo sivyo! Je, Tutarajie usajigani msimu huu?
  6. Metronidazole 400mg

    Kocha wa Simba ndio tatizo na hakika hatutofuzu, hana plan B kabisa, wachezaji wa kuamua mechi unawaweka benchi

    Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala. Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia Camara KAPOMBE ZIMBWE Chamoue Hamza Ngoma Kagoma Kibu Ahoua Ateba Mpanzu Akibadilisha mchezaji hata mmoja hapo nipo...
  7. Metronidazole 400mg

    Okejepha sio mchezaji wa kukaa benchi alafu ngoma akaanza

    Nilishawaambia kocha wa simba Hanaga plan B ( rejea post zangu za nyuma. Yeye alipopata matokeo kipindi cha kwanza cha pili ni ngumu, hata sub zake huwa za mashaka sana akiwa hana matokeo. Mara nyingi sub ambazo anafanya ni zile zile hasa akipata matokeo kipindi cha kwanzo....atawapumzisha...
  8. Waufukweni

    Tetesi: Benchi la ufundi Singida Black Stars ladai mishahara ya miezi miwili

    Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
  9. GENTAMYCINE

    Ommy Dimpoz kamfanya nini Tajiri GSM hadi hivi sasa hawaelewani, kawekwa Benchi na wamekuwa Paka na Panya?

    Mlioko Tanzania tafadhalini si vibaya kama mkatujuza Sisi tulio mbali nanyi katika hili Sakata ambalo limeshika Kasi mno.
  10. NALIA NGWENA

    Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

    Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC). Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
  11. B

    Ningekuwa kwenye benchi la ufundi la Simba SC ningependekeza kikosi hiki hasa kwenye mechi dhidi ya Yanga

    Hello! Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana. Mechi kati ya Simba na...
  12. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Wachezaji waandamizi wa KMC FC wanalalamika jana Kutokupangwa na badala yake 85% kupangwa wale Wakaa benchi Wazoefu

    Akina GENTAMYCINE tukisema JF kuwa Timu inayoshinda kwa Uwezo wake wenyewe wa Uwanjani ni Simba SC mnakataa.
  13. M

    Wanaosema Amli Miroud hana sifa za kukaa kwenye benchi la Yanga, nadhani waache propaganda nyepesi

    AMLI MIROUD kaajiriwa Singida na kupewa leseni na TFF ya kuifundisha Singida inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara Leo hii inakuwaje awe na sifa za kuifundisha Singida inashiriki ligi kuu halafu hapo hapo akose sifa za kuifundisha Yanga inayoshiriki ligi iyo iyo? Bodi ya ligi na TFF wao...
  14. S

    Yanga kung’oa Kocha Singida na benchi zima la ufundi

    Yanga SC baada ya kuvunja mkataba na Sead Ramovic, Sasa ni zamu ya Hamdi Miloud kutoka Singida BS kutua kwa wananchi. Yanga wanamchukua kocha mkuu wa Singida BS na benchi lake lote.
  15. GENTAMYCINE

    Chukueni hii moto moto: Pacome alikuwa haumwi bali alichukia kuona Kocha anamuanzisha Benchi wakati Yeye si Mtu wa Benchi

    Na za ndani zaidi zimeendelea kusema kuwa Maelewano ya Kocha Mkuu wa Yanga SC ambaye wan Simba SC wamembatiza Jina la Uswazinyo / Uswahili Saidi Ramadhani na Pacome sasa si mazuri. Pacome alichukia sana hadi akawaambia Viongozi kuwa kama vipi atahamia Mtaa wa Pili kwenye Raha sasa.
  16. GENTAMYCINE

    Naomba kujua sababu ya Kiufundi kabisa ya Mavambo kuwa anaanzia Benchi na Ngoma kuanza First Eleven Simba SC

    Nitamuelewa tu Kocha Fadlu kama Wawili hawa wakianza pamoja, ila kwa Mimi GENTAMYCINE huyu Mavambo kuwa anaanzia Benchi kiukweli huwa simuelewi Kocha Fadlu japo namheshimu mno na nakubali Kazi yake kwani mpaka sasa katufanya wana Simba SC tusiwe busy Kutembea na Calculators (Vikokotoo) kujua...
  17. S

    Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni. Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
  18. BLACK MOVEMENT

    Hivi ndivyo Wakenya wanavyo tafutiwa kazi Tanzania, nyie mkisugua benchi na mkingoja Mbowe aandamane kuwatetea

    Hizi ni kazi ambazo zinaweza sana fanywa tu na Watanzania, ila sasa sijui ni wawekezaji au la, wanatafuta Wakenya, na inaonekana hawataki Watanzania. Tena analipwa pesa nzuri na nyumba bure na Chakula na matibabu. Haya yako sana kwenye utalii huko ndio usiseme, unakuta hadi Wahasibu ni...
  19. fimboyaukwaju

    Vunjeni benchi zima la ufundi Taifa Stars

    Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji? Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita gold, fukuzeni wote na muajiri makocha wenye uwezo
  20. Chief Ortambo Ikumenye

    Kwanini benchi la Simba wanapuuzia ushauri ninaowapa mimi mzee mutu ya boli?????

    Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule m Zambia alikuwa anacheza kama ana degedege) Baada ya hii mechi ya Dodoma leo, conclusion yangu...
Back
Top Bottom