Nimesikiliza taarifa ya habari ya BBC Swahili Leo hii saa tatu kupitia Star tv mwandaa maudhui na mtangazaji wake wamepwaya sana hasa kesi ya Lissu walivyoitolea taarifa.
Kila haki nyuma kuna wajibu,BBC wana malengo yao kama taasisi na hili siwalazimishi kubadilika sabu wapo kibiashara,malengo...