batili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi!

    Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi! Nimekuwa nikikatwa pesa katika kamisheni yangu ya miamala ya uwakala na M-Pesa nikifuatilia naambiwa kuwa nimefanya miamala batili bila maelezo zaidi Mimi ni wakala wa M-pesa, hivi...
  2. Mindyou

    Februari 19: Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu inaendelea leo. Shahidi wa 12 anatarajiwa kuzungumza leo

    Wakuu, Kaeni karibu na uzi huu ili mpate updates ya kinachoendelea leo kwenye kesi ya leo Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani lakini Majaji na Mshitakiwa bado hawajaingia. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amefikishwa tena kizimbani tayari kwa kuvaana na mashahidi wa upande wa...
  3. Roving Journalist

    Ngulangwa: Inawezekana CUF kutotambua Uchaguzi wa Oktoba 29 imesababisha Msajili aone Uchaguzi wetu ulikuwa batili

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) wa Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja. Hoja ya awali hii hapa ~ Msajili amtaka Profesa Lipumba na...
  4. DuaZaMama

    PostGE2025 CHADEMA: Matokeo ya uchaguzi mkuu 2025 yafutwe pamoja na Tume Uhuru ya Uchaguzi INEC

    John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe. Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume...
  5. Mshana Jr

    Ripoti batili ya vitu vilivyoharibiwa wakati wa maandamano

    Kuna mtu alienda mbele ya waandishi wa habari kutoa ripoti ya mali zilizoharibiwa kwenye maandamano ya October 29.. Mali hizo ni kama Magari Vituo vya mafuta Nyumba Miundombinu Mk Licha ya kwamba ripoti hiyo inapingana kwa idadi na ripoti za awali hasa kwenye idadi ya vituo vya mafuta ...
  6. Abraham Lincolnn

    Rais hawezi kujiundia tume ya uchunguzi wakati yeye na chama chake ndiyo chanzo cha yote

    Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
  7. Genius Man

    PostGE2025 Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika, hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo

    Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo. Kama Samia ameshinda kwa 98% tuunde tume huru turudie uchaguzi sii anakubalika kwa asilimia 98% hatuwezi kufanya maridhiano na mtu anaye unga mkono wizi na mafisadi. #D9
  8. R

    PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia zimeanza na Mauaji, kesi za Uhaini kwa Vijana na kutaka maridhiano batili

    Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100. Soma GE2025 - Ahadi za...
  9. Y

    Maandamano ni batili, vijana tusitumike

    Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni...
  10. tonicimmobility

    GE2025 Sheikh Mustafa: Maandamano yao ni batili

    Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Sheikh Mustafa Rajab, amesisitiza kwamba maandamano yanayokubalika ni yale ya wananchi kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kurudi nyumbani, akiwahimiza Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Soma pia: Sheikh Alhad Mussa...
  11. Tajiri wa kinyankole

    Utaratibu wa kumpitisha mgombea uraisi ccm ni batili ni mhimu kurudiwa

    Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa watanzania unajuwa wazi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ilipaswa ashindanishwe na wenzake...
  12. Genius Man

    Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

    Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA. Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni...
  13. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Hashim Rungwe: Tukienda kwenye mikutano ya CCM wanatupa hela, tunazichukua na tutaendelea kuzichukua

    Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
  14. Pascal Mayalla

    Kelele za Mlango, Chura Kisimani na Joka la Mdimu. Japo Si Lolote, Si ChochoteZikizidi ni Kero. Maa' Hebu Wape Tuu...Bila Mabadiliko, INEC ni Batili!

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Nipashe la leo Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wa nchi, kujiamulia mambo yake yenyewe ya ndani, bila kuingiliwa na mataifa ya nje au taasisi za kimataifa. Nimeileta mada kama...
  15. Torra Siabba

    Uchaguzi wa Mbeya kesho ni batili, TFF kuweni makini

    Chama cha soka Mkoa wa Mbeya kesho aprili 6, kinatarajia kufanya uchaguz wa kuwapata viongozi wake lakini cha ajabu kuna madudu ambayo yanaweza kusababisha maafa jambo ambalo ni muhimu kwa serikali, na wadau wengine kuingilia kati ili Haki ipatikane na mkoa uweze kuongozeka. Iko hivi, awali...
  16. Pascal Mayalla

    Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
  17. kavulata

    Tabora United kachukueni pointi zenu 3 kwa Kagoma, mchezo ni batili.

    Kagoma hakupaswa kucheza https://www.youtube.com/watch?v=rCEb85MDopM
  18. OMOYOGWANE

    TFF ijitokeze kupinga hukumu ya mahakama ya kisutu kwa Yanga ni batili, Tangu lini kesi za mpira zinaamuliwa kisutu?

    Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu, Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu. Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
  19. Shark

    Kama Uongozi ni Batili na Maamuzi Waliofanya pia ni Batili.

    Hata nyaraka za Usajili walizosaini Hawa viongozi ni batili. Hii inapelekea kua hata wachezaji waliosajiliwa Kwa nyaraka za huyu bwana ni wachezaji batili. Ki msingi mechi zozote walizocheza Hawa wachezaji feki waliopitia mikataba feki ya usajili ni mechi "hewani", wapinzani wa hizo mechi...
  20. Pascal Mayalla

    PreGE2025 LGE2024 Serikali, Bunge, Ziheshimu Mahakama! Kwanini Serikali na Bunge Hazijatekeleza Hukumu ya Mahakama kuhusu Ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Gazeti la Mwananchi Wiki hii Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia ukuu wa katiba na jinsi wakuu wa mihimili, ya serikali, Bunge na Mahakama marais wa awamu zilizopita...
Back
Top Bottom