bati

  1. JamiiForums Tanzania Mbona malalamiko mengi kwenye nyumba za kuficha Bati (Hidden Roof), Mafundi wanakosea nini hadi zinavuja?

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi? Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya kenchi na bati

    Salaam wakuu, Naambatisha hapa picha ya ramani ya paa( hiddenroof) naomba wataalamu wetu wanisaidie kunipa makadirio ya idadi ya bao na mabati inayohitajika ya hiii nyumba. Ikiwezekana pia makadirio ya ujenzi kiujumla ya kumaliza paa. Nawashukuru sana na mbarikiwe.
  3. JamiiForums Tanzania Bati langu linavujisha maji

    Kwenye paa langu kuna maeneo linavujisha maji je ni njia ipi mzuri ya kuweka mambo sawa. Mafundi mnisaidie tafadhali na sina uwezo wa kubadili bati kwasasa hata kipande kimoja. Je nini nifanye katika hili.
  4. JamiiForums Tanzania Ipi ni kampuni yenye mabati bora Tanzania?

    Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu. Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko. Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Napagawa na Bati: ALAF, ANDO, DRAGON - uchaguzi mgumu. Watu wa mauzo saundi kibao!

    Nimemaliza Kupiga Mbao, site yangu wameshakuja watu wa sales wa makampuni mbalimbali, na wamenipiga saundi za kutosha. Mafundi nao waliopiga mbao wamenishauri ila walivyoona nimepagawa sielewi nitumie bati kampuni Gani wakaniambia wewe Bosi leta bati yeyote sisi tutapiga mana sijui...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya bati ni nzuri kuezekea?

    Wadau poleni na majukumu nakuja mbele ya jukwaa nikiomba ushauri wa kampuni nzuri inayouza mabati kwa ajili ya kuezekea. Nimeuliza mafundi kadhaa wamenishauri nitumie migongo mipana lakini sijajua kampuni ipi nzuri itanifaa naombeni mwenye uzoefu juu ya ubora na kampuni nzuri anisaidie please...
  7. JamiiForums Tanzania Nauza bati za Alaf 33500

    Chagua rangi yoyote geji 30 hii no ofa kama unataka idadi yoyote unapata kwa 33500 piga 0743257669 uliza kwanza kwa wengine ukijua bei ndio uje kwangu uone hii ofa babkubwa tupo Buguruni hatuna mbambamba.
  8. JamiiForums Tanzania CONTEMPORARY HOUSE- Bati gani zinafaa kuezekea.

    Nimekuwa nikitamani kujenga hizi nyumba lakini changamoto imekuwa ni kuvuja. Watu wengi naona wanapata tabu nyumba kuvuja pembeni, katikati na pale bati zinapochoka. Kwa maeneo ya unyevunyevu kama pwani bati zinachoka ndani ya miaka mitatu tu zinaanza kuvuja. Hii ni kwa sababu Contemporary...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Uwanja wa Mkapa usiezekwe bati?

    Moja ya changamoto kubwa ya Uwanja wa Mkapa ni kuharibika mara kwa mara kwa sehemu ya kuchezea kutokana na jua kali au mvua. Leo nakuja na pendekezo kuntu, kwa nini tusiezeke bati kumaliza changamoto hizi? Kule Singapore wana uwanja ambao paa lake linaweza kufungwa au kufunguka kulingana na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi kupaua/ Fundi paa Mwanza

    Wadau kwa yoyote anayeweza kunipa mawasiliano ya fundi mzuri wa kupaua anayepatikana Mwanza naomba namba tafadhali
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni bati zipi bora ukiachana na m-south?

    Habari wataalam wa ujenzi; Naomba nifahamishwe ni bati gani ambazo ni nzuri kuezekea lakini za kawaida yaani ukiachana na m-south?
  12. Z

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata misumari ya bati ya rangi kwa bei poa kabisa

    Bei-6500 kwa PC1Location-Dodoma, Michese mtaa wa kona. Pia ukihitaji ya rangi zingine kam blue, gree Namba yangu ni 0653426046 karibun wadau
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bati za kiboko zina ubora unaokidhi?

    Wadau wa ujenzi mnaonaje ubora wa bati za Kiboko? Zina ubora unaokidhi?
  14. JamiiForums Tanzania Mwamba ametumiwa Birthday Wishes halafu Kala Bati!

    Narudi zangu home baada ya harakati za hapa na pale za mtu mweusi, huku nikiwamind dereva na konda wake baada ya kutufaulisha Kwa kukata ruti,kisa eti trip hailipi kwakuwa hawakuwa na abiria WA kutosha, basi tukafualishwa kibwege na safari ikaendelea. Na Mimi ndio mwana Jf pekee utanisikia...
  15. JamiiForums Tanzania Kuweni makini: Nyumba za kisasa zisizoonyesha bati juu zinavuja mno, msikimbilie kujenga

    Wadau habari zenu, Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta. Nimeshuhudia wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo juu ya bati za kampuni ya ANDO

    Habari za wakati huu wakuu Kwa waliowahi kutumia au wanaojua juu ya mabati tajwa hapo juu. Vipi kuhusu ubora hasa kwa upande wa kupauka Natanguliza shukrani.
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Bati ya kuezeka ALAF

    Salaam kwa wanajukwaa.Naamini tuko poa kabisa. Kwenye mada hapo naombeni ushauri juu ya geji ya bati ya kupaua kutoka kampuni ya Alaf. Nimezunguka kwenye maduka nakutana na za geji 30 tu hizi ni zile migongo mipana ( Cover max). Kila nikiulizia geji 28 naambiwa ni kwa oda maalum na wanakiri hzo...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka chumba changu

    Habari JF, Sambamba na kichwa cha habari hapo juu, nina boma la chumba kimoja, nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka, so yeyote mwenye bati kumi aniuzie kama zilibaki kwenye ujenzi au anazo tu kwa sababu anayoijua mwenyewe. Natanguliza shukrani.
  19. JamiiForums Tanzania Material nzuri ya bati

    Naomba kujua hili la material ya bati. Nataka mabati kutoka china ila swala la material namba hizi zinanichanganya. Kwa wataalam namba hipi ndo materila nzuri. DX51D, DX52D, DX53D, DX54D, DX56D, DX57D nataka nitumie kwenye nyumba, na unaweza kunishauri. , nimegoogle sijapata jibu sahihi. Asante.
  20. JamiiForums Tanzania Naomba idadi ya bati kulingana na ramani hii

    Naomba idadi ya bati kulingana na ramani hii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…