basi

  1. JamiiForums Tanzania Kama hili tukio ni la kweli basi iko siku na mimi litanitukia!

    Sijui ni madini gani hayo, lakini naamini yatakuwa ya thamani sana. "Kesho" nikikutana nayo shambani kwangu sitayaacha. 1. Ni madini gani hayo? 2. Hiyo video ni halisi au ni ya kutengenezwa? 3. Tanzania kuna madini kama hayo?
  2. JamiiForums Tanzania Uhalifu wa mitandaoni tanzania basi tena!!!! 2024 /2025

    Serikali nchini Tanzania imeamua kuunda kikosi Kazi maalum cha kufuatilia makosa yote ya uhalifu mtandaoni, baada ya kufanyika mkutano wa wadau wa mawasiliano Jana novemba 22 mwaka 2024. Mkutano ulifanyika makao makuu ya mawasiliano Tanzania (Tcra) , Dar es salaam ukihudhuriwa na Waziri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nasema hivi, kama upo nafasi unapata maslahi ya kukutosheleza wewe, familia na akiba yako, basi ishikilie, maana kwa hali hii wewe ni special

    Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi. Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Alhamdulilah tumeshinda tumegubikwa na gumbizi la ushindi ila Morroco asirudue tena kupaki basi mapema zikiwa zimebaki dk 25

    Leo kama goli lingerudi angemezwa timu ameirudisha nyuma mapema sana dk 25 ni nyingi kwa timu zenye wabunifu huu mtindo wa mwalimu kujilinda kwa kutia mabeki wengi anakosea sana ni vyema timu imeshinda watu hawakuiona tena hayo mapungufu. Tunakwenda afcon atakutana na Misri au senegal kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Basi la Shabiby lilipata ajali jana Novemba 18, 2024 Tunduma

    Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma. Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe. Nitaupxate kadri taarifa zitakavyopatikana Wakuu.
  6. JamiiForums Tanzania Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

    Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!! Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi. Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa. Is lucifer, satan? Au...
  7. JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

    Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress. Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hauuzi basi usiinadi sasa rafiki

    KAMA HAUUZI BASI USIINADI SASA RAFIKI Kama sehemu zako za..sio njia yako namba moja ya uchumi basi acha kujinadi. Naam kila mwanamke anapata pesa kupitia huo...wake Penginepo kwa kuhongwa ama kupata huduma kwa mume wake. Akimhudumia kama mke Lakini kama wewe hutumii sehemu zako hizo kama...
  9. JamiiForums Tanzania Ukibaini umekosea chaguo/njia basi usiogope kuanza upya.

    Ukibaini umekosea chaguo/njia basi usiogope kuanza upya, maana hata watu sahihi au wema hukosea chaguo kwasababu ya ubinadamu walioumbwa nao au wamesababishiwa na mtu Mahusiano yanatakiwa yawe daraja la maisha yako wala si ukuta wa kufupisha au kuharibu maisha yako. Ukiona mahusiano uliyonayo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hoja ya ratiba kubana haina mashiko! Basi hakuna haja ya kusajili wa

    Ebu tuingie Kwa undani Kuhusu malalamiko ya timu kulalamika kuwa ratiba inabana Kwa kucheza Michezo baada ya siku 3. Kila Timu inatakiwa KUSAJILI wachezaji 30. Wenye mpira Wao sio wapumbavu kwa kutaka kila Timu isajili hiyo idadi ya wachezaji. Inapotokea Timu KUSAJILI idadi ya wachezaji chini...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiwa kila siku unapata Furaha basi hutoona thamani ya furaha

    Kawaida ya binadamu kitu chichote ukikipata kwa wingi na kwa urahisi basi thamani yake hutoiona, mpaka siku hiyo neema ikutoke. Mfano mzuri Yanga ilikuwa ikishinda goli tano tano mara nne nne mashabiki ilikuwa ikitokea wameshinda moja au mbili wanalalamika, hawakujua ile ni neema tu. Leo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Wale wenzangu na Mimi wa kutafuta green card ndo bas tena baada ya Trump kushinda
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Baada ya trump kuingia madarakani wale wenzangu na Mimi wa green ndo basi tena
  14. JamiiForums Tanzania Ikibainika Wanao hujumu miundo mbinu ya SGR wahusika katika kijiji husika basi Kifutwe!!

    Kama kichwa cha habari, Naiomba serikali na Wizara husika ikibainika miundombinu imehujumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe. Hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  16. JamiiForums Tanzania Uliye kuwa unatoka na Ex- wangu please mjali kuwa nae busy basi

    Master ulie mdanganya uyo mdada mbona penzi lenu limefifia mapema ivyo nyodo zote alizokuwa nazo mbona hana kisa nini nilivyo amua kumpuuza au? Inasikitisha Sana mpenzi wa mtu unampigia ex wako unamwambia "moyo wangu Leo unaniuma Sana uko salama uko ulipo". Hivi hana watu wengine wa kumufanya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania AZAM TUNAWAPONGEZA KWA USHINDI, GSM AWEZI KULAUMIWA LEO KUWA ANAHARIBU LIGI KWA KUWA YANGA KAPOTEZA, BASI TUISHI HUMO!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Azam tunawapongeza kwa ushindi, GSM awezi kulaumiwa leo kuwa anaharibu ligi kwa kuwa yanga kapoteza, basi tuishi humo!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  19. JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  20. JamiiForums Tanzania MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…