Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian Minister of Industry and Trade and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015. He was appointed Deputy Minister of Agriculture by President John Magufuli on 10 November 2018. On November 13, 2018, he was sworn in as Deputy Minister.
Niliwai ishi Kijiji kinaitwa itongo wilaya ya muleba kata ya Nshamba miaka ya 95,
Kuna mgombeza ubunge sijawai msaau alikuwa anatokea itongo ulipofika wakati wa uchaguzi alitoka Dsm na kurudi kijijini kugombea ubunge Alipofika alinunua ng'ombe 100 sukari mchele na sukari
Kampeni zilivyoanza...
Tanzania inatafuta Rais bora zaidi ya wote kwa muhula wa 2030-40, Je vyama vyetu vya Siasa vitatupa wagombea tunaowataka sisi au kinyume chake?
====
1. Rais ajae lazima awe ni mtu ambae ukiitazama staili yake ya maisha anayoishi ukihusianisha na hali na umasikini wa nchi yetu utakubaliana...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye tija.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri...
Tarehe 05 Mei 2024 aliyekuwa waziri wa ujenzi Innocent Bashungwa alifika katika eneo la Somanga - Mtama mkoani Lindi ambapo barabara ilikatika kutoka na mvua kubwa zilizobatana na kimbunga Hidaya, na kusimamia ujezi wa muda ili njia ipatikane. Kumbe ilikuwa geresha tu
Sasa leo Waziri wa Ujenzi...
Huyu baba siku hizi amekuwa anavijitabia fulani ambavyo mimi sivielewi au ndiyo kujipigia kampeni kuelekea 2025
Nawakumbusha vijana kuendelea kutumia vizuri kipindi cha mvua kwa ajili ya kilimo kwani kila zao hivi sasa ni zao la biashara. Bei nzuri na sera nzuri ya zao la kahawa kwa mkoa wa...
Bashungwa Ana mfumo wake wa kizamani Sana .
Anazunguka vijjini na kuwapiga picha watu waliochoka na kukata tamaa ya maisha na kuwarusha mitandaoni
Kwanza unafany kosa kubwa Sana na kudhlilisha watu
Pili ungekuwa smart ungepambana kuondoa umasikini huko vijijini.
Wakuu, siku ya jana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa alimtolea povu Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuwa hana mamlaka ya kutoa ruhusa ya magari kutumia njia ya mwendokasi. Ilikuwa kama udhalilishaji fulani njia aliyotumia waziri huyo kufikisha ujumbe. Soma karipio la Mchegerwa Mchengerwa...
Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati, kupunguza msongamano wa wahalifu magerezani pamoja na kupunguza gharama za usafirishaji wa wafungwa na...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, katika ufunguzi wa Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji wa Uwazi na Uwajibikaji katika Usimamizi wa Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI)...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amewataka Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji kutekeleza majukumu yao kwa uzalendo, uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa ambavyo vinaweza kupelekea uingiaji wa wahamiaji haramu nchini.
Bashungwa ameeleza hayo, leo Machi 04, 2025...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema wananchi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa upelelezi wa simu zilizoibiwa, hali inayowafanya wahalifu kuepuka kukamatwa kwa wakati ambapo ameagiza Jeshi la Polisi kushughulikia changamoto hiyo kwa haraka.
Bashungwa amesema...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili kuwajengea...
Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote .
Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa.
Ila...
Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa.
Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji.
Huwezi amini kwamba Mzee Wasira...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu yao wakati Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ukiendelea katika Kituo cha Kimataifa cha...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Kikosi maalum cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa Kushirikiana na Wananchi kinaendelea na Operesheni ya kuwatafuta na kuwaokoa Wavuvi katika Ziwa Rukwa ambapo kufikia leo tarehe 25 Januari 2015 saa tisa mchana, miili ya Wavuvi...
Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa.
Naona bado kuna namna Mheshimiwa Bashungwa anaandaliwa kwa nafasi ya uwaziri mkuu. Nikiangalia ni kama anapitishwa hizi wizara mbalimbali ili...
Waziri wa mambo ya ndani, home boy kabisa, nilikutabiria utakuja kuwa Rais wa Tanzania
Ulivoteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ilifanya kazi njema ya kutuliza uhalifu wa utekaji holela na wasiojulikana
Leo Uhamiaji wapo wanakutia doa na upo kimya
Wanagawa uraia ambao unatuacha gizani sisi...
Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa.
Soma Pia: Mvua ilivyoharibu miundombinu ya Barabara Sumbawanga -...
Kuna watu wameanza kuleta hoja yakumtuhumu Mhe. Bashungwa kwamba ametoa uraia kwa wachezaji wa Singida. Nikiangalia aliteuliwa lini na toka ateuliwe anafanya nini naamini bado hana sahihi yake kwenye uraia.
Ndio kwanza anajitambulisha kwa taasisi anazoongoza . Naamini kwa umakini alionao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.