bashungwa

Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian Minister of Industry and Trade and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015. He was appointed Deputy Minister of Agriculture by President John Magufuli on 10 November 2018. On November 13, 2018, he was sworn in as Deputy Minister.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    GE2025 Innocent Bashungwa aongoza kwa kishindo kura za maoni Ubunge Karagwe Mkoani Kagera

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe kimetangaza matokeo rasmi ya kura za maoni za kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia CCM, kufuatia uchaguzi uliofanyika tarehe 04 Agosti 2025. Katika matokeo hayo, Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 7,902...
  2. McLaren

    GE2025 Nimepata gagaziko baada ya kuona hii video ya Bashungwa. Hivi hawa wanasiasa wanatuonaje Watanzania?

    Wakuu Baada ya Nape kupost picha akichambua mboga za majani leo naona Bashungwa nae kaleta drama ya aina yake. Hawa wanasiasa wanatuonaje jamani Watanzania? Yaani Bashungwa anakula kwenye sehemu kama hii lakini hapo mezani kaweka simu ambazo zinanunua hicho kibanda chote
  3. DR HAYA LAND

    Kuhusu Swala la vitambulisho vya Nida nakupongeza sana Bashungwa

    Bashungwa nakupongeza . Kwa sasa utartibu uliopo Nida umekaa kisomi Sana . Ikiwa MTU jina lake lilikosewa n.k anafata utaratibu ambao ndani ya wiki mbili mpaka tatu majina yanakuwa yamebadilika. Ule usumbufu wa Kutangaza katika Gazeti haupo. Ule utartibu wa kwenda ardhi na mambo na viapo...
  4. Carlos The Jackal

    John Heche usijichoshe na Mahakama ambazo, Waziri Bashungwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali walishazipa Maelekezo !

    Wanazi hawana mpango wa kutoa haki kupitia Mahakama , ingekua hivo Kesi ya LISSU ingekua tayari Mahakama Kuu . Ingekua hivo ,huyo Muhuni angekua keshajutoa kwenye Kesi. HECHE HECHE HECHE, nmekuita mara tatu, Hamna Chama Cha Siasa Cha Upinzani Barani Afrika ambacho Uhai wa MAISHA YAKE...
  5. DodomaTZ

    GE2025 Innocent Bashungwa achukua fomu kutetea ubunge jimbo la Karagwe

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Innocent L. Bashungwa amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Karagwe, mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Bashungwa amechukua fomu hiyo na kuirejesha kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi...
  6. Carlos The Jackal

    Bashungwa anajisikiaje Kumuona LISSU anajitetea mwenyewe , wakati alisema Hamna Mfungwa wa tofauti na wengine?

    Jambo pekee naloweza kumwambia Bashungwa Muda huu hapa, Ile ndoto yake ya kua Rais ASAHAU !! HAITOTOKEA AWE RAIS. Jamaa mbele ya Maafsa Magereza akaonekana akisema, Hana Mfungwa ambaye anatakiwa kua Treated hivi, mwingine vile, ...... Kesi inaweza sikiliza Kwa mtandaon tu... Kuna Ushahidi...
  7. Mkwawe

    Kama Bashungwa ni mkatoliki naomba kanisa limfungie sakramenti zote

    Hiki ni kipindi ambacho kanisa (Kwa ujumla) linapitia madhila makuubwa sana tangu kuumbwa Kwa taifa hili, Kwa kosa gani!!? Kwa kosa la kusema "Utekaji ni mbaya, uuaji haufai, haki ni lazima Kwa wananchi, katiba mpya ni msingi wa utawala bora, ufisadi ni dhambi, tunapifa vita uonevu" Hayo ndiyo...
  8. E

    PreGE2025 Bashungwa alishukuru Bunge kwa kupambana na watu wa nje wasioitakia mema nchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amemshukuru Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Ackson kwa kuwa Bunge lake limesimama na Serikali dhidi ya watu kutoka nje ya nchi wasiokuwa na nia njema na nchi. Bashungwa amesema hayo leo Juni 9, 2025 wakati akimkaribisha Rais Samia...
  9. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa ahimiza Waandishi wa Habari kuhamasisha Amani na Usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ametoa wito kwa Waandishi wa habari kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuwaelimisha na kuwakumbusha Watanzania juu ya umuhimu wa tunu ya amani na usalama, ambayo ni urithi kutoka kwa waasisi wa taifa letu, Tanzania. Ametoa wito huo...
  10. R

    CCM , IGP , Bashungwa msikilize Marehemu Magufuli halafu mjitafakari halafu mgeukie Gwajima muone kama ana kosa lolote

    Msikilize Magufuli, Rais Samia utakuwa umemuonea Gwajima kumbagaza kama ulivyofanya
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Bashungwa: Adui wa Taifa Karne ya 21 siyo lazima aje na Vifaru, huja kwa njia za Kuvuruga Amani kwa Magenge ya Wanaharakati

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kushikamana na kulinda nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje, akisisitiza kuwa adui wa Taifa katika karne ya 21 si lazima atumie vifaru bali anaweza kutumia njia nyingine zenye madhara makubwa kwa jamii. Akizungumza...
  12. Mzalendo2015

    Waziri wa Mambo ya ndani Mhe. Bashungwa ajiuzulu mara moja

    Nakumbuka miaka 1970s hapa Tanzania kulitokeza matukio yalosababisha mauaji ya mamia ya Watz wasio na hatia kwa madai kuwa ati walikuwa ni waganga wa kienyeji, wachawi na majambazi! Lawama za mauaji hayo zilielekezwa kwa Jeshi la Polisi wakti huo Waziri wa Mambo ya Ndani akiwa Marehemu Mzee...
  13. Orketeemi

    Double standard: Masauni alipigiwa, Bashungwa ala maisha

    Habar wakuu. Kuna kitu kinaendelea nchini ambacho kimsingi sio kizuri. Utekaji unaendelea kama kawaida . Nauliza tatizo ni uislam wa Masauni au ni Ukristo wa Bashungwa? Mbona hatusikii kwamba Bashungwa hafai kama ambavyo mitaa ilivyojaa kelele kwamba Hamad Masauni hafai?
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Bashungwa apongeza Jeshi la Polisi, kwa kumkamata mtuhumiwa wa vitisho dhidi ya Padri Kitima

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu...
  15. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  16. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Waziri Bashungwa: Serikali kuwasaka waliosambaza Waraka feki wa TEC, Waliomshambulia Fr Kitima na aliyesema "siku za Kitima zinahesabika"

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelaani vikali tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima na kuliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumhoji mtu aliyeandika kwenye mitandao ya kijamii kuwa "siku za Kitima...
  17. Mganguzi

    Mshahara mpya umeongezwa lakini nchi Haina furaha

    Tangazo la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa kima chini Cha 370,000 kabla ya Kodi na kufikia tsh 500,000 kabla ya Kodi! Halijaifurahisha nchi ! Nchi haijafurahi ! Wananchi wana sonona ! Tendeni haki kwanza ndipo mlete maongezeko ya mishahara ! Bashungwa mdogo wangu ni mlokole safi lakini...
  18. Carlos The Jackal

    Bashungwa, Makonda Vijana wa Dola wanaoandaliwa Urais , wakataliwe na KANISA ,yoyote anayehubiri Uminywaji wa HAKI Kwa mgongo wa Aman, akataliwe !!

    Katika Jambo ambalo Dola inataka kuwachezea watanzania, ni kuwaandaa Hawa wahuni wawili kama possible successors wa Urais endapo Huu upuuzi wa Uchafuzi Mkuu 2025 wataendelea kuulazimisha Kwa Bunduki ,utekaji na mauaji uendelee kama ulivyopangwa !!. Dola ambayo ndio inayowaongoza CCM Kwa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    Bashungwa: Kuwatembelea wafungwa kunafuata taratibu, Sio kila Mtu kupewa VIP Treatment

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema upo utaratibu upande wa jeshi la magereza , ndugu jamaa, rafiki anapotaka Kwenda kumuona maabusi au mfungwa zipo taratibu zinasimamiwa, kwahiyo tukikata tuwe na VIP Tretimenti na yenyewe inakuwa sio sawa Soma Pia: Bashungwa atoa...
  20. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Bashungwa atoa ufafanuzi kesi ya Tundu Lissu kusikilizwa kwa Mahakama Mtandao, aagiza Polisi kuendelea kudhibiti matishio ya kiusalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao wakiwa magerezani kupitia Mahakama Mtandao, hasa kunapokuwepo na viashiria vya matishio ya kiusalama...
Back
Top Bottom