Ras Burqa, (“head of the blessing” in Ararbic) is a small bay on the Red Sea in the district of Nuwaiba, Egypt.
In 1985, Suleiman Khater, a lone Egyptian assailant, perpetrated the Ras Burqa massacre killing eight people.
Hili baraza lina vituko. Limesema kuwa mtuhumiwa hajajisajili kwenye baraza lao kama msanii halafu mwishoni linamtoza Tsh 3m. Hii sijaelewa kabisa...!!
Kimsingi huyu mtu anatakiwa afikishwe mahakamani kwa mujibu wa sheria ya makosa ya mtandaoni. Video aliyopost inatosha kabisa kumfungulia kesi...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili.
Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa...
Ninajitahidi kuelewa ila nimeshindwa kabisa kuelewa kwanini wapika keki wasajiliwe na BASATA. Kama sherehe ni matukio ya sanaa inabidi hata BURIAL CEREMONIES nako wahusike pia. Wasajili wapishi, wachimba kaburi, na waendesha ibada za maziko.
Kwangu mimi hii sheria ya BASATA kusajili hadi wapika...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini.
BASATA imesema yeyote atakayekiuka agizo hilo atatozwa...
Habari wana JF,
Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika.
Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
TAARIFA KWA UMMA
WAONGOZA SHEREHE, BURUDANI NA MATUKIO (MC), MANJU MUZIKI (DJ) NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI NA KUWA NA KIBALI HAI CHA BASATA IFIKAPO TAREHE 31 JANUARI, 2026.
29 Disemba, 2025
Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali...
Kwa hakika, Tanzania tunaendeshwa na aina mpya ya uongozi—uongozi wa “ada kwanza, fikiria baadaye.” Tanzania tuna viongozi vichwa maji kupita maelezo. Barua ya BASATA inayotaka MC wa sherehe na MaDJ wote kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo Januari 31, 2026 imepokelewa kwa mshangao mkubwa na...
29 Disemba, 2025
Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali vyote vya kufanya kazi za Sanaa na kutoa vibali kwa makampuni, wadau wanaotumia kazi za Sanaa.
Kanuni ya 20 ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za mwaka 2018, zikisomwa kwa...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa.
BASATA imeelekeza wahusika wote...
Wakati wasanii wakikaangwa na mashabiki kwa kukosa matamasha na uungwaji mkono kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii, hatuoni BASATA wakifanya juhudi zozote kuwasaidia. Wapo kimyaaaaa, kama vile BASATA imefutwa.
Mpk wadau binafsi kama Majizzo wanachukua hatua ya kuja mbele ya vyombo vya habari...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza rasmi kuahirishwa kwa hafla ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2025, ambayo mwanzo ilikuwa imepangwa kufanyika tarehe 13 Desemba 2025.
Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii ya BASATA, imeelezwa kuwa uamuzi wa kuahirisha...
Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) katika jitihada za kutambua na kurasmisha kundi la vijana na mabinti wasusi na vinyozi limewataka kusajali rasmi na kutambuliwa
BASATA wanasema laZima ziwe kazi rasimi na walipe Kodi Kwa Serikali Kwa kutumia vipaji na sanaa zao za kusuka na kunyoa watu, laZima...
Ningependa kujua kwa nini leseni yangu ya biashara ya vifaa vya ujenzi (hardware) katika Jiji la Arusha (CBD) inahitaji kibali cha BASATA na kwa nini nalipishwa shilingi 50,000/= za ziada?”
Mfumo wa maombi ya leseni za biashara za studio, decoration service n.K zinahitaji kibali cha baraza la sanaa (BASATA), sasa huu mfumo wao unaitwa (AMIS) uko slow na haumalizi hata kujisajili
Basata tunaomba watatue hii kero
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua uamuzi wa kuifutia rasmi Kampuni ya The Look Company Limited leseni ya kuendesha shindano la Miss Tanzania,
Uamuzi huo umetolewa baada ya kampuni hiyo kushindwa kutekeleza maagizo halali ya Baraza licha ya kupewa maelekezo kwa nyakati tofauti kupitia...
Matusi yamekua mengi sana mitandaoni na hao wasanii Wajinga Wajinga wanaojiita kioo Cha jamiii
Nimesikitishwa sana na hii video ya gigy money akiwa ndani ya Gari akiimba na Wenzake nyimbo yenye lugha chafu na zamatusi
Je Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) mnasubiri mpaka mtu ajirekodi...
Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu wazima pekee.
Mapana ameyazungumza hayo baada ya kumuita Oscar Oscar BASATA kujadili mustakabali wa...
Wakuu,
Hili limenishangaza, BASATA inakuwa kama vile mpo kwaajili ya kusumbua wasanii tu na kuwaona wanafeli kwa nguvu zote, yaani kwa miaka yote hii hiki ndio kikubwa Watanzania wanaona mnafanya.
Mtu anaenda club, ambako watoto hawatakiwi kwenda, anaenda kujiachia zake na kula starehe hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.