barua ya wazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  2. L

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makala juu ya Panya Road na namna ya kuwatokomezaa pasipo kujirudia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa, Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
  3. Freeman Mbowe ni Kinyonga Mwenye sura Mbili, Wazee wa Machame wamuonya, Saashisha apewa heko

    MBOWE UMEZEEKA SASA, ACHA KUTENGENEZA ZENGWE JIMBONI HAI, WANANCHI WALISHAAMUA KWENDA NA SAASHISHA MAFUWE Na Rogan Swai, Narumu Blog Habari za Siku nyingi Mwenyekiti wa kudumu wa Chama chetu Cha Ufipa, natambua unaendelea na matibabu Kwasasa baada ya afya yako kuzorota Kwa muda Fulani, pole...
  4. Barua ya wazi kwa Waziri Innocent Bashungwa: TAMISEMI ina kero asilimia 70

    Mh. Waziri TAMISEMI inakero zaidi ya asilimia 70. Kwa kifupi sana na kwa maneno machache sana, Idara/vitengo huku chini kuna matatizo ya uonevu, unyanyasaji, kudharauliana, kuminyana, kuzibana midomo, kutiana presha watumishi idara za Elimu, zaidi sekondari. Kwa maagizo ya kurugenzi za wizara...
  5. K

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji kuhusu MWAUWASA

    Mhe. Waziri wa Maji Salaam. Hapa Mwanza Mamlaka yetu ya maji inaitwa Mwauwasa. Katika jiji la Mwanza maeneo mengi yanakosa maji licha ya kuwa hatua chache tu toka Ziwa Victoria (a stone throw away) kwa lugha ya kimombo. Mfano hai ni eneo la Mwananchi leo ni siku ya tano hatuna maji na hata...
  6. J

    Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele

    Ameandika Rais Samia Suluhu Hassan: Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati Taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi, kwa sababu...
  7. Barua ya wazi kwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali (NBS), nitafungua kesi kushitaki, kuna utapeli katika kuomba Ajira za Sensa

    Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, S. L. P. 2683, DODOMA. Ndugu, YAH: UTAPELI KATIKA MFUMO WENU WA TEHAMA WA KUOMBA AJIRA ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI Napenda kufikisha malalamiko ambayo pia nitafungua kesi Mahakamani kuishitaki NBS kwa kutozingatia vigezo vya Human...
  8. M

    Barua ya wazi kwa Bernard Morrison

    Salaam. Pole na majukumu ya Kila siku. Niende moja kwa moja kwenye ujumbe wangu: Bernard Morrison jifunze katika maisha KUOMBA MSAMAHA! Kuomba MSAMAHA si unyonge!! Bali ni utu!! Una kipaji kikubwa sana Cha soka lakini katika maisha umekuwa? ukiwakatisha tamaa wale ambao wangeweza kulea...
  9. Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu katiba mpya (sehemu ya pili)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA Mama...
  10. Barua ya wazi kwako Mwalimu

    Kwako Mwalimu. Mwalimu, nakumbuka siku ya kwanza tulikutana shuleni kwako. Nikiwa kama mzazi niliyeingiwa na usasa na kuachana na mila za kale za kumfungia mwanangu wa kike ndani, nikaona nikukabidhi wewe mwalimu. Nilifanya hivyo nikitegemea kuwa mwanangu angepata malezi bora katika mikono...
  11. Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Katiba Mpya (Sehemu ya kwanza)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) 🔵KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️ Tabata,Dar es salaaam stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA Shikamoo mama,Pole na majukumu mazito...
  12. A

    Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe 1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani 2. Kwa...
  13. Barua ya wazi kwa klabu ya Simba

    Wasalaam Klabu yangu kubwa nawashauri tena. Niliwambia ukweli mechi ya Red Arrows ndicho kilichotokea. 1. Katika vilabu vikubwa Afrika mmo top ten lakini utani uwanjani na kuchangamka mwishoni mwa mechi itaendelea kuwacost. 2. Upangaji Wa kikosi ndio mnapoteaga balaa. Yaani wewe ni klabu kubwa...
  14. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa OR-Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

    kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama, Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT, dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
  15. M

    Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Sisi Watanganyika nani atatusemea

    Mheshimiwa Zitto: Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar. Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakopa. Na tunajua sehemu kubwa ya hilo deni itakuja kulipwa na Watanganyika kwa sababu...
  16. J

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Elimu na Rais wa Chama cha Skauti Tanzania: Mgogoro wa Kikatiba unaoendelea kwenye chama

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AMBAYE NI RAIS WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA MANTIKI YA MGOGORO WA KIKATIBA SKAUTI Salaam kwako Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, rais wa chama cha Skauti Tanzania. Napenda kuchukua nafasi hii kuelezea yangu machache...
  17. Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluh Hassan; Salam kutoka wilaya ya Ngorongoro

    Salam kutoka wilaya Ngorongoro. Mhe.Rais wananchi wa Ngorongoro kama walivyo Watanzania wengi walikuwa na imani na wewe lakini imani inapungua siku baada ya siku. Mhe.rais kwa 2020 jimbo la Ngorongoro kwa nafasi ya rais mlizoa kura zaidi ya 87% na tangu uhuru wa nchi hii hili jimbo halikuwahi...
  18. Barua ya wazi kwa Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    BARUA YA WAZI KWA MHE SPIKA NDUGAI. Na Elius Ndabila 0768239284 Mhe Spika Ndugai Shikamoo! Ni matumaini yangu Mungu anaendelea kukupigania katika hali yako kiafya. Jana wakati unazungumza na vyombo vya habari ulisema unachangamoto ya kiafya.Ninakuombea kwa Mungu upate tahafifu. Mhe Spika...
  19. M

    Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Jitoe kwenye Kamati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hana nia njema

    Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini. Mheshimiwa, Zitto Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa...
  20. Barua ya wazi kwa Mbunge Nape Nnauye

    Ndugu Nape salaam, Kati ya jambo lililonishangaza na kunifikirisha Sana ni kile ulichochapisha Ndugu Nape Nnauye ambaye ulipuuzia kuwa wewe ni mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na muwakilishi wa wananchi wa Jimbo lako la Mtama. Katika kumjibu Ndugu Humphrey Polepole ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…