baraka

Amiri Baraka (born Everett LeRoi Jones; October 7, 1934 – January 9, 2014), previously known as LeRoi Jones and Imamu Amear Baraka, was an American writer of poetry, drama, fiction, essays and music criticism. He was the author of numerous books of poetry and taught at several universities, including the University at Buffalo and Stony Brook University. He received the PEN/Beyond Margins Award in 2008 for Tales of the Out and the Gone.Baraka's career spanned nearly 52 years, and his themes range from black liberation to white racism. Some poems that are always associated with him are "The Music: Reflection on Jazz and Blues", "The Book of Monk", and "New Music, New Poetry", works that draw on topics from the worlds of society, music, and literature. Baraka's poetry and writing have attracted both high praise and condemnation. In the African-American community, some compare Baraka to James Baldwin and recognize him as one of the most respected and most widely published black writers of his generation. Others have said his work is an expression of violence, misogyny, and homophobia. Regardless of one's viewpoint, Baraka's plays, poetry, and essays have been described by scholars as constituting defining texts for African-American culture.Baraka's brief tenure as Poet Laureate of New Jersey (in 2002 and 2003) involved controversy over a public reading of his poem "Somebody Blew Up America?", which resulted in accusations of anti-Semitism and negative attention from critics and politicians.

View More On Wikipedia.org
  1. Baraka kubwa zaidi maishani huwa hazina bei ,lakini ni za thamani isiyoelezeka

    Tunalipa kodi, tunalipa bili za maji, umeme, nauli na mengine mengi ya maisha , lakini hatujawahi kulipia pumzi. Tunapata aleji ya vyakula, mafuta, dawa, na hata vumbi , lakini hakuna binadamu mwenye aleji ya oksijeni. Tumshukuru Mungu kwa hilo. Je, si hilo peke yake linatosha kumshukuru...
  2. Je, ni kweli kabisa Rais hafahamu chochote kuhusu haya ya utekeaji? Hiki ni kipimo kizuri

    Wakuu, Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake. Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
  3. Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

    Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. Pia...
  4. Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia

    Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia. Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa. Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana . Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe...
  5. Sababu Kubwa Kwanini Hatuwezi Kupata Maendeleo au Baraka

    Mods msiunge uzi labda kama hii mada ipo (sio title maana content inaweza kuwa tofauti). Kama ipo mada exactly kama nilivyoandika sawa ila msiweke uzi wangu kama comment sehemu nyingine. Iko hivi. Waafrika tumeacha njia zetu za asili (mizimu na mababu zetu) na tukakubali kuabudu miungu ya watu...
  6. U

    Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa Wapalestina kukiri Israel ni Familia teule, takatifu yenye baraka zote za Mungu wao aliye wa kweli

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
  7. Mohammad Rasmi Marzouk Baraka Aliyeteka nyara kikongwe Yaffa Adar mwenye umri wa miaka 85, auwawa!

    IDF na Shin Bet walifunga mduara: Mohammad Rasmi Marzouk Baraka, gaidi wa Hamas ambaye alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7 na kumteka nyara mnusurika wa mauaji ya kinyama Yaffa Adar mwenye umri wa miaka 85, ameondolewa. Moja kwa moja - tutakupata wote.
  8. Hakuna familia yenye laana acheni kudanganya watu nyie waganga,na wachungaji!

    Eti kanisa lina Andaa wiki ya kuikomboa familia kutoka katika vifungo. Wiz I mtupu
  9. Je, kuna umuhimu wowote wa watu kuombeana kheri na baraka katika Maisha yao

    Je kuna umuhimu wowote wa watu kuombeana kheri na baraka katika maisha yao? jibu ni ndiyo . Katika MAISHA chochote kinachokufikia wewe kuna sehemu kilikuepo na kuna sehemu kimetoka hadi kukufikia wewe. Ikiwemo Pesa n.k. Hivyo ni muhimu kuelewa everything is connected , kila kitu...
  10. Wanaume tunatafuta Amani,salama na baraka katika ndoa,wenzetu wanadumisha utamaduni.

    Ndoa ni baraka na njia ya kuendeleza misingi mizuri ya utamaduni pamoja kuongeza uzao wa jamii/familia. Katika mkisanyiko huu dhamira kuu hua ni baraka ya watoto na kipato lakini pia kupunguza matokeo hasi kwa jamii dhidi ya wazaliwa wasiokuwa na malezi ya pande mbili kwani ukweli usiopingika...
  11. KAMA WACHINA WANALIPA KODI ILEILLEE WAZAWA WANALIPA TUNAOMBA SERIKALI MSIWAGUSE HAO N BARAKA ZETU

    USHAURI KWA SERIKALI TYSISIKILIZE HIZI KELELE ZA WAFANYABIASHARA WA KRKOO KAMA WANALIPA KODI ILEILE ILE MNAYOHIITAJI TUNAOMBA HAWA WATU WASISUMBULIWE WAHESHIMIKR KAMA WENGINE HATUWEZI KUNUNUA MALI ZA 8000 LWA 60000. KISA TU KUBADILI MTAA HII N LAANA TUNAOMBAA WATANXANIA WOTEE TUPINGR...
  12. M

    Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

    Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba. Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
  13. Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  14. Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  15. Je, unahitaji mafanikio, uzima, uponyaji, ulinzi na baraka? Fanya hivi

    Inawezekana umetumia pesa nyingi, nguvu zako, akili zako na uwezo wako wote ili uwe na uzima, upate uponyaji na baraka, lakini hujaona matokeo mazuri. Usikate tamaa. Mungu ameahidi kukufanyia hayo. Nakuonyesha hapa jinsi ya kufanya ili uone ahadi za Mungu zikitimia katika maisha yako. Kiri...
  16. Kuoa wake/wanawake wengi ni baraka kwa Mungu

    Disclaimer: Haya si mawazo yangu, nimecopy na kupaste. ROHO WA NENO ANASEMA; Watumishi Wote Wanaozuia Watu Wasioe Na Kuolewa, Wanafundisha Mafundisho Ya MASHETANI... Na Hawa Hapa Pichani👇👇 Ni Baadhi Yao😠😠 #Wanawaaminisha Watu Kuoa Kwa Mwanamume Ni Mke Mmoja Tu. Na Kuwaambia Watu Ndoa Za...
  17. M

    Mwanetu Hamisa hana Baraka za Wazazi wa Aziz Ki

    Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga. Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa...
  18. Ni baraka tele kwa Trump kwani NGOs uchwara zitapungua!

    Tuwashukuru Trump na Elon Musk kwa jaribio hili nyeti la kutuondishea wahuni kwa jina la misaada. sasa ni wakati na fursa wa Serikali yetu kufanya upembuzi yakinifu kuhusu misaada sio tu ya USAID bali wote wanaoleta misaada hiyo nchini. Je inawafikia na kuleta tija kwa walengwa au ni chaka...
  19. Historia ya Mwinyi Baraka

    https://www.youtube.com/live/G7j0MNkgfqA?si=mXfp8uqabv-UgTUm
  20. Hawakuweza kupata mtoto lakini kwa imani ya Mungu kupitia msaada wa mchungaji, baraka zilikuja.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…