barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipindi hiki cha Mvua Fanya Haya Kujilinda na Ajali za Vyombo vya Moto Barabarani

    Habari wana jukuwaa. Ni matumaini yangu unaendelea salama wewe kama mdau! Leo niwape Tips kadhaa zitakazokusaidia Kujiupusha na Ajali unapoendesha chombo cha Moto Barabarani. Ajali nyingi zinaweza kutokea kipindi cha mvua nyingi kwasababu ya uoni hafifu wa madereva na vyombo vingine hivyo...
  2. B

    Vifo vya watoto wa shule Arusha: Mabasi ya shule yapewe vipaumbele barabarani

    Kifo ni kifo lakini vifo vya wahanga wa ajali hii, looh! Mtu usemeje? Watu wazima waliokuwa kwenye gari lile waliotoka salama, wanacho nini cha kumwambia nani leo? "Kwa hakika mtu mzima aliyekufa na watoto wale akipambana kuwakoa alifanya yote yaliyokuwa sahihi." Hawa watu ilikuwa muhimu...
  3. S

    Vyombo vya moto vipunguze spidi barabarani hasa kwa zile ambazo watembea kwa miguu wapo wengi

    Magari ya Mwendokasi yakwenda spidi mno lakini sasa yapo katikati ya Jiji. Watoto, watu wenye ulemavu, wazee wote pia wanahiaji kutumia hizi barabara pia, hivyo binafsi ninge pendekeza mwendo usiwe spidi sana atleast 60 hivi. Kwa sababu mabasi ya mwendokasi yakipunguza spidi yakiwa yanapita...
  4. Bajaji Mbeya hazizingatii usalama barabarani

    Katika jiji la MBEYA Tunashindwa kujua USALAMA BARABARANI MSIMAMIZI NI NANI. Kuna hivi vigari vya tairi tatu. Maarufu bajaji uhusiano wavyo na usalama barabarani haupo kabisa. Mbele ya askari wa usalama barabarani hizo bajaji zina over take kushoto, na cha ajabu zikiwa na abiria ndani...
  5. Sajenti Ahijo Usalama barabarani, badili simu, badili line!

    Mimi ni.msikilizaji mzuri wa kipindi cha Usalama barabani,kila asubuhi Radio One, saa moja na robo baada ya taarifa ya habari. Askari wote kila siku wanasikika vizuri ,hata yule wa Mwanza Sajenti Ninga leo kasema kuna ka mvua Mwanza, so madereva wawe makini. Kimbembe kipo kwa Sajenti Ahijo wa...
  6. Ni Aibu Tabora kushindwa kurejesha taa za barabarani zaidi ya miezi sita sasa

    Yaaani kila nikipita Tabora kuna zile taa za barabarani hazipo (zimeibwa/zimeondolewa) ila hio sio tatizo. Tatizo ni kwa namna gani mamlaka husika wanashindwa kuzirejesha Kwa kipindi cha muda mrefu hivi?? Nimejiuliza maswali mengi Sana kila nikipita hapa, hizi ni Kodi zetu sote; inakuaje...
  7. R

    Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Wakuu salama? Hivi umeshawahi kukutana na gari la kuzoa taka lenye hali nzuri? Magari yote ambayo nimewahi kukutana nayo yanakuwa yameisha, yana hali mbaya, kutu kila pahala, yametoka, na yanajikokota kwelikweli kutoka eneo moja kwenda eneo jingine! Kwanini magari haya yanaruhusiwa kufanya...
  8. Sababu gani inafanya mji Gairo kuwa na matuta mengi Barabarani

    Habari wadau, Naomba kufahamu sababu inayofanya mji wa Gairo kuwekwa matuta mengi kuliko mji wowote Tanzania. Matuta yanaanzia pale unaingia mjini mpaka unapoumalza mji zaidi ya km 10.
  9. Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  10. Malori Mabovu kuegeshwa Barabarani, mamlaka Inawajibika kukagua Hivi Vyombo vya usafirishaji?

    Barabara ya ubungo-Mbezi mwisho inaongoza kwa Kuegeshwa malori njiani, Malori yanasababisha foleni kubwa sanaa, Nashindwa kuelewa kuwa Mamlaka Huwa haifanyi ukaguzi wa magari haya? Yanaachwa yafanye safari zake yakiwa mabovu cha ajabu yanazima njiani, inakuwa kero kwa Watumiaji wa barabara...
  11. Kamati ya Usalama Barabarani yakabidhi magari na pikipiki kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya

    Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya imekabidhi magari mawili na pikipiki mbili kwa Jeshi la Polisi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu hasa doria za barabara kuu, utoaji wa elimu na kudhibiti ukiukwaji wa sheria za usalama. Akizungumza na waandishi wa habari Machi 04...
  12. Ipo haja faini za barabarani zinazohusu speed kwenda automatic kwenye simu ya mmiliki

    Ili kuondoa mianya ya rushwa, mabishano nakadhalika. Polisi Usalama Barabarani wabaki kukagua mambo mengine, zitegwe speed detectors, ukizidisha mwendo message inakuja tu kwenye simu yako unapambana na hali yako, askari wapungue road wabaki vehicle inspectors tu na wakaguzi wa makosa mengine...
  13. Ni heri mama muuza mgahawa au ndizi barabarani anayepata faida ya sh.4000 kwa siku kuliko Binti malaya anayeishi kwa kutegemea kuhongwa

    Habari zenu! Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia. Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
  14. Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
  15. M

    Mwili waokotwa barabarani ukiwa umekatwa shingo

    Mwili wa mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35-40 umekutwa ukiwa umetupwa pembezoni mwa barabara ya kuelekea Kilindi mkoani Tanga katika eneo la Kijiji cha Mbigiri huku shingo yake ikiwa imekatwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara SACP Geroge...
  16. Y

    Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Habari wana JF. Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu. Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka 2018. Takribani miezi mitatu, gari lilianza tatizo la kushtuka stuka (inakita) ukiwa mwenye mwendo. ...
  17. M

    Mwizi wa Alama za Barabarani akamatwa

    JESHI la Polisi mkoani Tabora limemkamata Moshi, kwa tuhuma za uharibifu na wizi wa alama za usalama barabarani kutoka katika barabara mbalimbali katika mkoa huo baada ya kukutwa na alama zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 10 nyumbani kwake. Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari...
  18. Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Miaka ya 2010 World Bank walitoa ripoti ya kufanya biashara nchini Tanzania na kwa viwango vya wakati ule tulishika nafasi kama ya 121 kama sijakosea. Raisi wa wakati ule Mh. Jakaya hakuridhishwa na hiyo ranking na kuchukua hatua at least tufikie 2 digits yaani tuwe chini ya 100. Majirani zetu...
  19. Mwanza: Maandalizi ya Maandamano ya amani yakamilika, Magari ya Matangazo yaingia Barabarani

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza , yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika . Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema , Benson Kigaila ameongoza...
  20. Kwa Sheria ya usalama barabarani hili limekaaje?

    Unaendesha gari kutoka point A kwenda point B. Point B ipo hatua chache kutoka iliko point C ambako kuna kizuizi cha Polisi. Ulipokaribia point B, ambapo utapaswa kukata kulia kwa kuwa ndiko unakoelekea hivyo hulazimiki kufika point C, na kabla hujaindicate kuwa unataka kukata kona kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…