barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Biashara kufanyika ndani ya Barabara yenye msongamano wa magari na Watu Gongolamboto, TANROADS na Manispaa ya Ilala mkoa wapi?

    Baada ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi kukamilika maeneo ya Gongolamboto, wafanyabiashara ndogo yaani Machinga sasa wameamua kupanga biashara zao hadi katikati ya barabara, matokeo yake sasa kuna foleni kubwa nyakati za asubuhi na jioni. Dalili ya kuongezeka kwa wafanyabiashara katika eneo...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara kwa mawe, Askari Polisi walazimika kuyabeba kuyatoa barabarani

    https://www.youtube.com/watch?v=ng1UQIcbLpQ
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mbamba-Bay - Liuli/Kiagara kipande cha 2 km bado ni sehemu korofi wakati wa mvua

    Barabara ya mbamba-bay to Liuli/Kiagara(apo ni Lipingo) kipande cha km mbili na pointi ni miaka mingi sasa bado ni sehemu korofi sana wakati wa mvua
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi Arusha wauwausha moto!, wafunga Barabara wataka 'Bamsi'

    Ni katika mtaa wa Sokoni One, kata ya Sinoni jijini Arusha, ambapo asubuhi ya leo Februari 1, 2026, wananchi wa eneo hilo wameandamana na kufunga barabara inayotoka Sinoni kuelekea Ngusero kwa takribani masaa matatu. Wananchi hao wanapaza sauti wakiiomba Serikali na mamlaka husika kuweka bamsi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Juu ya Barabara za Mabasi ya Mwendo Kasi Kujengwe Barabara za Kulipia (Express Way)

    Habari zenu wana Jamii Kuna fursa kubwa inaonekana ipo kwa serikali au private sector kuwekeza na wananchi wakanufaika. Ukiangalia huwa kuna space kubwa na pana inapatikana juu ya Barabara za mabasi ya mwendo kasi plus zile Barabara za njia mbili kila upande za kupita magari ya kawaida. Sasa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukarabati wa barabara ya Arusha - Moshi unatia walakini; uchunguzi ufanyike

    Barabara ya Arusha - Moshi mwaka jana ilikuwa inafanyiwa ukarabati maeneo ya KIA, King'ori na Kikatiti. Ukiangalia maeneo yaliyokarabatiwa sio yale yenye mashimo sana na kuna maeneo walikarabati kama mara tatu wanamaliza, barabara inapita then wanabomoa wanaanza tena ukarabati. Inakuwa ni kero...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Rais Samia ameimarisha uchumi Geita kupitia ujenzi wa Barabara ya Kasamwa-Gamashi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Jiji lisilo na maji wala barabara litakuwaje mwenyeji wa AFCON?

    Hebu tutafakari kwa pamoja Wakuu, Vigezo gani vilitumika na CAF kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027? HIYO NI KESHO TU ETI Kwanza, Kenya na Uganda wamekwishamaliza ujenzi wa viwanja vitakavyotumika kwa fainali hizo, Tanzania bado nywinywinywi hakuna kitu Dar es Salaam ambayo ndiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Shilingi Bilioni 67 zimetumika kujenga barabara na masoko Mwanza

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) imetumia kiasi cha bilioni 67 kujenga Barabara na Masoko ili kuwahudumia wananchi wa Mwanza...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Chelesi - Kisiwani Halmashauri ya Mji Makambako (Njombe) ni mbovu sana, viongozi wameipuuzia

    Habari wana JF, kuna siku niliwahi kuleta changamoto yangu juu ya ubovu wa barabara ya kutoka Chelesi – Kisiwani (zamani Kibedange) Halmashauri ya Mji Makambako. Kiukweli barabara ni mbovu sana hasa kwa nyakati hizi ambazo mvua inanyesha, tunapitia nyakati ngumu sana katika kupita hiyo njia...
  11. JamiiForums Tanzania Mkandarasi Kings Ltd tengeneza njia mbadala unapojenga barabara

    Hili ni kumbusho kwamba Kings umeshinda tenda zote za ujenzi hapa dsm onesha uwezo wako kwa ujenzi wa barabara kuwa wa viwango na uishe kwa wakati kwani umezua taharuki kubwa hasa maeneo ya kilongawima mpaka mbezi jangwani beach. Ni takwa la. Kisheria na kitendaji unapochepusha barabara basi...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: TECU na TANROADS Mkoa, Wakagua Ujenzi wa Daraja la Sungwe la barabara ya TANZAM

    Ujumbe wa wataalam kutoka TANROADS Makao Makuu kupitia Kitengo cha Ushauri wa Kihandisi (TECU), kwa kushirikiana na TANROADS Mkoa wa Mbeya, umefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Sungwe lililopo katika barabara ya TANZAM mkoani Mbeya na kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe akemea Wananchi kutupa takataka kwenye barabara Manispaa ya Morogoro

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka katika barabara za Muhimbili, Tubuyu II, Mjimwema, Barakuda na Kihonda-VETA zenye urefu wa Kilomita...
  14. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Ivory Coast ahoji AFCON 2027 kufanyika Afrika Mashariki yenye barabara mbovu na miundombinu mibovu

    Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za mitandao yao ya kijamii video hii imekuwa ikisambaa sana. Video hii inamhusu muandishi wa habari kutokea...
  15. JamiiForums Tanzania Ajali ya magari ya mizigo imesababisha foleni kubwa ya magari Barabara ya Moshi – Arusha kwa zaidi ya Saa 10

    Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari. Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
  16. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROADS mna mipango gani juu ya barabara mliyoichimba kutoka Kimara mwisho kuelekea Kinyerezi? Imepita mwaka mmoja hakuna mkandarasi yeyote

    Habari zenu wakuu. Mnamo mwaka juzi (2024) nilibahatika kupita barabara inayotoka kimara mwisho kuelekea bonyokwa mpaka kinyerezi nilikuta ujenzi wa barabara ukiwa upo kwenye hatua za awali. Majumba yaliyozidi katika hifadhi ya barabara yalivunjwa na makatapila yalikuwa kazini kuchimba...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

    Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope! Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo - Kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu

    Habari Samahani naomba utusaidie kufikisha hii taarifa kwa wahusika. Wakazi wa Ubungo kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu, kunakua na gombania. Goli kwamba atakaeweza kuforce kupita ndo huyo huyo. Kwenye makutano ya barabara mwanzo palikuwa na mataa lakini saivi...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ujenzi wa Barabara Dar utaisha lini?

    Unajua imekua kama kero hivi, yaani miaka inaendaga inarudi ila kila siku Dar es salaam wapo kwenye ujenzi wa barabara. Hivi ni ujenzi wa miundo mbinu gani hii isiyoisha? Ujue kuna maeneo Dar ukipita unaweza dhani upo mkoani? Nauliza tu, kwamba Serikali imeshindwa kutenga hata mwaka mmoja au...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Isevya – Muhimbii (Dar) tunaathiriwa na vumbi la barabara iliyotelekezwa

    Sisi ni Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam. Kuna kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Baada ya kufukuliwa walimwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika. Kwa sasa tunaoga vumbi kama maji 😔Watoto, wazee na wagonjwa tunaumwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…