barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha limekosa vituo vya daladala, pembeni ya barabara kuu ndio mwisho wa kituo

    Hili jiji kwa miundombinu bado kabisa, ni zaidi ya miaka kumi (10) sasa tangu litangazwe jiji, lakini cha kushangaza na kusikitisha hakuna vituo maalumu vya kushusha na kupakia abiria. Vile vituo vya njiani hakuna alama yoyote inayoonyesha kuwa hapa ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria, kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara za mwendokasi una ufisadi ndani yake?

    Mipango yetu mibovu inatufilisi, natafakari kimoyomoyo kisha kwa sauti kuhusu ni nani anahusika katika kuliingiza taifa masikini kama la kwetu kwenye hasara hizi za kubomoa barabara mpya ambazo hazijachoka ili kupisha ujenzi wa barabara za magari yaendayo haraka, BRT. Barabara zetu...
  3. JamiiForums Tanzania Daraja la Mbaka, barabara ya Busokelo - Tukuyu, sasa tunaenda miaka 25 hii miradi haijakamilika, tatizo nini?

    Katika miaka 25 ambayo Magufui amekuwa kinara wa ujenzi wa mabarabara nchi, barabra ya Busokelo -Tukuyu imetia fora kwa kusuasua! Hivi leo ni mwaka wa 26 sasa, hakuna fedha zinenda kwenye mradi wa barabra hii muhimu. Wananchi wamelia na serikali lakini wapi. Jionee mwenyewe Mwenyekiti wa...
  4. JamiiForums Tanzania Barabara za kuinganisha Afrika zilivyopangwa

  5. JamiiForums Tanzania Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee. Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya...
  6. JamiiForums Tanzania Barabara ya Engosengiu Arusha inahitajika Lami, haipitiki

    Ni muda sasa wananchi wa kata ya Sinoni wanaotumia bara bara ya Engo wamekuwa wakilalamika ubovu wa barabara ya Engosengiu kutokea kipande cha makutano ya Reli, mjini hadi kwa mamalaizer kuelekea Nado, chakusikitisha hii ni moja ya bara bara ambayo ipo katika kata za mjini kabisa. Kipindi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Barabara Mbadala Kilwa Road

    Njia kuu za kuingia na kutoka jiji la Dar ni Morogoro Road na Kilwa Road. Kinachosikitisha ni kwamba njia ya Kilwa haina mbadala mzuri pale magari yanapoziba njia, labda mtu apite Magogoni au darajani . Tofauti kubwa unapopita Morogoro RD barabara za mchepuko ziko nyingi: 1. Selander Bridge...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nilivunja kimdoli cha kibata kando ya barabara nikapigwa kwenzi

    Sisemi vibaya! Ila hawa ndugu zetu ni wababe sana kwa watembea kwa miguu! Majuzi juzi tu natoka Msimbazi napita kando ya barabara nakumbuka kulikuwa na mdada anauza korosho na karanga, kwa mbele kidogo kulikuwa na mauzo ya kapeti ya mnada! Kumbe lile kapeti kwa mbele bwana kuna jamaa anauza...
  9. JamiiForums Tanzania Hili suala la Wamachinga kuondolewa pembezoni mwa barabara linatupa wakati mgumu zaidi. Tumesimama katikati

    Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea. Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani akupe jibu. Je, Serikali kuwaondoa Wamachinga pembezoni mwa barabara ipo sahihi au imekosea. Utasikia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

    Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache. Mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenu TARURA mkoa wa Tanga

    TARURA mko wapi? Mnatufanyia kazi nzuri sana kwa barabara zetu za mitaa. Changamoto ni pale mnapokuja kudhibiti zile sehemu korofi ambazo mvua zikinyesha zinajaa maji. Mfano huku kwetu Tanga, maeneo ya kange kwa mmsai mpaka kwenda mbugani ni kero. Mmeziba njia za kwenye kona kwajili ya kuweka...
  12. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS na barabara za jimbo la Kibamba

    TANROADS, kuweni na huruma aisee. Hivi huku kibamba mnajua mnamiliki barabara mbovu sana? Je kazi mliyopangiwa ya kuassess barabara na kupeleka mapendekezo kwa Mh Rais mliifanya? Ni lini mtaacha hii kwangua kwangua na kumwagilia maji barabara badala ya kutafuta suluhisho la kudumu? Kwa kweli...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya jiji la Dodoma Ondoeni Machinga barabara ya One way na barabara ya Nyerere square

    Ukienda Ulaya hata Asia nchi nyingi, Machinga wanakuwa na soko lao maalumu kubwa, na pia wenye maduka wanabaki madukani, Sasa inakuaje Machinga hataki fremu anataka akakae barabarani Tena mtaa wenye maduka, njia hazipitiki hili halikubaliki. Serikali ya jiji la Dodoma nawaasa muwaondoe Hawa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mwasonga wamtaka Ndugulile kufuatilia kilio cha barabara ya lami ya Kibada-Mwasonga

    WANANCHI WA MWASONGA WAMTAKA NDUGULILE KUFUATILIA KILIO CHA BARABARA YA LAMI YA KIBADA-MWASONGA Wakazi wa Mwasonga leo tarehe 2 Oktoba 2021 wamefanya kikao na Mbunge wa Kigamboni Mhe. Faustine Ndugulile (Mb) kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali za eneo hilo ikiwa ni pamoja na umeme...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo mnakwama wapi kwenye miradi, hata barabara ya Kibaha mliyotuimbia sana humu nayo imebuma kisa fedha

    Mbona hamkukaa mfanye mahesabu ya kueleweka ili mkamilishe hata mradi mmoja tu, mlikurupuka sana kuanzisha miradi kote kote na kuongea ongea sana, kuna kitu kinaitwa "Upembuzi yakinifu", sio unataka ufanye kila kitu. ================================== Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa...
  16. JamiiForums Tanzania TANROADS: Ujenzi ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), umesema ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri na utakamilika kama ulivyopangwa. Pia, umesema kuwa mpaka sasa mradi huo ambao utakwenda kupunguza tatizo la msongamano wa magari...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali kwenye hifadhi ya barabara

    Wakubwa, Hivi vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali vilivyoko kwenye hifadhi ya barabara(road reserve) huwa vipo kisheria ama vipi Nimeuliza hivyo maana kuna mdogo wangu kagonga kibao cha shule ambacho kiko ndani ya hifadhi ya barabara na naona kuna mwalimu mkuu anajitia kimbelembele
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini barabara ya maji chumvi (Jeshini - Tabata Kimanga) haipigwi lami pamoja ya kuwa na umuhimu kupindukia?

    Tumeshuhudia vichochoro vingi huko Sinza na Kinondoni vikipigwa lami mwanzo mwisho, tena havina umuhimu wowote, maana vingi ni dead ends zinazoishia kwenye mageti ya watu. Sasa najiuliza, iweje barabara muhimu kama ile ya maji chumvi kuelekea Kimanga inayotumiwa na malaki ya raia wa T/Kimanga...
  19. JamiiForums Tanzania Barabara mpya Mwenge - Morocco, vibanda vituo vya mabasi vyapopolewa utadhani daladala zina usongo navyo

    Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar. Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco. Sina uhakika kama brabara hii imeshazinduliwa , na sasa tayari jamaa wanapopoa vibanda ambavyo havina hata miezi minne. Vibanda vya mabasi vinapopolewa na mabasi ya daladala , utafikiri...
  20. S

    JamiiForums Tanzania OMBI: Serikali iikumbuke mikoa ya pembezoni hasa Kigoma. Hali ya barabara na umeme siyo nzuri

    Nasema hivo kwa sababu barabara ya kuanzia Nyakanzi, Kakonko, Kibondo, Kasulu inajengwa na imeikamilika baadhi ya maeneo ila eneo la Kibondo mpaka Kasulu bado mkandarasi naona uwezo wake mdogo. Kwa upande wa umeme tunashukuru Makamu wa Rais kumsisitiza sana Waziri Makamba kulivalia njuga suala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…