barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Nape na Vijana wa Lindi mtaendelea kudeki Barabara za Lindi hata Rais Samia akimaliza ziara yake huko?

    Mkimaliza Kuzideki hizo Barabara za Mkoa wa Lindi (hasa za hapo Mjini) kabla ya Ziara ya Rais Dk. Samia hakikisheni hamsahau pia na Kudeki Akili zenu ambazo yawezekana kutokana na Kuchafuka ndiyo zinastahili Kudekiwa zaidi ili zisafishike hata kuliko hizo Barabara. Kwa anayetaka kuona Waziri...
  2. Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

    Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida. Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja? Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho. Au...
  3. Ni mamlaka ipi yenye wajibu wa kusimamia matumizi salama ya barabara katikati ya jiji la Arusha?

    Hii nimeiona leo ktk jiji la arusha kwenye barabara ya jogoo house kwenda uhuru road,duka la vinywaji la MAINA HOLDINGS kwa namna wanavyopaki magari yao na hata magari ya wateja siyo salama kabisa kwa sababu barabara ni vinyu hairuhusu gari kupaki kwa kukatiza barabara kwani hii ni hatari kwa...
  4. Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Kibaha -Morogoro kuanza

    Waziri wa Ujenzi Profesa Mbarawa ameyasema hayo akizungumza na wadau wa sekta ya usafirishaji jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo ni Kwambaza barbara hiyo itajengwa kwa utaratibu wa BOT yaani JENGA, ENDESHA, RUDISHA. Ujenzi huo utaanza APRILI 2023. Barabara hiyo ya...
  5. Waziri Mbarawa: Tutajenga barabara ya njia 4, Dar-Moro, ili upite lazima ulipie

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame M. Mbarawa ametangaza mkakati wa ujenzi wa barabara mpya kwa kushirikiana na sekta binafsi kutoka Dar es Salaam – Chalinde hadi Morogoro yenye urefu wa Kilometa 215 itakayojulikana kwa jina la Express way. Barabara hiyo itakuwa ni ya kulipia pindi mtu...
  6. DC Gondwe atoa onyo kali kwa Madereva walevi, Wananchi Wazo waomba Barabara itanuliwe

    Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Godwin Gondwe ametoa onyo kali kwa madereva wanaondesha magari huku wakiwa wamelewa. DC Gondwe ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na wananchi wanaoishi eneo la Wazo Hill na Madale alipotembelea eneo hilo kutokana na ajali mbaya iliyotokea jana asubuhi na...
  7. Dar: Lori lililopakia saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta Wazo

    Lori lililokuwa limebeba saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam ambapo zoezi la uokoaji linaendelea. --- Lori lililokuwa limebeba Saruji limeyagonga Magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam Zoezi la Uokoaji linaendelea huku...
  8. DOKEZO Barabara ya Kongwa - Mpwapwa ni tatizo

    Hakika katika wilaya nchini zinazosababisha Tanzania kuendelea kuwepo kwenye kumi bora ya nchi zenye wanachi wasio na furaha basi hii wilaya ina mchango mkubwa. Barabara ni ya vumbi na mbaya zaidi ina matuta madogomadogo a.k.a rasta ambapo kwa basi au gari mtikisiko unaotoka kwa kupita kwenye...
  9. Najuta kuvunja nyumba yangu Ubungo Kibo sababu ya utanuzi wa barabara, ambao hawajabomoa wanakula maisha

    Yaani kila nikipita pale Kibo naumia sana tulikuwa na nyumba tatu zilizoungana ambazo moja tukiishi zingine zilikuwa za kibiashara tukaja kubomoa baada ili kupisha barabara eneo ambalo kwasasa wamekuja watu wamevamia na kujenga mabanda ya biashara. Ukija maneno mengine kama Kona na Baruti kuna...
  10. Utunzaji wa miundombinu (barabara, madaraja n.k)

    Ndg Watanzania, Poleni kwa kwa ukosefu wa mvua kunakotishia ukame mkali na njaa kali kama ile ya¹980 kipindi ya ungaa wa (yang"ofe) nikisema hivyo wenzangu wa mkoa wa Kagera mtakumbuka vizuri pengine na maeneo mengine pia. Ndg Watanzania miundombinu iliyo jengwa, inayoendelea kujengwa...
  11. S

    Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

    Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k) Leo nimepita katika huu mji na kukuta...
  12. S

    Vifo barabara ya kijenge, nakuomba mkuu wa Mkoa ingilia kati

    Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika. Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
  13. Barabara ya Kimara mpaka Kibaha itazamwe upya, vifo vya watu kutokana na kugongwa na magari vimekuwa vingi sana

    Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia. Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
  14. Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  15. Ukoo wa Kivuruga wapewa barabara Tabora

    UKOO WA KIVURUGA UMEPEWA BARABARA TABORA Katika moja ya koo maarufu Tabora ni ukoo wa Kivuruga. Ndugu wawili Maulidi na Abdallah Kivuruga ni watu waliokuwa mashuhuri Tabora mjini katika siasa na harakati za kupeleka mbele Uislam. Wananchi wa Tabora katika mradi wa Anuani na Makazi wametumia...
  16. Mwaka wa pili sasa barabara ya Mbezi-Kimara haijakamilika

    Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya Mbezi hadi Kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi...
  17. Kiteto: Mwili wa mtu asiyejulikana wakutwa umefukiwa kando ya barabara

    Jeshi la Polisi wilayani Kiteto mkoani Manyara, limefukua mwili wa mtu mmoja ambaye hajafahamika ukiwa umeharibika vibaya huku ukiwa umezungushiwa mfuko aina ya salfeti na kufukiwa chini katika kijiji cha Mbigili, Kata ya Partimbo. Tukio la kufukua mwili huo limefanyika hii leo Oktoba 12, 2022...
  18. Afrika: Nchi 10 zenye barabara nzuri Tanzania haimo, Hayati Magufuli alikuwa anafanya nini?

    Salaam Wakuu, Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu. Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini. Hayati Magufuli alivyokuwa...
  19. B

    Dkt. Samizi atembelea na kukagua miradi ya barabara na madaraja iliyojengwa kwa fedha za Serikali

    DKT. SAMIZI ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA ILIYOJENGWA KWA FEDHA ZA SERIKALI YA RAIS SAMIA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt Florence George Samizi kipindi hiki cha mapumziko ya Bunge ameendelea kufanya ziara Jimboni kwa kufanya shughuli za maendeleo...
  20. J

    TARURA: 85% ya Barabara Kupitika Ifikapo 2025

    85% ya Barabara Kupitika Ifikapo 2025 Na Immaculate Makilika – MAELEZO Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff ameeleza kuwa katika Mpango Mkakati wa Pili utakaoanza mwaka 2021 hadi 2026 taasisi yake itatekeleza shughuli zake kwa kuzingatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…