barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Kahtan Ahmed

    JamiiForums Tanzania Imekuaje barabara karibia nchi nzima zinabomolewa na kuachwa kwa mda mrefu bila marekebisho

    Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko. Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe? Naendelea kusema...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 2.5 Zilitumika Kulipa Fidia kwa Wananchi Waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu - Ifakara

    BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Tsh. Bilioni 2.5 zimetumika kulipa fidia kwa Wananchi waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu – Ifakara

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya Mita 22.5. Hayo yameelezwa leo Septemba 3,2024 Bungeni Jijini Dodoma...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mhe. Innocent Bashungwa irekebisge barabara ta Tabga -Pangani iwe kama ilivyokuwa zamani kulko uharibifu uliofanywa na wachina

    Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa. Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Igombe – Kahama (Mwanza) inatupa mateso makubwa Wananchi, Serikali ije kuokoa jahazi

    Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza. Tunasafiri kwa dakika kadhaa na kufika stendi ya Igombe, nashuka na kusogea katika maegesho ya pikipiki...
  6. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Serikali huu ndio muda wa kuzibua na kujenga mitaro pamoja na kukarabati barabara mbovu, msisubiri mvua zifike muanze visingizio na maigizo

    Wakuu salam, Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa. Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Zile barabara 8 zilizosainiwa tarehe 16.06.2023 kwa mbwembwe ziko wapi?

    Tarehe 16.06.2023 zilisainiwa barabara 8 zaidi ya Km 2200 nchi nzima, ila mpaka leo hii hakuna ht moja iliyoanza kujengwa. Ile ilikuwa ghilba? Walikuwa wanamdanganya nani, kwa faida ya nani. Tunaona Rais yuko bize na Kizimkazi, ni Rais yupi anafuatilia utekelezaji wa ujenzi wa ile mikataba...
  9. instanbul

    JamiiForums Tanzania Tazama hali ya Barabara za masaki 2024! Ni aibu ya nchi

    Hali ya Barabara za Masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo Hiv serikali inashindwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huko mtaani, wilayani kwako ni mradi gani wa serikali kama ni barabara kiwango cha lami, kiwango cha tope mkandarasi anaendelea na ujenzi?

    Nyie chawa mko na shida sana. Niwaulize hivi kwanini Bakhresa, Rostam hatuoni wakihangaika kumsifia Samia. Hivi ni serikali gani inayohitaji kusifiwa kutokana na ufugaji wa pesa hadi kupelekea kushindwa kuwalipa Wazayuni kwa miezi mi3 sasa. Tokea june 30 mfumo wa malipo wa serikali daktari wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Toka Musoma kwenda Sirori Simba/Mugumu haijafikia asilimia 30 tangu ianze kujengwa

    Hii barabara imeanza kujengwa zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hadi leo hata haijafikia asilimia 30. Tangu ianze ina kandarasi zaidi ya ya 4, ni nini hasa kinafanya hii barabara isimalizike. Tena barabara yenyewe haikuanzia Musoma. Ilanzia mbele kidogo ya Zero zero. Hadi sasa hivi imefikia...
  12. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Tanroad hawajui barabara za kutatua foleni, wajifunze kenya

    Hapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa.
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara Ujerumani vs Tanzania

    Ukisikia barabara inajengwa ndio hivi sio zile zenu za moram na kushindiliwa tu, hii barabara hata ikae miaka 200 bado utaikuta hivyo hivyo sio hizi za hapa Tanzania miezi tu hakuna kitu. USSR
  14. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kituo cha mafuta 'Rupeez Oil' kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara Kimara Stop Over?

    Ukistaajabu ya Musa, Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI LINDI//BILIONI 33.18 ZILIVYOINUFAISHA LINDI MATENGENEZO NA MAENDELEO UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA

    KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI LINDI//BILIONI 33.18 ZILIVYOINUFAISHA LINDI MATENGENEZO NA MAENDELEO UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024 imetoa fedha kwa Wakala ya Barabara...
  16. Tuko

    JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara Morogoro

    Wananchi wa Mayanga, kata ya Lubungo mpakani na kata ya Lukobe wamefunga barabara inayopita maeneo hayo leo tarehe 12 mwezi wa nane 2024 kuanzia saa mbili asubuhi. Hadi kufikia saa sita mchana hamna kiongozi aliyefika hali inayosababisha mkwamo wa vyombo mbalimbali vya usafiri.... Sababu ya...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Kusimamia Maelekezo ya Dkt. Nchimbi, Barabara Inayounganisha Kagera - Kigoma Kukamilika Oktoba, 2024

    BASHUNGWA KUSIMAMIA MAELEKEZO YA DKT. NCHIMBI, BARABARA INAYOUNGANISHA KAGERA - KIGOMA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itahakikisha inasimamia...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi Amuagiza Bashungwa, Ujenzi wa Barabara ya Kyerwa - Karagwe Kuanza

    DKT. NCHIMBI AMUAGIZA BASHUNGWA, UJENZI WA BARABARA YA KYERWA - KARAGWE KUANZA Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DKT. Nchimbi amuagiza Bashungwa, ujenzi wa Barabara ya Kyerwa – Karagwe uanze

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha lami unaanza mara moja ili kuondoa adha wanazozipata wananchi wa Wilaya ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Sh Bilioni 55 kukarabati barabara zilizoathiriwa na mvua za El Nino Morogoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali itahahakisha inasimamia Utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya barabara na madaraja iliyopo katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025 pamoja na kurejesha miundombinu iliyoathiriwa na mvua za El nino. Rais Dkt. Samia ameeleza hayo...
Back
Top Bottom