"Adui mpya wa Afrika si njaa, si vita, wala si ukoloni wa kiuchumi, bali ni kizazi cha vijana waliopata elimu kwenye memes, na hekima kwenye comments za Instagram! Hoja kwao ni mzigo, matusi ni talanta. Wakiona mjadala wanadhani ni fainali ya kurushiana maneno. Ujuaji wao mwingi kama mkia wa...