Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,416
Kuna kauli mlisikia kuhusu Rais wa Marekani Trump kuitaka green land ila wengi hawakufahamu kwanini.
Green land miaka ya nyuma ilikuwa kisiwa chenye barafu nyingi ila kwa sasa barafu linazidi kupotea na kupatikana ardhi na madini kibao.
Tuje kwenye mada kuhusu afrika miaka mbeleni ikipasuka na kuongeza bara jengine.
Kwa nchi ya misri inategemea uhai wake mto naili ambao maji yake yanatoka ziwa Victoria.
Kutengana huku mto nail utakuwa umekatika na nchi ya Misri itakuwa imekosa maji.