bank

A bank is a financial institution that accepts deposits from the public and creates a demand deposit while simultaneously making loans. Lending activities can be directly performed by the bank or indirectly through capital markets.
Due to the importance of banks in the financial stability and the economy of a country, most jurisdictions exercise a high degree of regulation over banks. Most countries have institutionalized a system known as fractional reserve banking, under which banks hold liquid assets equal to only a portion of their current liabilities. In addition to other regulations intended to ensure liquidity, banks are generally subject to minimum capital requirements based on an international set of capital standards, the Basel Accords.
Banking in its modern sense evolved in the fourteenth century in the prosperous cities of Renaissance Italy but in many ways functioned as a continuation of ideas and concepts of credit and lending that had their roots in the ancient world. In the history of banking, a number of banking dynasties — notably, the Medicis, the Fuggers, the Welsers, the Berenbergs, and the Rothschilds — have played a central role over many centuries. The oldest existing retail bank is Banca Monte dei Paschi di Siena (founded in 1472), while the oldest existing merchant bank is Berenberg Bank (founded in 1590).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania NMB Bank huu upuuzi siutaki

    Nimemwambia mtu anitumie pesa kwenye akaunti yangu ya NMB. Baada ya nusu saa naangalia Salio hakuna pesa iliyoingia. Nikamwambia aliyenitumia akasema anewapigia wamemwambia nisubiri masaa mawili pesa itaingia. Upuuzi Gani huu? Au tutumie mitandao ya simu tuwaache na upuuzi wenu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa muda wa mrejesho mikopo ya Amana Bank

    Naomba Kuuliza anaefahamu muda wa marejesho ya Mikopo ya Amana Bank Mfano nikichukua vifaa Vya ujenzi vyenye thamani ya m.20 Muda maximum wa kurejesha ni miaka mingapi?
  3. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battery ya Router yangu inakaa masaa machache, nitumie power bank yenye 10000 Mah badala ya battery ?

    Nina pocket router huwa naitumia katika shughuli zangu, uwezo wa battery yake umeshuka na sasa inakaa masaa mawili ama matatu tu. Nina power bank ina 10000 Mah, nataka niwe naitumia badala ya battery ya hio pocket router. kuna sehemu imeandikwa hivi Je kitaalam ntakuwa nimetatua tatizo ?
  4. Rabonn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NMB open bank project APIs (sandbox)

    wakuu wa jukwaa hili, heshima kwenu. Kama kichwa kilivyo hapo juu, please nahitaji sana kueleweshwa kuhusu hii open bank project ya nmb bank ambapo unaweza kutumia APIs zao walizotoa kwa ajili ya ku utilize kwenye application/ system solutions zako unazo tengeneza kuwapatia clients wako nmb...
  5. U

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank yaondoa rasmi Riba ya Mkopo ya 13% na Sasa ni 16%

    Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%. Hayo yamenitokea baada ya kujaribu kutafuta Mkopo katika bank hiyo, huku wakiniambia mwezi huu tarehe 15 ndo...
  6. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank meseji zenu zinakera

    Asalamaleko, Baada ya kufurahia kumbukumbu ya kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai, Ni wazi dhahiri sasa Dunia inatambua kuwa tupo chungu cha 21,Inshallah wiki ijayo pia tutasheherekea na kula ubwabwa pia. Sasa nirudi kwenye mada, CRDB bank hizi meseji mnazotutumia wateja wenu kila...
  7. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kati ya Equity Bank na Exim Bank nani ana afadhali katika huduma na makato?

    Wadau kwema, Nimekuwa nikitumia bank moja hivi sitoitaja jina lake, lakini nimechoshwa na makato yake ya ajabu ajabu. Sasa nimefikia maamuzi ya kubadili mtoa huduma. Je, kati ya hizo bank mbili yaani Equity na Exim ni yupi ana huduma nzuri in terms of makato madogo, zero maintain fee...
  8. co fm

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi NMB Bank

    Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa maombi yako yamekatatliwa yaani kimya tu. Naombeni msaada hivi kuomba ajira zao unataikiwa upitie njia...
  9. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Wamachinga Dar wafurahia mikopo inayosimamiwa na Benki ya Maendeleo

    Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASSO) katika kipindi cha mwaka huu wamesema kuna mwanga mpya wa fursa kupitia kwa wadau wa Banki Maendeleo kwa kuwa 2023 Benki hiyo inatarajia kuwafikia Wamachinga zaidi ya elfu tano,pamoja na makundi ya Wanawake na vijana...
  10. Street brain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu tumeni project ya uhasibu kama vile template za bank reconciliation n.k

    Wana jf habari za muda huu Tumeni project za kiuhasibu kama template za kuandaa bank reconciliation, cash book, payment voucher, etc yaani yoyote tuone Kali ni ipi?
  11. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Central Bank Digital Currency (CBDC) is the endgame. But do you know the implications to humanity? Read more here

    “Let me issue and control a nation’s money and I care not who writes the laws.” - Mayer Amschel Rothschild Central Bank Digital Currency (CBDC) will end human freedom. Don’t fall for the assurances of safeguards, the promises of anonymity and of data protection. They are all deceptions and...
  12. stevenmakalla

    JamiiForums Tanzania Bank inayofaa kwa biashara ya utalii ni ipi?

    Team, from your experience ni bank gani nzuri kwa kampuni ya utalii? Ukizingatia yafatayo 1. Makato nafuu 2. Huduma nzuri za kiofisi 3. Huduma nzuri za Online payment kama POS n.k. 4. Smooth transactions Share your experience kuhusu good services ulizowahi kuzipata katika bank fulani.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commercial Bank sasa kuna pension/salary advance kwa kutumia TCB POPOTE MOBILE : Kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo hiyo?

    Sasa unaweza kuvuta pesa kutoka kwenye mshshsra wako au pensheni yako mpaka limit waliyoweka. Huduma hiyo imeanzishwa two days back. Je kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo? Haya mambo ya technology yana siri nyingi! Mfano haya makampuni ya simu yanatuibia sana kwa kula bundle eti kuna...
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Charger yangu inapata joto kali nikichajia power bank, inaweza kuharibika ama kuharibu power bank? Nini sababu na suluhisho?

    Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo. Charger yangu details zake ni hizi Samsung - Adaptive Fast charging Input: 100 - 240V, 50-60Hz 1.0A OUTPUT...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania An Open Letter to President Dr. Samia Suluhu: Proposal for the Establishment of a High Education Graduates Bank (HEGB)

    Dear President Dr. Samia Suluhu, I hope this letter finds you in good health and high spirits. I am writing to bring to your attention a critical issue that affects the future of our country, namely, the high rate of unemployment among high-education graduates. Despite their impressive...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tunaofanya biashara ya M-Pesa, Tigo-Pesa, Airtel Money, ..., na Uwakala wa Bank Tukutane hapa

    ????
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Kenyatta yapata gawio la Tsh. Bilioni 58.7 za Hisa inazomiliki NCBA Bank

    Familia ya Kenyatta imepata Tsh. Bilioni 58.7 kwa mwaka mmoja kutokana na umiliki wao wa hisa za NCBA Group baada ya mkopeshaji wa daraja la juu kukaidi kushuka kwa soko la hisa na kuibuka kuwa hisa bora zaidi katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE). Hisa za NCBA zilipanda kwa asilimia 57.94 mwaka...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

    Aisee usiwaine tu watu Instagram ukawachukulia poa, jamaa huyu huwa anatoka sana na wadada wa Bongo movie, na picha yake akila romance na Wema ilivuja na kumpa umaarufu mkubwa. Huyu jamaa PCK amekuwa na urafiki na Mastaa wengi na ni mfanyabiashara , ana miliki maduka ya simu, hotel, show room...
  19. DR SANTOS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi power bank ilivonipea utelezi

    Ilikua ni safari ndefu sana ya kutoboa mikoa kibao kutoka mbeya hadi mwanza. Hua naombea at least nikae na Binti mzuri mrembo kuifanya safari iwe fupi. It was quite boring, na nilikua disappointed baada ya kuona mzee mmoja ndiye amekaa pembeni yangu. Nikaona isiwe kesi Wacha safari ianze...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC

    Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC
Back
Top Bottom