bango

Ricardo González Bango (born 18 September 1968) is a Spanish retired footballer who played as a midfielder, and a current coach.

View More On Wikipedia.org
  1. ESCORT 1

    Hili bango linatukebehi wana Dar

    Kwa hali hii ya maji, hili bango la kampeni ni kama kebehi kwetu sisi wananchi.
  2. Nipe Maji

    POTOSHI Kigoma waweka bango la 'Oktoba tunatiki kwa mama'

  3. W

    GE2025 Jamaa kajichokea kaona kama noma na iwe noma, kajiondokea zake na bango la mama

    Kazini kuna kazi! Kijana kaona asepe na bango Ila watanzania kama kuchoka tumechoka! Sijui hili genge la watekaji na wauaji wanaelewa?
  4. Analogia Malenga

    Wakutwa wakiiba mbao za bango la CCM, mmoja asema hawezi kuacha kuiba

    Angalia hii video ya huyu jamaa ambaye amekata tamaa. Yeye anasema hawezi kuacha kuiba hata umkamate mpige umuue.
  5. Kalaga Baho Nongwa

    Nahitaji vijana 50 kubandika bango mjini DSM.

    Asee wakuu kwema? Kijana abandoned bango 100, kila bango 1 shilingi za kitanzania 800. Bandika bango 100 uchukue 80000 mzee mambo yasiwe mengi.. Kazi inataka watu wa dar wenye ari na nguvu na uhitaji wa kazi. Tunapendelea kufanya kazi na wa kiume zaidi. Kazi itaanza jumatatu na mwisho wa...
  6. Parabolic

    Askofu Niwemugizi atengeneza bango la kukemea rushwa

    Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
  7. DR HAYA LAND

    Nina miaka mitano sijala UGALI

    Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali. Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa. Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym. "Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
  8. youngkato

    Ukiweka bango mbele ya duka lako unadaiwa kodi, ukiweka speaker kubwa hudaiwi kodi

    Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi. Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi. Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako
  9. Mlalamikaji daily

    Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

    Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu, Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja! Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !! Je ni kweli...
  10. S

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM. HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu. CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana. Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka. Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye...
  11. chiembe

    Mdude Nyagali, naona unatema cheche kwenye keyboard ya compyuta yako, njoo saiti na bango lako uandamane

    Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba. Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha. Taarifa zilizopo ni kwamba anachati akiwa uvunguni mwa kitanda chake. Huyu ni simba wa kuchongwa kwa...
  12. R

    Nilitoa rai kwa wanaharakati na chadema kuwa waambie ulimwengu hivi kuhusu kupewa rasilimali zetu na Watawala kama walivyofanya wakenya. Soma bango

    na kwetu hili linatufaa kuimbia dunia, kesho tukiwafukuza wasione tunavunja sheria za mikataba ya kimataifa!
  13. ndege JOHN

    14 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kuanguka India

    Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India. Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli jijini siku ya Jumatatu...
  14. Kurunzi

    Yanga Kumsajili Mchezaji nyota wa timu kubwa, Bango lake kuwekwa kwenye Jengo linalotazamana na Timu hiyo

    Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅 Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo fundi akisajiliwa , itatengenezwa bango kubwa lenye picha ya mchezaji huyo alafu litabandikwa opposite...
  15. utopolo og

    Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo.. Vipi maoni yako? Je...
  16. Half american

    Hili bango lenu wana simba liwekwe wapi?

  17. The Sheriff

    Wananchi wa Goba wakarabati barabara wenyewe, Serikali za Mtaa washawishi bango litolewe

    Hii ni picha ya bango la mradi wa ujenzi na ukarabati wa kilomita mbili (2) Goba kwa Awadhi ambayo imesambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii. Mradi huu ni wa ukarabati na ujenzi wa mitaro ambapo unatokana na nguvu za wakazi wa eneo hilo. Inaelezwa wakazi hao wamekubaliana kujenga mitaro kwa...
  18. M

    PreGE2025 Bango alilotoa Makonda linamhusu mnazi wa Mtama, Lindi

    "Usibeze mtu kesho anaweza kuwa boss wako" Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 16,2024 ameongea na Waandishi wa Habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar wakati akitoa taarifa ya ziara ya kichama ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
  19. Allen Kilewella

    Ilikuawaje Yanga wakaweka bango la kuonesha kwamba wameifunga Simba 5 -???

    Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!! Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
  20. R

    Muungano wetu: Ujumbe huu kwenye bango la Timu ya Taifa Zanzibar unamaanisha nini?

    Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu; "Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
Back
Top Bottom