bangi

  1. N

    Nahisi ndugu yangu kaanza kuvuta bangi, Leo kataka kusimamisha gari kwa mikono, naanzaje kumshauri aache,

    Tulifikia sehemu nikamwambia apaki gari upenuni mwa barabara, nikashuka kwenda kununua makubwa. Yeye naye akashuka, sijui kupunga upepo au ku-scan anga Ghafla nageuka naiona gari inatembea yenyewe, Alienda mbele ya gari akaweka mikono akaanza kusukumana nayo, kakaza uso, mishipa imemtoka...
  2. Arusha; Ngarenaro;Dogo janja atoa ahadi ya kutokomeza Vibanda vya pombe haramu,mirungi pamoja na Bangi katika kata yake.

    Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa ...
  3. Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  4. Naomba Ushauri: Ni biashara gani inaweza ikanitoa chap kwenye kamkwamo?

    Nahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside .... Habari zenu nyote?? Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ?? Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal...
  5. Uyole: Wanne wanaswa wakiwa na zaidi ya kilo 100 za bangi

    Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne wakiwemo wanawake wawili wa familia moja wafanyabiashara na wakazi wa Mponja - Uyole Jijini Mbeya na wanaume wawili akiwemo kondakta wa basi kwa tuhuma za kupatikana na shehena ya dawa za kulevya aina ya bangi yenyewe ujazo wa kilogramu 164...
  6. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na imefanikisha uteketezaji wa ekari 157 za mashamba ya bangi yaliyokuwa katika vijiji vya Ntomoko, Kinyasi na Haubi

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo haramu cha bangi katika maeneo ya Hifadhi ya Milima ya Haubi, wilayani...
  7. Mtazamo wa Pili: Si Kila Mvutaji Bangi Ni Mhalifu – Tujifunze Kutojiharakisha Kuhukumu

    Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha...
  8. R

    Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

    Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti. Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela. System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
  9. Huu ndio ukweli usio semwa kuhusu uvutaji wa bangi na tatizo la afya ya akili

    Bangi haimfanyi mtu kuwa na tatizo la afya ya akili isipokuwa bangi Ina mreveal mtu ambae alikuwa na tatizo la akili lakini jamii haijui kama analo. Meaning what? Kama una vuta bangi na haupatwi na tatizo la akili tafsiri yake ni kwamba wewe ni mzima kichwani kwa viwango vya juu. Una afya ya...
  10. Ezi za Lucky Dube

  11. Bangi ni dawa nzuri sana tangu miaka ya kale

    Kwa maelfu ya miaka, bangi imekuwa dawa kuu kwa binadamu, lakini sheria ziliharibu yote. Imetumika kama dawa ya maumivu kwa miaka 12,000—kutoka Misri ya kale hadi China. Warumi walitegemea pia, na hadi miaka ya 1900, ilikuwa dawa ya maumivu inayotumiwa zaidi ulimwenguni. Lakini mwaka 1961...
  12. Meru: Mtendaji adai kuonywa na wauza bangi

    Udhibiti wa bangi katika kata za Uwiro na Oldonyowas halmashauri ya Meru mkoani Arusha, unawaweka hatarini watendaji wa kata hizo, wakidai kukabiliwa na vitisho kutoka kwa baadhi ya wananchi. Watendaji hao wameeleza changamoto hiyo jijini Arusha, wakiwa kwenye mafunzo ya Uraia na Utawala Bora...
  13. Bangi ihalalishwe kuweza kutumika, Ila iruhusiwe aina hii tu, nasimama na Tuntemeke wa Iringa

    Miaka ya themanini huko iringa palikuwa na mbunge anaitwa Tuntameke Sanga. Mheshimiwa Tuntameke Sanga alipeleka mara kadhaa hoja mbungeni akiomba jimbo lake WANANCHI waruhusiwe kulima bangi. Sababu aliyoitoa ni kwamba katika Jimbo lake ni jadi tangu awali WANANCHI hutumia mbegu za bhangi kama...
  14. Dodoma: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi

    DODOMA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
  15. Bangi sio chai ; cheki vituko vya Maghayo

    Hii video ameipost Mwenyewe humu Jf kwenye uzi mmoja hivi ...
  16. M

    Nani kawaleta hawa Wavuta Bangi hapa Mlimani City kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

    Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka...
  17. Tanzania Kuanzisha Biashara ya wa Bangi kwa Nchi Zilizohalalisha Matumizi Yake

    Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara. Angalizo! Mawazo ya mwandishi yanaweza kuleta fikra mbaya kwa baadhi ya watu! Hata hivyo, hali ya matumizi ya bangi inatofautiana...
  18. M

    DOKEZO Kuna Mama anauza gongo na bangi wazi kata ya Moshono mtaa wa Mtoni, karibu na chuo cha uhasibu Arusha. OCD Arusha Mjini tusaidie

    Habari wana JamiiForums. Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni. Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa...
  19. G

    Kwanini wakulima wa Bangi hawalimi Cocaine au madawa mengine yenye faida kubwa zaidi wakati vifungo vya kulima dawa za kulevya vinafanana?

    Ni swali critical linalohusu kuichimba akili ya muhalifu (criminal mind investigation) anaelima madawa kwa mrengo wa kiuchumi na hatari / risks za biashara haramu wanazofanya. Kilimo cha madawa ya kulevya ni haramu kwa sheria za Tanzania, ukilima bangi kuna mvua ya miaka 20+, ukilima cocaine...
  20. Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

    Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…