bando

Bando (Burmese: ဗန်တို, pronounced [bàɰ̃dò]) is a defensive unarmed martial art from Myanmar. Bando is sometimes mistakenly used as a generic word for all Burmese martial arts, but it is only one martial art; Burmese fighting systems collectively are referred to as thaing.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    VODACOM UNLIMITED bando

    Sasa unaweza kupata Vodacom unlimited PREPAID au POSTPAID BANDO za kulipia kila mwezi. Kuungwa ni ndani ya muda mchache haifiki dakika 5. Kigezo ni uwe na kifaa chako na kama huna tunakuuzia kwa bei nafuu. Pia tunaunga vifurushi vya kawaida. Ukichagua kifurushi kimoja unapata na MENU YA...
  2. Foffana

    Kumbe kuna bando za bei rahisi hivi?

    Happy Valentine day Vincenzo Jr na shemeji yangu Huku halotel nimechelewa kweli aisee Zamani mtu unaunga bando la 500 unapata MB 246 ukiingia JF tu hata dakika 5 hauchukui, unaambiwa bando limeisha Leo ndo nimekuja kujua kuwa kumbe kuna zile special bundles aisee na sio kwa halotel tu hadi...
  3. M

    Fundi Garage STD 7 anaingiza 50-200K daily. Wahitimu wengi bila ajira hawamudu bando. Elimu ni muhimu, ila ujuzi ni muhimu zaidi

    Lengo si kuwahamasisha watoto waishie darasa la saba, la hasha kabisa. Lengo ni kuwaonesha wazazi uhalisia wa mambo; kwamba ajira wanazozitamani kwa watoto wao ni chache sana na si kila mtu atapata nafasi hizo. Hivyo ni muhimu kumuandaa mtoto katika mazingira yatakayompa ujuzi mbalimbali ili...
  4. warzone

    Nauza bando za Halotel kwa bei nafuu

    Habari wakuu,karibuni niwauzie bando Kwa bei nafuu,Leo ninayo ofa nitakuuzia Gb 10 Kwa elf 8 tuu,kwa wasio amini ntakutumia bando ndio unilipe,karibuni Simu: 0625927098
  5. Mayova

    Nataka kujilipua nimtumie huyu jamaa ili aniunge bando la tiGO kwa Tzs 6,500

    HABARI BOSS! 🌟 Leo kuna ofa maalum kwa ajili yako ~13,000/=~ LIPIA LEO 6,500/= TU! UPATE: GB 40 za intaneti isiyo na kikomo! 🌐 DAKIKA 3,100 za kupiga simu mitandao yote! SMS BILA KIKOMO kwa marafiki na familia! 💬 MIEZI 2 ya huduma bora na ya uhakika! MTANDAO WOWOTE nakunganisha...
  6. quaresmah John

    Airtel router kwa Tsh. 100,000

    💥 JIPATIE ROUTER YA 5G (100,000) 💥 Bando 70,000 tu.Bila kikomo Utapewa; 1.⚡ Adopter 2.⚡ Power bank. 3.⚡ Ethernet Cable 4.⚡ Broadband router. Bila kuongeza gharama zingine. ✅ Inaunganisha watu 32. ✅ Inatunza chaji masaa 4. ✅ Inashika umbali mita 100 ✅ Bando yake ni unlimited. ✅ Inatumia pswd au...
  7. Amydiz

    Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  8. R

    Vodacom kurejesha Bando kwa wateja walionunua na hawakutumia wakati Mtandao ulipozimwa

    Wakuu, Hatimaye Kampuni ya Mtandao wa Vodacom imeweka wazi kushughulikia Tatizo la kukatwa kwa bando wakati Mtandao ulipozimwa, imeeleza kuwa wateja wote waliofanya manunuzi ya Mabando watarejeshewa
  9. M

    Laini za bando

    Jamni naombeni anayejua utaratibu wa namna ya kupata hii laini ya kununua bando za data kwa bei nafuu inayoruhusu kushare bando kwa watu wengine
  10. S

    Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi. Sasa wewe lala upitwe!
  11. Beira Boy

    Usihangaike na VPN ingia JamiiForums na Twitter X kwa kutumia operamin ni bure kabisa bando lako tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Wambieni na wengine ambao hawajui Asanten sana LONDON BOY Tumsifu YESU KRISTO
  12. K

    Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

    Unlimited ni huduma inatolewa kwa wateja wa router, kiutaratibu router za Vodacom ni bure isipokuwa mteja atalipia service ambayo ni Internet. Package ni kama ifuatavyo. •Router yenye Mbps 10, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 120,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 60,000/=...
  13. S

    Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver

    Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh. Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la bando lako. Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  14. Mstahiki Mea

    Airtel wanatulazimisha kununua Bando

    Kulikoni airtel TANZANIA , yani ukitumiwa kakitu tayari wao wana pop message kukulazimisha ununue bado , jambo hili halikubaliki
  15. ZOYA internet

    Zama za kuunga bando za kawaida zinaisha, Wi-fi na fiber zinachukua nafasi kutokana na faida zake lukuki!

    Maisha yanabadilika kila kukicha na biashara ra mitandao zinabadilika pia, hii ni kutokana na watu kutafuta kilichobora zaidi. Kwa siku za hivi karibuni watu wamegundua kua kuunga bando kila siku kwaajili ya kuingia mtandaoni inakua haisaidii kama ambavyo ingemsaidia mtu mwenye wifi au fiber...
  16. Dennis Robert Shughuru

    PreGE2025 Nikiwa Rais nitashusha gharama za bando kwa sh 500 utapata GB 1

    Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
  17. A

    KERO Yas/Tigo wanapika data za vifurushi na kuibia wateja? Taarifa za matumizi ya kifurushi zimekuwa pungufu ya bando huku MB zimeisha!

    Wakuu, najua hii ni ndefu kidogo lakini tafadhali soma mpaka mwisho ili tukomeshe jinamizi hili, ******* Wakuu mimi ni mtumiaji wa huduma ya Postpaid kwenye mtandao wa Yas/Tigo, ambako ninanunua kifurushi cha Combo cha elf 60,000/-, kwenye kifurushi hiki napata data GB 55, Dakika 3000 mitandao...
  18. D

    Jinsi vifurushi vya bando vinavyotumika

    Ivi ukiwa na kifurushi Cha bando la mwezi halotel alafu katikati ya mwezi ukaongeza kifurushi Cha siku moja. Kwenye matumizi inakuwaje kitaanza kutumika kipya mpaka kiishe alafu ndio Cha zamani kuendelea au inakuwaje wakuu
  19. Anastasia21

    Bando linapaa hadi kero

    Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh 🙌🏾 adi kero
  20. DELETED ACCOUNT

    Wizi mwingine wa mitandao ni makampuni ya simu kukata bando lako kwa kuhesabu SMS zilizoingia

    Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu. Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo. Njia pekee ya kufikisha...
Back
Top Bottom