bandari

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

    #Update KESI YA BANDARI. Majaji wanaingia muda huu saa 09: 20 MAJAJI watatu; 1. Hon. Ndunguru 2. Hon. Ismail 3. Hon. Kagomba Wote wameinama wanaandika Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa pande zote. MAWAKILI WA SERIKALI; 1. Adv. Mark Muluambo 2. Edson Mwaiyunge 3...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Daniel Sillo asema bila ya kuwa na Bandari imara Reli ya SGR haitakuwa na manufaa

    Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya bajeti na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Sillo Julai 22, 2023 amesema ya kwamba wapo waliobeza filamu ya Royal Tour lakini leo watalii wameongezeka Mhe. Daniel Sillo akasema hata swala la uwekezaji wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni uchawa na uzwazwa wa media za hapa nchini kushindwa kurusha "live" kesi ya bandari kule Mbeya

    Kesi iliyofunguliwa na jopo la wanasheria wazalendo kule Mbeya kupinga mkataba wa bandari kila mtanzania ana hamu ya kufahamu nini kitaendelea mahakamani katika kesi hiyo. Lkn cha kushangaza media za hapa bongo zimekaa kimchongo, kichawa na kinafiki badala ya kujipanga na kurusha kesi hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Walemavu washikiniza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu mkataba wa bandari

    Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine --- Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

    Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua. Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mikutano ya Chongolo kutetea mkataba wa bandari kiini macho

    Mikutano ya Katibu Mkuu wa Ccm anayoifanya kikanda ni kiini macho kumdanganya Rais aone kwamba mikutano ya CCM inapata watu wengi na kwamba wana ccm wote wanaunga mkono mkataba wa bandari jambo ambalo ni kiini macho. Mikutano ya Chongolo mfano uliofanyika Singida unachukua viongozi wa CCM ngazi...
  11. JamiiForums Tanzania Mchango wa kuwezesha kesi ya bandari umefikia wapi?

    Mimi nataka kujua mchango uliombwa kwa wazalendo wote tuchangie kesi ya bandari iliyo funguliwa na wakili msomi mwaa........ lengo la mchango uho ilikuwa ni kusaidia kesi nataka kujua ulifikia wap? Je walisema kuwa mchango umetosha? Je walipata kiasi gani? Matumizi yake? Je watz au...
  12. JamiiForums Tanzania Chongolo atuma message binafsi kushukuru kuungwa mkono kwa Bandari

    Nahisi walikosea namba, message zimekuja kwangu. Hao walioshukuriwa hakuna hata mmoja ninaemjua. Swali linalofikirisha, ni kwanini atoe shukrani kwa jambo ambalo lilipaswa kuwa halali?? Kushukuru ni kama vile kila mtetezi anafanya msaada.
  13. JamiiForums Tanzania CCM yasema haitorudi nyuma uwekezaji wa bandari

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitarudi nyuma kuhusu uwekezaji katika bandari kwa sababu uwekezai huo uko kwenye ilani ya chama hicho ya mwaka 2020-2025. Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo alibainisha hayo jana kwenye ziara yake ya kutoa elimu kwa wananchi kahusu uwekezaji katika...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mkulima aliyewaburuta Kortini Mbarawa, Mwigulu, Makamba ufisadi Ripoti ya CAG kuunguruma mkutano wa Bandari leo

    MKULIMA aliyeshtaki kina Mwigulu, Makamba na Prof. Mbarawa kuhusiana na ufisadi uliotajwa na CAG atakuwa ni miongoni mwa watanzania wazalendo watakaohutubia mkutano mkubwa wa kupinga kuuzwa bandari kwa mwarabu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tulia, Prof. Kitila, Chongolo, Prof. Kabudi jibuni hoja za Kijana Mzalendo mkataba wa Bandari

    Kijana Mzalendo, David Levi Nkindikwa amekuja na uchambuzi wa hoja lukuki zikihusisha matashi ya Spika wa Bunge Tulia, Prof Mkumbo, Katibu Mkuu Chongolo kuhusu mkataba wa Bandari uchambuzi ambao umesambaa katika mitandao mbalimbali ikiwemo JF. Lakini amehoji kuhusu ukimya wa Baba wa Mikataba...
  16. JamiiForums Tanzania Mbali na kuwa DP World hawajaanza rasmi kazi ya Bandari nchini, ajabu wamefanikiwa kutugawa kidini

    Hivi naotaa ama ni ukweli dhahiri? Kwamba: badala ya hoja zetu kujikita kwenye utatuzi wa vipengele tata vya mkataba wa Dp world na hatimaye tufikie hatima njema kama taifa na kutuacha kwenye umoja wetu. Sasa watu maarufu kabisa, wasomi na viongozi wakuu wa dini na serikali wanaacha kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kijana Mzalendo amvaa Spika Tulia Mkataba wa Bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO, DEVID LEVI NKINDIKWA KUHUSU MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI LEO TAREHE 22/7/2023 1. UTANGULIZI MKATABA WA IGA BAINA YA TANZANIA NA EMIRATE YA DUBAI Pamoja na Maoni na ushauri unaotolewa na wananchi kuhusu kufanya marekebisho ya Ibara zenye kasoro katika mkataba wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wassira ahusisha sakata la bandari na mbio za urais 2025

    Hello JF, Hivi Wassira ni mwehu kiasi hicho? Kuna mtu alimlazimisha Rais Hassan kumtuma Mbarawa kwa maandishi? Timu ya wabunge kwenda Dubai ilijipeleka? Wasanii walijipeleka, bendera ya Tanzania ilijipandisha kule Dubai. Wassira awe makini sana uvuvuzela wake hautawasaidia chochote ifahamike...
  19. JamiiForums Tanzania Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais. Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  20. JamiiForums Tanzania Tusiingize mambo ya Dini, Mkataba wa Bandari ni aibu na ni Najisi kwa Sovereignty ya nchi yetu

    Wasalaam, Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki. Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…