Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana.
Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
Anonymous (c723)
Thread
bandaribandarikavu
buza
kujenga
makazi
makazi ya watu
mamlaka
mwanagati
tabia
Toka ianzishwe ile bandari kavu chuoni pale chuo hakina muonekano mzuri ni vumbi kila mahali kuanzia benki ya NBC, dispensary na mageti yote ya upande wa barabara ya kuelekea Mkapa stadium
Kwa maoni yangu haikuwa sahihi kuweka bandari kavu karibu na chuo kikibwa kama kile muda wote malori ya...
Tunamshukuru Mhe. Rais kwa kufungua Bandari kavu ya Kwala. Kwenye taarifa ya Mhe. Waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais alitamka yafuatayo:-
(1) Bandari kavu itahudumia makasha takriban laki tatu kwa mwaka.
(2) Huduma ya Bandari kavu ya Kwala ni asilimia 30 tu ya makasha yote yatakayoingia nchini...
Jana Mhe. Rais alifungua Bandari kavu ya Kwala. Hongera sana. Kwenye maelezo ya Mhe. Mbarawa kwa Mhe. Rais alitaja mambo yafuatayo:-
(1) Bandari kavu ya Kwala itahudumia makasha yanayokadiriwa 300,000 kwa mwaka.
(2) Bandari kavu ya Kwala itahudumia 30% ya makasha yote ktoka Bandari ya Dar es...
eneo kubwa la bandari kavu ya kwala ni pori tu, limejaa nyasi tu, ila wamejenga kisehemu cha kuwekea hayo ma container kidogo sana, halafu rais ndio anaenda kukizindua,
why wasijenge mpaka bandari kavu ikakamilika ndipo wakamuita rais akazindue ?
“Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam…tumetengeneza na yadi ya zege, tumeunganisha na Reli ya TRC ya MGR” - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mbossa
RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) wameingia mkataba wa kujenga bandari za nchi kavu katika nchi zote mbili.
Taarifa kutoka Tanzania zinasema DRC ndiye mtumiaji mkubwa wa Bandari ya Dar kuliko nchi zote majirani
Pia kumekuwa na ongezeko la mizigo inayokwenda Kongo inayopitia...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya TAZARA na hiyo itasaidia kusukuma ajenda ya miradi mikubwa katika mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini...
Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa.
Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi kujazana kwenye barabara inayotokea dar.
Kungekuwa na bandari kavu ambazo mzigo ukitoka bandarini ni...
Baadhi ya wananchi Wanaotakiwa kupisha Ujenzi wa Bandarikavu katika eneo la Nandanga, Kata ya Mpemba, Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mkoani Songwe wameilalamikia Ofisi ya Serikali ya Mtaa kushindwa kuwashirikisha katika hatua za Mchakato wa kulipa fidia na kuandikisha watu wasiohusika kwa lengo...
Kutokana na ufinyu wa eneo la bandari ya Dar es salaam ambayo kwa Sasa lipo chini ya uendeshaji wa DP World imefanya bandari kushirikiana na wadau wa sekta binafsi katika kutoa huduma za kibandari.
Unapoagiza gari kutoka nchi za nje unaweza kulipokea bandarini TPA ama bandari yoyote kavu kati...
UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015)
To make a long story short,
Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na kumuhoji Meneja wa TPA, (Abel Muhanga kwakipindi hiko), kuhusiana na tuhuma za ufisadi wa kupitisha...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Dodoma, imefanikiwa kuzuia matumizi ya nondo tani 120 zisizokuwa na ubora ambazo zilipangwa kutumika katika ujenzi wa barabara ya mzunguko nje (Ring-road) yenye kilomita 52.3 ya Nala-Veyula na Ihumwa- Bandari Kavu, iliopo jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.