bakwata

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Malasusa hawakilishi wakristo wote, vilevile BAKWATA haiwakilishi waislam wote. Wakristo mnaoshambilia waislam acheni mara moja, mtaharibu NRNE

    Kuna kundi la wakristo wakisema waislam sio wapenda haki na kua wanatetea Samia, mara waseme tatiso ni elimu, hii yote ni kutokana na matamko ya BAKWATA, mkiendelea na utaratibu hii mtaifitinisha NO REFORMS NO ELECTION pakubwa sana. Acheni kejeli kuniona nyie mmesoma na kuona wengine hawana...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu BAKWATA: Tuepuke mahubiri ya siasa kwenye nyumba za ibada

    "Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAKWATA yahimiza amani nchini na Siasa safi mwaka wa Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa amani shughuli za kimaendeleo katika jamii haziwezi kufanyika, na hata ibada pia hazitafanyika...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma wataka BAKWATA na TEC kuwachukulia hatua Viongozi wa Dini wanaoeneza propaganda za kisiasa

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini ambao wamekuwa wakitumia Majukwaa ya kidini kueneza propaganda za kisiasa . Wito huo umetolewa leo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Jabir ameuawa Zanzibar BAKWATA kimya! Mnasubiri Maaskofu wakemee mje kuwazodoa?

    Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda. Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba ya Waislamu dhidi ya BAKWATA kusikilizwa na Jopo la Majaji Watatu kufuatia Mabadiliko ya Sheria

    Kufuatia mbadiliko katika sheria ya utekelezaji wa haki za msingi za binadamu The Basic Rights and Duties Enforcement Act, Cap 3 RE 2019, yaliyofanyika mwezi machi mwaka huu, yamepelekea shauri la Kikatiba lililofunguliwa na Waislamu dhidi ya Msajili wa Vyama Wizara ya Mambo ya Ndani, RITA na...
  7. JamiiForums Tanzania Historia ya kuanzishwa BAKWATA: Taasisi ya Kiislamu au Chombo Cha Usalama wa Taifa??

    BAKWATA ilianzishwa mwaka 1968 kama chombo Cha kuleta mshikamano kwa Waislamu na uislam,Lakini Tukiangaza historia kwa umakini Utagundua kua Bakwata Ni chombo kilichoundwa na usalama wa Taifa,sio kwa ajili ya waislamu,kwajili ya serikali.. Swali:Bakwata ilianzishwa kwa kusudi gani?? Mapinduzi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huu mvutano wa TEC, Bakwata na mamlaka, ndio utakaovunja ule mwiko tuliouzoea

    Hellow! Yanayoendelea SI ya bahati mbaya, ni matokeo ya ushindi Katika ule ulimwengu wa Roho, kilichobaki ni udhihirisho tu Katika ulimwengu wa mwili. Tulipoonyeshwa juu ya ajaye, tuliangalia utaratibu uliopo wa kupokkezana Bakwata na catolicano kutoa kiongozi Mkuu, tukaona hili ni ngumu...
  9. JamiiForums Tanzania Shekhe mkuu na Bakwata mnaamini FAZA kitima alikuwa analewa? Aibu iwe juu yenu

    Nina imani shekhe mkuu wa mkoa wa Dsm angekuwa yule aliyen'golewa hasingekaa Kaa kimnya mpaka Leo hasijitokeze kukemea kitendo alicho fanyiwa FAZA Kitima. Swali je Shekhe mkuu Wa Tanzania na Bakwata mpoooo?
  10. JamiiForums Tanzania BAKWATA yalaani vikali tukio kushambuliwa Katibu wa TEC Padri Charles Kitima

    Katibu Mkuu BAKWATA Alhaj Nuhu Jabir Mruma amesema Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), linalaani vikali tukio lililotokea jana la kushambuliwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Kwa mujibu wa taarifa maalum aliyoitoa leo Alhamisi jioni Alhaj Mruma amevitaka vyombo...
  11. JamiiForums Tanzania BAKWATA tokeni hadharani kukomea dhuluma za watawala

    BAKWATA ni Moja kati ya taasisi kubwa ya kidini hapa nchini Sijui jukumu lake ni kuangalia mwandam wa mwezi na kutangaza sikukuu ya Eid tu au kuchinja ngamia pale uwanja wa Biafra Kinondoni Kuna dhulumu za watawala wanatenda Kwa wapinzani ikiwemo kubambikizia kesi watu za uhaini, kunyima...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

    Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Dua ya kuombea (Wagombea) Uchaguzi Mkuu??

    BAKWATA wameandaa dua ya kuombea unaoitwa Uchaguzi Mkuu. Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)
  14. JamiiForums Tanzania Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

    Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu . Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya waislamu, Yombo Islamic imegeuzwa Yadi ya kupaki malori, Bakwata inafeli wapi? Wafadhili wa kujenga misikiti wasaidie shule pia

    habari wadau, miaka ya 1980s mwishoni katika kata ya Yombo vituka iliyopo wilaya ya temeke vilipimwa viwanja vingi sana, ambavyo wananchi walipewa na kuuziwa na manispaa ya temeke. katika viwanja hivyo waislamu walipewa eneo kubwa la kujenga shule. Wakatoliki na wao walipewa eneo kubwa la...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kiislam Kupitia BAKWATA elimikeni, haki ya Uchaguzi sio Uvunjifu wa Amani

    Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata. Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
  18. JamiiForums Tanzania Waislam Kenya watishia kuungana na Gen Z kuingia Barabarani endapo wabunge wa Kenya wataongezewa mishahara. Huku BAKWATA wanatuuzia uoga

    Bakwata wakati wanatuizia Uoga, kule Kenya Waslama wamesema endapo mpango wa kuwaongezea mishahara Wabunge utatekelezwa basi wataingia Barabarani. kwa kifupi wamechoka kuona raia wakiwa masikini ilihali Watawala hasa wabunge wakiendelea kuneemeka. Sasa kutana na BAKWATA ambao wao wanatuuzia...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu BAKWATA: Serikali ifanyie kazi dosari za uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ili kutekeleza haki yao ya kikatiba. Aidha, amezitaka mamlaka husika kuchukua hatua stahiki kufanyia...
  20. JamiiForums Tanzania Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…